Hizi pesa ni kodi yako unayolipa ukinunua kila kitu, mikopo wanayochukua kwa jina la Tanzania.Huyo Abdul hizo pesa za kugawa anatoa wapi?
Hizi pesa ni kodi yako unayolipa ukinunua kila kitu, mikopo wanayochukua kwa jina la Tanzania.Huyo Abdul hizo pesa za kugawa anatoa wapi?
Sasa mbona sioni mantiki ya hoja zako? Mange anawasemea wananchi, japokua yeye ni mwana CCM, anachokifanya ni km walichofanya Nchimbi, Ndugai, na Pole pole.Lisu pia si mwanasiasa elewa hivyo, Lisu alikuwa anapanda majukwaa ya Chadema na kadi hana miaka baadaye ndio akashauriwa kuchukuwa kadi awe mwanachama wa Chadema.
Si kila msimamo wa Lisu ni sahihi hata kama ni yeye ndiye anayeumia, hii Mitanzania mipumbavu inashabikia Jihan sijui na Simba na Yanga kuna limit ya kujitowa na si kujitowa sadaka maisha yako kwa mijitu mipumbavu kama Watanzania.
Hao kina Mange ushujaa wao ni behind the keyboard tu hakuna mwenye ya kuingia field.
Hao kina Lema wametoka huko ukimbizini ndio wapo Field.
Mimi nitawasikiliza watu kama Heche ambaye ndio yuko Field siyo hizo takataka zinapost zikiwa Macdonald anakula juke food huku anawasanifu, binafsi siwezi kuingizwa mkenge na watu hao.
Tunavyo vyanzo vyetu pia ndani ya mfumo kama hadithi za Lema ni za kweli tutajuwa.
Mange anakutana na Abdul kutafuta nini, yeye anamtuhumu Lema kukutana na CCM kwa siri wakati yeye anafanya yaleyale. Tuhuma zinaweza kuwa na ukweli. Lakini na yeye yupo zaidi kimaslahi. Inawezekana Abdul hakufika bei.Mange anajuaje Abduli anamheshimu sana yeye kuliko heshma anayopewa Lema?
Anamwitaje mwenzie ananunulika wakati kumbe hata Yeye anakutanaga na Abdul?
Ndio sababu Bongo watu wengi wenye akili hawana mpango na siasa, ni ngumu kufanya siasa na watu wajinga.Mimi sio nabii ila siku Lissu akitoka na wakakubaliana kwenda mezani kutafuta suluhu ya katiba mpya aisee kama naona atakavyotukanwa matusi yote na Mange kuwa amepewa bilioni kadhaa, sijui kajengewa nyumba and all bad rumours. Na kwakuwa keshaaminika inaweza kuwa ndio kaburi la Chadema.
Ni Magufuli ndiye aliyeleta siasa za kishamba, na mabadiriko waliyofanya Chadema wanataka chama kiwe radical hiyo haiwezekani, Chadema ndio itakuwa loser tujifunze Zanzibar.
Huyu Mange ni anatafuta ugali na utajiri kwa njia yoyote ile. Ingawa mambo anayosema kuhusu Lema yana ukweli mimi sioni tofauti yake kubwa na Lema. Hawa wote maslahi binafsi kwanza.Siku ukiona anachukua fomu nq kupata nafasi ndani ya chama/serikali utashangaa macho yako.
Myu yoyote aliyekuwa ndani ya ccm, akachukua fomu kugombea nafasi yoyote ile, akashindwa, lazima awe bitter na utawala.
Ameenda Sa100 USA, huyo akili kubwa wenu alikuwa frontline kumpokea, ameona serikali haina time nae akaamua kugeuza kibao, likewise kipindi cha JPM, jamaa alivyompa kisogo ndio akaamua kumuangushia jumba bovu
Hata hivyo, anapokea taarifa, anatoa taarifa, sioni akili kubwa hapo.
Mange siyo Ccm, aliichoma kadi yake ya Ccm hadharani kwenye jiko la gas, chapter closed.Sasa mbona sioni mantiki ya hoja zako? Mange anawasemea wananchi, japokua yeye ni mwana CCM, anachokifanya ni km walichofanya Nchimbi, Ndugai, na Pole pole.
Lissu kutokua mwana siasa sio ajabu wala tatizo, yeye ni mwanaharakati na mpigania haki za binadamu, wakili msomi mbobevu. Na mkombozi wa kweli wa wananchi. Na ameamua aishi kwenye msingi huo hata km yeye binafsi anaumia na kuteseka kwa ajiri ya watanzania wapumbavu na wajinga, ni YEYE ameamua aishi ktk msimamo huo, wewe shida yako nini hasa?
