Mange Kimambi amjibu Godbless Lema

Mange Kimambi amjibu Godbless Lema

Lema kathibitisha tuhuma zote ni ua kweli dhidi yake, wala hajakanusha.
Meku kafika Bei, Lol

Watu wanawaona wengine ni wapumbavu wanaomuamini Mange dhidi ya Lema, shida wanamchukulia Mange personal badala waangalie relevance ya tuhuma zake.

Yeyote mwenye akili timamu anaona kabisa mwenendo wa Lema uko compromised recently, hata kwenye press yake imethibitika dhahiri.
 
Sasa naamini Mange ana misukule yake mtandaoni, kama ulidhani unamjuwa basi hukuwahi kumjuwa.

Lowasa, Magufuli, Samia hawa wote walikuwa best zake na wakaja kugeuka maadui wakubwa unajuwa chanzo?
Walikuja kumharibia biashara zake, wote tunazijua hilo.....

Ila kisiasa ana mchungu mengi mno, we all know that.

Ukiachana na drama, tunajua she's so sincere about the betterment of this nation hana mbambamba
 
Watu wanawaona wengine ni wapumbavu wanaomuamini Mange dhidi ya Lema, shida wanamchukulia Mange personal badala waangalie relevance ya tuhuma zake.

Yeyote mwenye akili timamu anaona kabisa mwenendo wa Lema uko compromised recently, hata kwenye press yake imethibitika dhahiri.
Lema ni Mwanasiasa, Mange si mwanasiasa.

Tena kuna wengine wanaishi ughaibuni kwa grants za wafadhili kwamba wanademonstrate democracy na wanaweza kuuwawa wakirudi kwenye nchi zao.

Hawa ni aina ya watu utulivu wa kisiasa kwao ni kuwauwa njaa ndio maana haishangazi leo Congo Rais mstaafu anakuwa kiingozi wa waasi.

Miafrika ndivyo tulivyo by Nyani Ngabu
 
Biashara zake zipi?
 
Haina shaka kabisa.
 
Kuna ubaya upi kwenye hilo? Mnaamini Lisu ni malaika kila msimamo wake yupo sawa?
Lissu mwenyewe alisema wazi hataki huruma ya mtu, sheria itende haki, km ana hatia apewe hukumu, km hana aachiwe huru bila masharti, na hataki kutembelewa magereza usiku.

Sasa Lema hicho anachokifanya ni kwa ajiri gani na maslahi ya nani? Hebu acheni kutetea upuuzi, Chadema ishatoka kwenye siasa za utapeli na udalali, hii sio saccos ya kichaga km alivyokua anafanya Mbowe.

Habari ndio hiyo.
 
She had ana app, ambayo alifanya fitina ikafungwa. Ila ni tayari alikuwa amesha pata sehemu ya kuwashika watz, hizo zote ni akili
App inafungwa vipi hebu nielimishe, no wonder Mange anawageuza misukule kila anavyojisikia.
 
Lema ni Mwanasiasa, Mange si mwanasiasa.

Tena kuna wengine wanaishi ughaibuni kwa grants za wafadhili kwamba wanademonstrate democracy na wanaweza kuuwawa wakirudi kwenye nchi zao.

Hawa ni aina ya watu utulivu wa kisiasa kwao ni kuwauwa njaa ndio maana haishangazi leo Congo Rais mstaafu anakuwa kiingozi wa waasi.

Miafrika ndivyo tulivyo by Nyani Ngabu

Mkuu kwa hiyo unaamini ktk misimamo ya kijinga ya Lema kwamba tupiganie haki kwa upendo na si chuki? Upendo wenyewe unaomaanisha ni wa kujikomba kwa watesi wetu, kuishi kwa huruma yao, n.k badala ya kupigania kuimarisha mifumo thabiti ya haki na uwajibikaji?

Bado narudia usimchukulie Mange personal kwa tuhuma zake kwa Lema angalia relevance ya maneno yake, tunaweza tusikubaliane nae kwa mengine ila kwa hili lina asilimia kubwa ya ukweli.
 
Lissu mwenyewe alisema wazi hataki huruma ya mtu, sheria itende haki, km ana hatia apewe hukumu, km hana aachiwe huru bila masharti, na hataki kutembelewa magereza usiku.

Sasa Lema hicho anachokifanya ni kwa ajiri gani na maslahi ya nani? Hebu acheni kutetea upuuzi, Chadema ishatoka kwenye siasa za utapeli na udalali, hii sio saccos ya kichaga km alivyokua anafanya Mbowe.

