Mange Kimambi amjibu Godbless Lema

Mange Kimambi amjibu Godbless Lema

Sasa umejibu nini we mkubwa !!!!

Kwamba Lissu anayo kampuni na account ya kampuni??

toa maelezo tukuelewe anawezaje kutoa pesa na yupo Lupango m15??
Lini
Mange alikuwa CCM na hajawahi kuondoka CCM, huko nyuma alikuwa anatafuta hadi kugombea nafasi za uongozi...

Mange yeye alivurugwa na misimamo ya JPM, na kama unakumbuka SSH alipoingia tu madarakani, Mange akaanza kujipendekeza kwa mazaa na alipopewa za kichwa akamgeuka SSH akaanza kumnanga...
Lini alikwambia hana hela?Au akiwa nazo ni lazima akuhabarishe wewe auditor wake?
 
Hata kama Lema anafanya hivi kwa maslahi ya chama, kwa nia nzuri, si kwa nia mbaya, bado kimsingi, kifalsafa, kimantiki, kimkakati, ni kosa kiongozi wa upinzani kumpigia magoti Samia ili kiongozi huyo apate haki za kumtembelea Lissu gerezani, hususan kama mahakama ishatoa uamuzi kuwa kiongozi huyo na mawakili wa Lissu wana haki ya kumtembelea Lissu.

Hapa it doesn't matter sababu za Lema ku compromise uhuru wake hivi, anakuwa kakosea tu.

Hili tatizo lipo sana na ni kubwa sana Tanzania. Ni kubwa kuliko Lema na kesi ya Lissu, this is just the tip of the iceberg.

Mifumo yetu imebomoka. Wananchi kupata haki zao za msingi tu kila sehemu ni rushwa na ukiritimba. Badala ya kutengeneza mifumo kila mtu apate haki bila usumbufu, watu wanaleta habari za kujuana. Mtu ana mtu wake Muhimbili, TRA, Police, Mahakama, kila sehemu unatakiwa kuwa na mtu wako ili u bypass the broken system kupata haki yako.

This is no way to live.

Hapa Lema alitakiwa kutuonesha mfano wa kugangamala kutumia haki yake bila ya fadhila za Samia, ili iwe mfano hata kwa watu wengine kwamba tunaweza kuutengeneza mfumo watu wakapata haki zao bila ya kutumia habari za kujuana.

Sasa Lema anataka kumtumia Samia kwa sababu yeye ana connections za kisiasa, sasa mtu ambaye hana connections za kisiasa atafanyaje hapo?

Lema ameshazoea ku byoass process mpaka haoni hata aibu kusema alifanya haya mazungumzo, yeye anaona anafanya jambo zuri hapo, anaona anajenga, anaona kawaida.

Lema haoni kuwa anahalalisha mfumo wa kujuana badala ya kutumia haki, tena kwa namna ambayo hata Lissu haoendi? Lissu alishasema yeye hataki fadhila, anataka haki.

Hili jambo linanipa maswali kihusu werevu na uadilifu wa Lema. His intelligence and integrity are in question.

Kwa nini Lema anataka mambo ya fadhila za Samia badala ya haki ambayo kashapewa na mahakama anyway?

Asante sana. Umemaliza
 
Mange nonsense...

- Lema anadharauliwa sana na Abdul... ooh mimi Mange Abdul ananiheshimu sana..!

Hiyo heshima anayodai kupewa na Abdul yeye alijuaje kama anapewa?

Nae huwa anaongea na Abdul kwa simu sio!.

- Lema alipowekewa maburungutu ya pesa alitetemeka!, alikuwepo akamuona Lema akitetemeka?!

Anaishi kwa habari za kuambiwa kisha anaziamini kwa 100% then anataka na wengine tuziamini kama anavyoziamini yeye!

Kila siku ushahidi hana, ni kelele tu, ndio maana akipingwa anatishia kuwasemea wengine ili wafukuzwe U.S.

Kuwa mfuasi wa hiki kiumbe lazima uwe mjinga kama chenyewe, Lema aache kuhangaika na hii akili ndogo anapoteza muda.
LM hana tofauti na wewe dada yangu, laiti angejitambua mapema wala hasingeitisha press conference.
 
Bahati nzuri mimi nimepata bahati ya kuwa karibu na hawa watu, wengi hamuwajui.

Anna Makinda na Lisu walikuwa wanaelewana sana bungeni na Makinda alimtegemea sana Lisu wakati wa bunge kukaa kama kamati kupitisha vifungu vya sheria.

