kazi kweli kweli,na manesi nao?? nilijua ni baa medi na wadada wa saluni.....kumbe tuna manesi...haendi mtu kwa vipimo mwenyewe....thanks mkuu.....:A S 20:
Ehe endelea mkuu .....hajakuomba namba za cm?
Pale Dodoma General hospital, kuna medical officer mmoja yeye kazi yake baada ya kumpima/hudumia mgonjwa na kama amependa, ni kuwaomba namba za simu za wagonjwa wanawake kwa kisingizio cha kutaka kukuulizia maendeleo ya ugonjwa wako, lakini baadae anakutongoza, na ukimkataa tu anaanza kusema hata ukikataa lakini nimesha kuona mwili wako wote, hivyo ni heri unipe tu nile kuliko kuninyima kwani huna cha kuficha kwangu?:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:
alipoingia akaniambia itabd uvue nguo kisha ulale pale kitandani..nikamuuliza zote? akajibu ndio! wakati bado nashangaashangaa akaniuliza au nikuvue?
Nikamwambia sii mbaya..akasema inaonekana umechoka akashika tai yangu akatoa then shati akamalizia na vest. Akataka kuvua mkanda nikamwambia huku nitamalizia..baada ya kulala kitandani (ofcz nilibaki na bukta) kwa mshangao eti akauliza kumbe una garden love(nywele za kifuani)
Basi alifanya vituko kibao huku akinipima akauliza kama nimeoa na mengine kibao
ifike hatua tuhudumiwe na watu wa jins ze2
Una nywele kifuani mkuu? Angalia usipangiwe nesi wa kiume!Ni hospital gani mana mi kifua kinanisumbua nataka nikafanye checkup!! niagizie
Una nywele kifuani mkuu? Angalia usipangiwe nesi wa kiume!
kuumbwa mwanaume ni nusu ya kufeli maisha aisee! mimi long taim bek kuna ka daktari ka mschana kalikuwa ukienda clinic yake kanakushika shika ndani ya suruali halaf kanajifanya "we dogo mbona temperature imepanda hivi?, halaf kakinishtukia mishipa imesimama kanajifanya "ooh sorry darling skukusudia kumkera jirani yangu, nenda nje kidogo mpaka atulie" , mimi nilikuwa naenjoy kweli aisee, nikawa daily nahuzuria pale klinik japo kwa hela ya kukopa
.kuumbwa mwanaume ni nusu ya kufeli maisha aisee! Mimi long taim bek kuna ka daktari ka mschana kalikuwa ukienda clinic yake kanakushika shika ndani ya suruali halaf kanajifanya "we dogo mbona temperature imepanda hivi?, halaf kakinishtukia mishipa imesimama kanajifanya "ooh sorry darling skukusudia kumkera jirani yangu, nenda nje kidogo mpaka atulie" , mimi nilikuwa naenjoy kweli aisee, nikawa daily nahuzuria pale klinik japo kwa hela ya kukopa
Sisi binadamu hatuna wema kabisa......! Yule dada wa watu pengine hata mawazo ya kumaanisha hicho unachotaka kutuaminisha hapa hakuwa nayo kabisa! kuna manesi wapo charming sana, akiwa anakuhudumia unatamani ni huyo huyo tu aje akuone, ipo ile mibandidu, hutaki hata lije likuone hata kama linamiumbo ya kimitego!
Na kwangu mimi nesi huyo possibly yuko hivo kwa wagonjwa wake wote, na huwafanyia hivo as part of healing process na si kwamba huwa anamaanisha.....! tatizo sisi miafrika demu akitabasamu au akuchekea au kakupiga bega unajua tayari imekufia au anakumind.....!
Similary huyo nesi angekuja na kauli za kijeshi.....vua ngua haraka, rara hapo kitandani, shusha suruali etc ungekuja tena kulalamika wewe.....!
Acheni hizo fikra potofu sometimes wandugu....!