Sasa kuna maana gani Lema kutoka huko kuja huku field na kulamba asali na kuwa msaliti kwa chama chake na falsafa yake? Na kuwageuka wanachi na raia wema? Au alihisi bado chama kina falsafa za Dalali Mbowe? Mazungumzo ya gizani na kifichoni? Muambie awamu hii amechemka, falsafa hiyo iliondoka. Na kaka yake Makengeza,
Awamu hii ya Lissu, ni ukweli na uwazi, Haki na uwajibikaji tu, ndio njia pekee ya kuendesha Chama. Hivyo km anaona haendani na mfumo huu, ajiondoe na akae pembeni tu.
Naona una tatizo au chuki binafsi na Mange, sasa hilo sisi halituhusu, tunaangalia anacho kileta kwa umma tunachambua, kikiwa cha kweli tunasimama nacho, kikiwa sio cha kweli tuna kiacha.
Kwenye hili yuko sahihi, na tunakubaliana nae. Hivyo tu.
Siku ukiona anachukua fomu nq kupata nafasi ndani ya chama/serikali utashangaa macho yako.
Myu yoyote aliyekuwa ndani ya ccm, akachukua fomu kugombea nafasi yoyote ile, akashindwa, lazima awe bitter na utawala.
Ameenda Sa100 USA, huyo akili kubwa wenu alikuwa frontline kumpokea, ameona serikali haina time nae akaamua kugeuza kibao, likewise kipindi cha JPM, jamaa alivyompa kisogo ndio akaamua kumuangushia jumba bovu
Hata hivyo, anapokea taarifa, anatoa taarifa, sioni akili kubwa hapo.
Mbona unatoka nje ya mada? Habari za Dada wa Taifa, mie sijasema, wala alipewa na nani hilo sio shida yangu.Mange siyo Ccm, aliichoma kadi yake ya Ccm hadharani kwenye jiko la gas, chapter closed.
Labda kama hujui mimi ndiye niliyempa jina la Dada wa Taifa hapahapa JF hii ni fact, sina sababu ya kumchukia kwa sasa sikubaliani na style yake.
Gnzee wanamjuwa huyu aliwapa matumaini hewa vijana jeshi liko nyuma yao litawalinda, kilichotokea ni masikitiko makubwa, Mange huyuhuyu.
Hata kama Lema anafanya hivi kwa maslahi ya chama, kwa nia nzuri, si kwa nia mbaya, bado kimsingi, kifalsafa, kimantiki, kimkakati, ni kosa kiongozi wa upinzani kumpigia magoti Samia ili kiongozi huyo apate haki za kumtembelea Lissu gerezani, hususan kama mahakama ishatoa uamuzi kuwa kiongozi huyo na mawakili wa Lissu wana haki ya kumtembelea Lissu.Kuna nguvu kubwa sana inatumika kumtetea Lema ila ukifuatilia kwa ukaribu, hajakanusha tuhuma kubwa juu yake kuwa
"Anaamini njia za panya kwa kuwa na regular contact na watu wazito kwenye system ili maridhiano yafanyike"
Hii ndio ilikuwa kubwa na yeye hajapinga ila alichokipinga ni kuonekana anafanya hilo kwa maslahi binafsi na si kwa maslahi ya chama "kununulika"...
Lakini kama ni kwa maslahi ya chama ni sawa lakini mbona hajaainisha kama kuna concern ya viongozi wake wa chama. That means anafanya peke yake kwa akili yake, yes strategic engagement ni muhim katika kupata suluhu lakini kwa act kama hii amejidhihirisha kuwa he is the one to call pale system inapohitaji kitu kutoka CHADEMA pasipo kupitia mifumo ya chama "the mediator"
Sasa wanaomtetea hawalisemi hili, hata kama hukubaliani na Mange, hata kama Lema kamuita bad names na pengine anazistahili. Lakini Je, Mange kakosea kuzitoa zile tuhuma basic. Kwangu mimi ni HAPANA na hazijapingwa na Lema
Hata ukimuondoa kabisa Mange katika hoja hizi, hayo makosa anayoyasema Mange ya Lema kuomba fadhila kwa Samia kwenye suala la kumtembelea Lissu wengine tulishayaona na kuyaandika hapa kabla Mange hajayasema.Mange ni mtu katili sana. Kwenye pesa, maslahi yupo tayari kufanya chochote kile. Kama alivyokuwa anawatengezea video za ngono wapinzani wake na watu maarufu apate followers. Vigumu kubisha mimi sio yule kwenye video za ngono ndio kwanza unazipa umaarufu.