Wakati wa party za kibunge Tundu Lisu anafunguwa muziki na Anna Makinda, Lema alikuwa bungeni, this moment ndio siasa anazoziongelea Lema, na hii si kwa wanaChadema tu bali ni call for all wakiwemo wanaccm.

Mimi Lema nimekutana naye mara moja tu bungeni, hatujuwani, pili mimi siyo Chadema, lakini nasimama katika kweli hata kama nitakuwa peke yangu.

Ni Magufuli ndiye aliyeleta siasa za kishamba, na mabadiriko waliyofanya Chadema wanataka chama kiwe radical hiyo haiwezekani, Chadema ndio itakuwa loser tujifunze Zanzibar.
We ni mpuuzi Chadema kuwa radical is none of your fcking business ,ninyi mafala mlitaka chadema iwe toilet paper ya ccm na vibaka wenu hao kina samia ?
 
Nimesoma yote huko juu kwa umakini mkubwa na heshima nyingi ya yaliyoandikwa huko na kutamani sana Mange aendelee kwa moyo huo huo.
Lakini mara ghafla kabisa, bila ya matarajio, nikafika kwenye hii aya iliyonivuruga akili yote na kurudi kule kule kwa Mange nimjuaye siku zote, na kunivunja moyo kabisa.

Haya mambo ya Abdul haya. Huyu Abdul, hivi yeye ni nani kudharau watu wote kiasi hiki? Hii inawezekana?

Kama Lema amenunuliwa, mwache anunuliwe. LLema hata siku moja hajawahi kuwa mtu mwenye 'conviction' ya chochote.
Sasa wewe Mange, nawe unatueleza habari za Abdul kukutafuta, unavyo vielelezo vyovyote.
Huyu dogo na ushetani wake wote, anao ujasiri wa kununua watu kama bidhaa nyepesi hivi?

Mange, sikiliza. Ukinipa ushahidi usiokuwa na shaka wa wewe kutaka kununuliwa, sitakuwa na mashaka tena na wewe juu ya mapenzi yako kwa taifa letu, na siyo harakati za kutafuta shibe tu.
It's as simple as that. Give us some convincing proof of your being sought as a commodity by that ruffian, evil boy.
Vipi tena mbona unatoa majimaji asubuhi yote hii ? Morogoro ndizi mbivu saa hizi zimeisha zimebaki mbichi tu, vipi utaweza kuhimiri mishindo ?
 
Ngoja niwaambie kitu ninyi wapumbavu , Chadema kuwa toilet paper ya ccm kwa kukubaliana na wauaji ,vibaka washenzi wa ccm itakuwa ni ushenzi na usaliti kwa RAIA waliotekwa na kuuawa miaka yote hii ya tawala ovu na dhalimu za ccm. Na itakuwa ndio kaburi LA chadema
 
Chadema ni chama cha demokrasia nadhani kila mtu aruhusiwe kuwa na maoni yake kila chama kina wahafidhina, waliberali na moderates maana wote hamuwezi kuwa na mtazamo sawa. So kama lema kakosea atahukumiwa na kamati kuu na sio kwingine.

Na kuhusu Mange aisee sielewi kwanini anapewa attention kiasi hiki, amekua kama msemaji wa Lissu na chadema kitu ambacho sio sawa. Ana haki ya kutoa maoni yake ila asiwe ndio chanzo cha kuaminika hadi kufikia stage chama kinataka kupasuka kisa mwanaharakati aliye nyuma ya keyboard.

Chama kinaendeshwa na vikao sio tweets za Mange. Chadema iheshimiwe na wote akiwemo Lema na Mange otherwise wasitutoe kwenye reli maana hii wiki ni ya muhimu zaidi pengine kuliko zote katika historia ya chadema I tunaishia kujadili Mange this Mange that.

My two cents.....

CDM mlifanya ujinga sana kuwaachia chama wanaharakati mange na sarungi kuhodhi na kukiendesha. Huo mtego hamtoki leo wala kesho. Kama mnaakili jitengeni nao kabisa kwa huu upepo wa Lema.
 