Habari ndio hiyo.

Point ya msingi sana hii
 
Lisu pia si mwanasiasa elewa hivyo, Lisu alikuwa anapanda majukwaa ya Chadema na kadi hana miaka baadaye ndio akashauriwa kuchukuwa kadi awe mwanachama wa Chadema.

Si kila msimamo wa Lisu ni sahihi hata kama ni yeye ndiye anayeumia, hii Mitanzania mipumbavu inashabikia Jihan sijui na Simba na Yanga kuna limit ya kujitowa na si kujitowa sadaka maisha yako kwa mijitu mipumbavu kama Watanzania.

Hao kina Mange ushujaa wao ni behind the keyboard tu hakuna mwenye ya kuingia field.

Hao kina Lema wametoka huko ukimbizini ndio wapo Field.

Mimi nitawasikiliza watu kama Heche ambaye ndio yuko Field siyo hizo takataka zinapost zikiwa Macdonald anakula juke food huku anawasanifu, binafsi siwezi kuingizwa mkenge na watu hao.

Tunavyo vyanzo vyetu pia ndani ya mfumo kama hadithi za Lema ni za kweli tutajuwa.
 
Mange nonsense...

- Lema anadharauliwa sana na Abdul... ooh mimi Mange Abdul ananiheshimu sana..!

Hiyo heshima anayodai kupewa na Abdul yeye alijuaje kama anapewa?

Nae huwa anaongea na Abdul kwa simu sio!.

- Lema alipowekewa maburungutu ya pesa alitetemeka!, alikuwepo akamuona Lema akitetemeka?!

Anaishi kwa habari za kuambiwa kisha anaziamini kwa 100% then anataka na wengine tuziamini kama anavyoziamini yeye!

Kila siku ushahidi hana, ni kelele tu, ndio maana akipingwa anatishia kuwasemea wengine ili wafukuzwe U.S.

Kuwa mfuasi wa hiki kiumbe lazima uwe mjinga kama chenyewe, Lema aache kuhangaika na hii akili ndogo anapoteza muda.
Kama Lema ana akili kubwa aseme hiyo huruma anayotafuta kwa hao uchwara inatokana na nini!?
 
Mkuu kwa hiyo unaamini ktk misimamo ya kijinga ya Lema kwamba tupiganie haki kwa upendo na si chuki? Upendo wenyewe unaomaanisha ni wa kujikomba kwa watesi wetu, kuishi kwa huruma yao, n.k badala ya kupigania kuimarisha mifumo thabiti ya haki na uwajibikaji?

Bado narudia usimchukulie Mange personal kwa tuhuma zake kwa Lema angalia relevance ya maneno yake, tunaweza tusikubaliane nae kwa mengine ila kwa hili lina asilimia kubwa ya ukweli.
Bahati nzuri mimi nimepata bahati ya kuwa karibu na hawa watu, wengi hamuwajui.

Anna Makinda na Lisu walikuwa wanaelewana sana bungeni na Makinda alimtegemea sana Lisu wakati wa bunge kukaa kama kamati kupitisha vifungu vya sheria.

Wakati wa party za kibunge Tundu Lisu anafunguwa muziki na Anna Makinda, Lema alikuwa bungeni, this moment ndio siasa anazoziongelea Lema, na hii si kwa wanaChadema tu bali ni call for all wakiwemo wanaccm.

Mimi Lema nimekutana naye mara moja tu bungeni, hatujuwani, pili mimi siyo Chadema, lakini nasimama katika kweli hata kama nitakuwa peke yangu.

Ni Magufuli ndiye aliyeleta siasa za kishamba, na mabadiriko waliyofanya Chadema wanataka chama kiwe radical hiyo haiwezekani, Chadema ndio itakuwa loser tujifunze Zanzibar.
 
Umenena la maana mkuu me nasikitikia tu hawa wafuasi wa Mange walivyojijengea uaminifu kwake kwa kila analolisema,inafikirisha
Mimi sio nabii ila siku Lissu akitoka na wakakubaliana kwenda mezani kutafuta suluhu ya katiba mpya aisee kama naona atakavyotukanwa matusi yote na Mange kuwa amepewa bilioni kadhaa, sijui kajengewa nyumba and all bad rumours. Na kwakuwa keshaaminika inaweza kuwa ndio kaburi la Chadema.
 
Back
Top Bottom