Mange Kimambi amjibu Godbless Lema

Mange Kimambi amjibu Godbless Lema

Kwa maoni yangu ndani ya Chadema

Mange ni mkubwa kuliko chama chenyewe

Mange anaweza kumtoa mchezoni kiongozi yoyote na wafuasi watasimama na Mange !!!
 
Kwanza twambie jibu swali jepesi zaidi

Tundu Lissu yupo Lupango lkn kuagiza milioni 15 ziende kwenye Msiba wa Kakake Alute

Pesa izo nani anatoa kutokea account yanani ???

Mana yeye yupo Lupango unaweza kutwambia pesa zinatokea wapi
Nani mwenye kusaini ???
Kwa umri wa TAML,elimu,kazi alizofanya na maisha yake ndiyo wewe kimbwenerehi wa Samia uulize maswali ya kifala hayo?Ndiyo maana unajiita mdogoe.Mdogo hadi uwezo wa fikra.
 
Sio CHADEMA tu wanataka UTAWALA WA HAKI NA SHERIA, Wananchi wote wanataka.
Hoja nzuri sana tatizo kisemeo

Chadema needs to get back to stronger systems as an institution

Drama hazitawasaidia sana
 
Mange nonsense...

- Lema anadharauliwa sana na Abdul... ooh mimi Mange Abdul ananiheshimu sana..!

Hiyo heshima anayodai kupewa na Abdul yeye alijuaje kama anapewa?

Nae huwa anaongea na Abdul kwa simu sio!.

- Lema alipowekewa maburungutu ya pesa alitetemeka!, alikuwepo akamuona Lema akitetemeka?!

Anaishi kwa habari za kuambiwa kisha anaziamini kwa 100% then anataka na wengine tuziamini kama anavyoziamini yeye!

Kila siku ushahidi hana, ni kelele tu, ndio maana akipingwa anatishia kuwasemea wengine ili wafukuzwe U.S.

Kuwa mfuasi wa hiki kiumbe lazima uwe mjinga kama chenyewe, Lema aache kuhangaika na hii akili ndogo anapoteza muda.
Yule dada mpumbavu sana Bora tukuamini wewe unaonekana una taarifa za ukweli
 
Ma

Mange ni mwana CCM.Muulize.
Ninajua lkn nashangaa mwana CCM kwenu ni mzuri kuliko Lema

Siku nyengine atakuwa mzuri kuliko Heche

Siku nyengine kuliko Mnyika

Yumkin Chadema imeshakufa kwasasa

Kila mmoja anatafuta japo fursa ya mwisho mwisho!!!

Wengi wenye kumtetea Mange Yumkin wapo kwenye project ya kuganga njaaa

Vip wanamtetea mwana CCM dhidi ya Lema
Kama wao sio project :BanHammer:🤠
 
Kwa umri wa TAML,elimu,kazi alizofanya na maisha yake ndiyo wewe kimbwenerehi wa Samia uulize maswali ya kifala hayo?Ndiyo maana unajiita mdogoe.Mdogo hadi uwezo wa fikra.
Anachouliza siyo lissu kuwa na pesa hizo bali pesa hizo ziko wapi?..kama ni bank zitatoka vipi na mwenye akaunti yupo mahabusu?..au kwake ana chumba kajaza pesa waende wakachote?..
 
Ninajua lkn nashangaa mwana CCM kwenu ni mzuri kuliko Lema

Siku nyengine atakuwa mzuri kuliko Heche

Siku nyengine kuliko Mnyika

Yumkin Chadema imeshakufa kwasasa

Kila mmoja anatafuta japo fursa ya mwisho mwisho!!!

Wengi wenye kumtetea Mange Yumkin wapo kwenye project ya kuganga njaaa

Vip wanamtetea mwana CCM dhidi ya Lema
Kama wao sio project :BanHammer:🤠
Ni mkweli.Si kama wewe unatetea na kusimama na wauaji.Samia and the gang!
 
Nilisema tangu mwanzo Lema hataiweza vita na Mange, ukimsikiliza Mange unaona ana mengi anayoyajua kuhusu Lema, na ameacha hoja za msingi Kiasi kwamba kuzijibu unahitaji uwe umetulia
 
Changanya na ZA kwako
1793681816929.png
 
Lema ukichunguza kiakili kile kakiongea nikama kaweka mtego mkubwa wa kiakili

Lema maelezo yake yote
Kaonesha uhai wa Umoja ndani ya Chadema
Lema kakwepa kumshambulia kiongozi mwenzako yoyote
Zaidi ya Mange na yule mwenzie

Sasa wafuasi wa Chadema kwasasa wanashambulia Lema mwenyewe

Chuki dhidi ya Lema inatokea wapi??