Ya kwamba hoja ni kusema Abduli ameishia darasa la 4 sio?
Mange ni muongo na mchonganishi na hili hajalianza leo wala Jana na ameanza hii kazi hata kabla ya kuingia kwenye siasa.
Chadema wasipo chukua hatua kulinda viongozi wake dhidi ya huu uchafu wanao pakwa na hawa wanaharakati uchwara itadababidha athari mbaya sana kwa chama kwa muda mrefu.
Umesoma alichoandika Peter Msigwa? Huyu ni rafiki wa Lema, amemweleza wazi na ujumbe umeeleweka. Lema hawezi kushindana na Mange, na alichoongea Lema hata sisi raia wa kawaida tunaona kabisa amejichanganya.
 
We ni mpuuzi Chadema kuwa radical is none of your fcking business ,ninyi mafala mlitaka chadema iwe toilet paper ya ccm na vibaka wenu hao kina samia ?
Mpuuzi Baba yako mzazi kenge wewe, wakati tunaipambania Chadema kuingia madarakani hapa JF mwaka 2010 wewe ulikuwa bado unanyonya, koma kabisa kunizoea senge kabisa.
 
Bahati nzuri mimi nimepata bahati ya kuwa karibu na hawa watu, wengi hamuwajui.

Anna Makinda na Lisu walikuwa wanaelewana sana bungeni na Makinda alimtegemea sana Lisu wakati wa bunge kukaa kama kamati kupitisha vifungu vya sheria.

Wakati wa party za kibunge Tundu Lisu anafunguwa muziki na Anna Makinda, Lema alikuwa bungeni, this moment ndio siasa anazoziongelea Lema, na hii si kwa wanaChadema tu bali ni call for all wakiwemo wanaccm.

Mimi Lema nimekutana naye mara moja tu bungeni, hatujuwani, pili mimi siyo Chadema, lakini nasimama katika kweli hata kama nitakuwa peke yangu.

Ni Magufuli ndiye aliyeleta siasa za kishamba, na mabadiriko waliyofanya Chadema wanataka chama kiwe radical hiyo haiwezekani, Chadema ndio itakuwa loser tujifunze Zanzibar.
Kuna point umeandika ya msingi sana hapa, jamaa wanajidai kupenda siasa radical lakini hawawezi kuendana na matendo yanayo support radicalism wanayojidai kuipigania.

▪ Huyo Mange kama kweli anataka ukombozi aje bongo tupambane, sio anajificha kwenye kivuli cha maneno ya uzalendo wakati nchi haikombolewi kwa maneno, ni vitendo.

Hao wote wanaomuunga mkono Mange ni wapendq umbea, mashabiki wapiga kelele, hayupo yeyote kati yao atakayeambiwa wajitokeze kuandamana akatokea, ni ushabiki maandazi kwa Mange tu!.

Mtu kujidai anapenda misimamo mikali huku akimuacha Lissu gerezani zaidi ya mwaka sasa ni unafiki, ajabu Lema anayetaka amani wanamuona mjinga, wakati wao hawawezi kupigana vitani!.
 
Lema inaonekana anajua kila kitu kilichopangwa na serikali dhidi ya chadema, je anapata wapi info, ndio maswali ya kujiuliza
 
"Hasinge" nyie ndio mashabiki wa Mange -zero brain.
Tuna kizazi cha mazuzu kimevamia mitandao ndio mtaji wa kina Da Mange, hawa hawana uwezo wa kutumia akili zao, wamezaliwa na ubongo lakini hawana nafsi ndio maana ilikuwa rahisi kumpaisha mtu mpuuzi kama Yericko eti anapata tuzo za uandishi bora kisa hawa ndio wapiga kura.
 
CDM mlifanya ujinga sana kuwaachia chama wanaharakati mange na sarungi kuhodhi na kukiendesha. Huo mtego hamtoki leo wala kesho. Kama mnaakili jitengeni nao kabisa kwa huu upepo wa Lema.
Ni mistake kubwa sana ilifanyika nadhani sababu ya desperation baada ya CCM kuvuruga siasa za ndani na kuzuia mikutano na vyombo vya habari kwahiyo jamii nzima ikahamia mitandaoni na ndiko huu upepo wa wanaharakati hasa walio nje ya nchi ukapata nguvu.

Nadhani hili ni funzo sio tu kwa Chadema ila hata CCM kwamba ukiua siasa za vyama basi wananchi watatafuta suluhu kwingine iwe kwa wanaharakati na inayopelekea maandamano, migomo, radicalization na hata vikundi vya uasi.

Taifa lirudi kwenye siasa za pre-2015 za kuvumiliana na kushirikishana kwenye vyombo vya maamuzi.

Cc Proved
 
Word.
 
Back
Top Bottom