Mangula na Kinana mmejidhalilisha

Mangula na Kinana mmejidhalilisha

Hayo ni marudio tu baada ya kufeli,

Political strategic wa ccm ni msaliti, anawaingiza mjini kila kukicha!

Chadema songeni mbele, Red Brigade kazi mtindo mmoja, linda chadema na malizi zake!
 
Hakuna kinachoshindikana chini ya hili jua
binadamu laiti wangelijua wanachokiwaza wanaweza kamwe wasikifanye au kukitekeleza
watz wameteseka na wanaendelea kuteseka kwa sababu ya watu wachache walihodhi uchumi wa nchi
itafikia mahali hata baadhi ya ccm watahamia CHADEMA
hili ni swala la muda tuu
ndo ccm kupitia kwa kiongozi wao Mwigulu atajuta kumkejeli Mungu
siku zao zinahesabika
 
Adui wa CCM yupo ndani ya CCM, kama wanabisha wawe chama cha upinzani ndo watajua yupi ni kada wa kweli na yupi Feki!
the first fake Member is MWIGULU. hilo halina ubishi! who is next?????? piga ua ni Nape.
 
Kuhusu kutekeleza Ahadi zao kwa Wananchi hawajazungumzia?ha ha ha akili zao ndogo kama kiroboto

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kwa nini hakuna mipango ya kuimarisha chama?

Well said mkuu!na hapo ndipo wanapokosea!badala wajiimarishe wao wanatumia muda mwingi na nguvu nyingi kuishambulia Chadema

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ni kweli kabisa hawa wazee waachie ngazi

Mzee Mangula na Kinana,

Mlifanya siasa za mkakati mkashinda chaguzi nyingi na chama chenu kikawa imara na kujipatia sifa za kutosha.

CCM ilianza kupoteza mvuto mlionekana nyie ndio tegemeo kubwa na mna uzoefu wa kutosha kuokoa jahazi lisizame.
Mkaombwa kurudi kwenye usukani wa chama mkakubali mkajiwekea mikakati ya namna ya kuendesha chama. Mkaomba mpewe timu ya ushindi mmepewa.

Swali je timu yenu ya ushindi imeshinwa kazi? Mmepokonywa kata 5, mmepata kura chache kuliko upinzani pamoja na kushinda kata nyingi.

Hii tafsiri yake chama kinazidi kuporomoka na hata vitongoji na vijiji vilivyofanya uchaguzi vingi vimeangukia upinzani.

Je hamuoni huu ni muda muafaka wa kuachia ngazi kabla mambo hayajawa mabaya zaidi?

Mnaweza kusema bado mnaweza kubadilisha hii trend kwa kufanya mabadiliko kwa kupindi kilichobakia. Kama mmeshindwa walau kunyakua hata kata moja ya CHADEMA au hata kijiji leo hii ni kitu gani kinakupa nguvu kwamba utaweza mwaka mmoja ujao?

Kumbukeni kwamba nguvu zenu(physical strength) zinapungua kila kukicha sababu ya uzee na dunia inabadilika kwa kasi sana kutokana na technologia. Na kwa umri wenu technolijia inawaacha. Je huu si muda muafaka mkawapa watu wengine wapange timu ya ushindi kuanzia sasa?

Kama mnadhani bado kuna uwezekano wa ushindi hapo mbeleni, je timu ya Mwigulu, Nape et al, unadhani itawafikisheni kwenye malengo.

Kulinda heshima yenu jiuzuluni muwape vijana ama wazee wengine waoneshe umahiri wao nyie mmbakie kuwa washauri.

Usione aibu kujiuzulu sasa maana aibu inayofuata ni kubwa kuliko ungejiuzulu sasa.
 
Mimi nasema tulianza na Mungu tupo na Mungu na Tutamaliza na Mungu.Chadema kitazidi kuwa imara na ipo siku CCM itaondoka madarakani kwa uwezo wa Mungu.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Mbna viongoz wote wana kesi,labda wasema wanawaongezea kesi!!!!!

Hapa wajue hawapigan na mbowe au dr.slaa,bt wana deal na sie tulie fall in love with cdm.

Watatulia tu,hao ngja tuone. tunajua hz sarakas zote target yao ni dk. slaa.

Tutapambna nao ck zote
cdm we believe in god
 
mbona walisema cdm itakufa kabla 2013 na haijafa wala hakuna dalili za kufa.
 
ccm wana matatizo mengi lakini ukiangalia mfano, mwenyekiti alishauriana na nani kumpata naibu katibu mkuu? alishauriana na nani kumpata katibu mwenezi? ni nani alimshauri mwenyekiti kuwakaribisha kwa mbwembwe wale vijana waliotoka cdm pale dodoma wakati wako vijana waliosotea chama kwa moyo wao wote miaka nenda rudi!
Tutaishia kusema kuwa mwenyekiti anashauriwa vibaya lakini hapa ndipo tatizo lilipo ndugu zangu. Watu wanahubiri chuki za kikabila, kidini na ukanda huku wakichekewa tu!
Kuhusu kwamba alishaurina na nani nadhani hao walipewa ili nao waonyeshe kwamba vijana wana nafasi katika chama kumbe vijana wenyewe ni wahovyo. Hawana uwezo wa kujenga hoja hasa huyu Mwigulu!!!

Sema mikakati ya kushinda kama serikali inahitaji uwe na mbinu kali zaidi maana watu wanapima hata utendaji wako wakati wapinzani wao ni kuongea tu.
 
ccm wanahangaika kama mtu ambae anataka kujinyonga.
 
Mi nawashangaa sana Magamba hawataki kuamini tu kwamba CHADEMA ni mpango wa Mungu!!
 
Mkuu , asante kwa taarifa , tutafuatilia neno kwa neno , bali ni hivi , ccm imepitwa mno na wakati hadi inashangaza kuona eti vijana wa leo wanajiunga na chama hicho , hawaoni au hawajitambui ?
 
Wmechelea sana...! wkilazimisha atailipua nchi!!
lakini ni vema viongozi wetu kina Dr Slaa wakazidisha umakini CCM wameanza kukata tamaa ivyo wanaweza kufanya kitu chochote kiovu!! Msipuuze jamani...!
 
Back
Top Bottom