MAPUMA MIYOGA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,792
- 2,369
Ccm wa ajabu sana, hadi sasa jitihada zao zinajulikana mno mbona. Wanawatumia akina mbatia,mrema, lipumba nk kudhoofisha CDM.
Angalia tbc1 sasa hivi ni nyimbo ya amani na mshikamano bila kujali kwanini sasa amani inatetereka. Kesi tunaziona kila kiongozi wa CDM ana kesi acha wanachama wanaokamatwa eti kisa sms.
Kazi ipo ila wenye kumwamini mungu watashinda na watenda hila wataanguka vibaya.