tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,672
- 19,187
Kama ni kuumwa kila mtu ni mgonjwa na marehemu mtarajiwa,no one knows his/ her future,wote tunaishi kwa Neema tu na Mungu ni wa wote....asijifanye ana final say over Tanzanians,tutakamilisha maamuzi yetu 25October
Huyo ni kichaa mbna yeye mgonjwa kifua kikubwa n domo kubwa mwili kisoda huo ni ugonjwa.....kumsema edo hakumsaidii ccm kumpa chochote kajichokea huyo maisha y kuuza mitumba ni magumu