Yeye alikuwa anapewa taarifa za ikulu wakati wa JPM kupitia hawahawa anaowaandama sasa hivi hawa wakina Samia, Abdul, Makamba nk. Amesaidia sana Samia kufika ikulu.
Abdul/Samia hawakutoa mpunga wa kutosha kwa Mange.
Angalau umeleta ushahidi wa picha mkuu, huyu huyu leo tunamuita shujaa wa taifa. Nchi ngumu sana hii.View attachment 3703777Yani Mange huyuhuyu ndio kuna watu wanamuona ni shujaa wao?
Hapa alipanda ndege kutoka LA mpaka DC kwenda kujibebisha kwa Samia, leo anamuita Kimama target zake zimekwenda off target.
Umenipa perspective kubwa zaidi na ni kweli. Hata kwa level ndogo tumeshakubali kuwa hata kupata basic service hospitali, police, Tanesco etc ni lazma ujuane na mtuHata kama Lema anafanya hivi kwa maslahi ya chama, kwa nia nzuri, si kwa nia mbaya, bado kimsingi, kifalsafa, kimantiki, kimkakati, ni kosa kiongozi wa upinzani kumpigia magoti Samia ili kiongozi huyo apate haki za kumtembelea Lissu gerezani, hususan kama mahakama ishatoa uamuzi kuwa kiongozi huyo na mawakili wa Lissu wana haki ya kumtembelea Lissu.
Hapa it doesn't matter sababu za Lema ku compromise uhuru wake hivi, anakuwa kakosea tu.
Hili tatizo lipo sana na ni kubwa sana Tanzania. Ni kubwa kuliko Lema na kesi ya Lissu, this is just the tip of the iceberg.
Mifumo yetu imebomoka. Wananchi kuoata haki zao za msingi tu kila sehemu ni rushwa na ukiritimba. Badala ya kutengeneza mifumo kila mtu alate haki bila usumbugu, watu wanaleta habari za kujuana. Mtu ana mtu wake Muhimbili, TRA, Police, Mahakama, kila sehemu unatakiwa kuwa na mtu wako iki u bypass the broken system kupata haki yako.
This is no way to live.
Hapa Lema alitakiwa kutuonesha mfano wa kugangamala kutumia haki yake bila ya fadhila za Samia, ili iwe mfano hata kwa watu wengine kwamba tunaweza kuutengeneza mfumo watu wakapata haki zao bila ya kutumia habari za kujuana.
Sasa Lema anataka kumtumia Samia kwa sababu yeye ana connections za kisiasa, sasa mtu ambaye hana connections za kisiasa atafanyaje hapo?
Lema ameshazoea ku byoass process mpaka haoni hata aibu kusema alifanya haya mazungumzo, yeye anaona anafanya jambo zuri hapo, anaona anajenga, anaona kawaida.
Lema haoni kuwa anahalalisha mfumo wa kujuana badala ya kutumia haki, tena kwa namna ambayo hata Lissu haoendi? Lissu alishasema yeye hataki fadhila, anataka haki.
Hili jambo linanipa maswali kihusu werevu na uadilifu wa Lema. His intelligence and integrity are in question.
Kwa nini Lema anataka mambo ya fadhila za Samia badala ya haki ambayo kashapewa na mahakama anyway?
Umesikikiza hiyo sijui hotuba sijui mmajibu yake?Mange anakutana na Abdul kutafuta nini, yeye anamtuhumu Lema kukutana na CCM kwa siri wakati yeye anafanya yaleyale. Tuhuma zinaweza kuwa na ukweli. Lakini na yeye yupo zaidi kimaslahi. Inawezekana Abdul hakufika bei.
Kujisifia Abdul anakuheshimu ni ujuha.
So narudia tena . ..*** yourself narudia ten tena na tena, ulishakuja chumbani kwangu nikakufira Hadi ujue Nina stress za maisha...halafu kwamba kujiunga 2010 ndio kwako wewe unaona una success na maisha ...ndio umefanikiwa maisha ...mkunduh weweSo hapo unaona umenitukana? Nipo JF 2010 hadi leo unahisi nshaona matusi mangapi? Umejiunga juzi 2024 unajiona mjuzi wa kutukana🤣 stress zako za maisha usizimalize kwangu. Nguruwe pita sina mkuki leo.