Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,268
- 111,359
Mtu atayetumia muda wake kumsikiliza na kumuamini Mange kwenye issues ambazo zinahitaji ushahidi usio na shaka, mtu huyo atakuwa na ubongo kama wa Mange...
CCM hawajaanza leo kuvuruga vyama pinzani, watatumia kila aina ya mbinu ikiwemo hata kupeleka habari ovu kwa wachonga ngenga kama kina Mange...
Mfano, Lema alipotoa press yake kwa kiasi kikubwa waliotoa pongezi ni viongozi au wanasiasa waandamizi wa CCM, sasa mtu ukiwa na kichwa panzi unaweza ukajiambia si unaona namna Lema anavyoungwa mkono na wakubwa wa CCM, kumbe ni mind game ya hao waCCM kutembea kwenye script ili azma yao iendelee kutimia