Kwani Lema kaongea nini mbaya kwaniaba ya Chadema na Viongozi wenzie ¿¿¿¿¿¿

Kitambo Lema Lema Lema mapinduzi sijui vile na vile

Sasa ajabu mlitaka akae kimya wkt yeye ndio mwenye kutupiwa mauchafu yote

kupanga Mapinduzi chamani nk.
Ni kweli kati yetu ungekuwa nanafasi ya Lema
Unabebeshwa mazigo ujui chanzo nini

Wanao kubebesha tuhuma hujui wametumwa nanani ndani ya Chama

Ngoja narudia tena !!

Lema kuongea kwa mtego mkubwa
Kajua mazuzu yatanasa na wale wenyekutumiwa watanasa!!

Lema kakwepa kukishambulia chama

lkn kulalamika kusingiziwa upumbavu tu

na kamtuhumu mwana CCM

Leo yeye
ndio m'baya mbele ya Mange!!!¿¿
 
Yumkin Da Mange ndio mwenye Chadema huwezi jua ya Sirini
 

Attachments

  • 1789572754550.png
    1789572754550.png
    288 KB · Views: 1
Mange nonsense...

- Lema anadharauliwa sana na Abdul... ooh mimi Mange Abdul ananiheshimu sana..!

Hiyo heshima anayodai kupewa na Abdul yeye alijuaje kama anapewa?

Nae huwa anaongea na Abdul kwa simu sio!.

- Lema alipowekewa maburungutu ya pesa alitetemeka!, alikuwepo akamuona Lema akitetemeka?!

Anaishi kwa habari za kuambiwa kisha anaziamini kwa 100% then anataka na wengine tuziamini kama anavyoziamini yeye!

Kila siku ushahidi hana, ni kelele tu, ndio maana akipingwa anatishia kuwasemea wengine ili wafukuzwe U.S.

Kuwa mfuasi wa hiki kiumbe lazima uwe mjinga kama chenyewe, Lema aache kuhangaika na hii akili ndogo anapoteza muda.
... she's a PATHOLOGICAL LIAR! 😁
1793682221795.png
 
Nilisema tangu mwanzo Lema hataiweza vita na Mange, ukimsikiliza Mange unaona ana mengi anayoyajua kuhusu Lema, na ameacha hoja za msingi Kiasi kwamba kuzijibu unahitaji uwe umetulia
Ya kwamba hoja ni kusema Abduli ameishia darasa la 4 sio?
Mange ni muongo na mchonganishi na hili hajalianza leo wala Jana na ameanza hii kazi hata kabla ya kuingia kwenye siasa.
Chadema wasipo chukua hatua kulinda viongozi wake dhidi ya huu uchafu wanao pakwa na hawa wanaharakati uchwara itadababidha athari mbaya sana kwa chama kwa muda mrefu.
 
Kwa umri wa TAML,elimu,kazi alizofanya na maisha yake ndiyo wewe kimbwenerehi wa Samia uulize maswali ya kifala hayo?Ndiyo maana unajiita mdogoe.Mdogo hadi uwezo wa fikra.

Sasa umejibu nini we mkubwa !!!!

Kwamba Lissu anayo kampuni na account ya kampuni??

toa maelezo tukuelewe anawezaje kutoa pesa na yupo Lupango m15??
 
🤑💰 haijawahi kumuacha mtu salama! Mange huyu huyu kuna siku mtasikia ana support chama cha maovu!
Na ni kweli, mange anawavuruga CHADEMA Ile mbaya na umbea wake, haka ka dada CHADEMA wakaangalie kwa jicho makini la sivyo katawavuruga KAMA KALIVYO VURUGA NDOA YAKE!
CHADEMA KALABAGAHO!

Mange alikuwa CCM na hajawahi kuondoka CCM, huko nyuma alikuwa anatafuta hadi kugombea nafasi za uongozi...

Mange yeye alivurugwa na misimamo ya JPM, na kama unakumbuka SSH alipoingia tu madarakani, Mange akaanza kujipendekeza kwa mazaa na alipopewa za kichwa akamgeuka SSH akaanza kumnanga...
 
Back
Top Bottom