Maneno yapi mazuri ya kumwambia mwanamke mnayeachana?

Maneno yapi mazuri ya kumwambia mwanamke mnayeachana?

kama utakuwa free njoo dm mkuu nikushauri huwa roho inaniuma sana kuona mtu anavunja ndoa hali ya kuwa kuna njia nyingi sana za suluhu,usipende kutoa chance kwa mtu mwengine kuingilia au kulea mwanao mtampoteza mtoto
 
Mwambie hivi: Mke wangu nilikupenda sana na bado nakupenda lakini kwa kuwa umeamua kwenda we nenda...nakutakia kila la kheri uko unakokwenda naomba umlee vizuri mtoto wetu ....lakini maumivu unayoniachia najua ipo siku nitapata wakuyafuta ....sita kublock lakini najua tutakutana tu kwenye hii dunia haijalishi kwa mazuri au mabaya.....[emoji17]
 
Mwambie, nakupenda leo mpaka kesho itwayo leo. Ukipata hamu tena njoo kwangu nitakupokea kwa bashasha tele.
 
Ndugu,KAMA UNAMWAMINI MUNGU KWELI NA ALIYE HAI SIKU ZOTE NA HATA MILELE BASI HUTAUTUPA MSALABA WA FAMILIA YAKO NA ISITOSHE KAMA UNA ONGOZWA NA UPENDO BASI YAKUBIDI KUVIMILIA ILI UFIKIE ULE UTIMILIFU WA MUNGU WETU HAPO BAADAE AMBAO NIBAADA YA MAISHA YETU HAPA DUNIANI
!!!LABDA NDIO DARAJA LA MWISHO LA WW KUFIKA UTIMILIFU WA MUNGU ALIYE HAI ILI KUKUONYESHA UKUU WAKE LABDA UMEVUMILIA SANA NA SASA MUNGU ANATAKA KUJIONESHA KWAKO NA KUKUPA TAJI LA UVUMILIVU WAKO,,,EBU TAFAKARI...LEO HII HAPO ULIPOFIKA LEO KTK MAISHA YAKO KM WALE WALIOKUWAKIKUSAPOTI KTK MAGUMU YAKO?,UBAYA WAKO ?WANGE JITENGA NA WW UNGEKUWA WAPI? LKN WALIBAKI WAVUMILIVU NA WW ADI ULIPO FIKIA ..NATAMBUA MAISHA YANA CHANGAMOTO ZAKE LKN NDUGU EBU RUDISHA MOYO NYUMA KIDOGO KISHA CHANGANUA TATIZO LAKO KTK HALI YA ''UPENDO"
 
Mwambie hivi...Mke wangu tumeshindwa ndoa peke yake, hatujashindwa kujenga amani tukiwa hatuko kwenye ndoa. Amani yetu iwepo kwa kuwa tunae mtoto ambae hawezi kututenga kuwa wamoja, maana kwa huyu mtoto nitakuita mke na wewe utaiita mme. Nenda na amani, kaitafte furaha na uwe nayo maisha yako yote.
Duh
 
Thread Ipo Uchi, Ivishe Nguo Kwanza
Lete Hoja Zenye Mashiko, Imekuwa Vp Mnaachana
Nani Mkamilifu Kati Ya Ninyi Wawili

Hapa Ni Family Court!!!!
 
maneno mazuri ya nini
tukananeni yaishe hakuna mtu kubaki na good memories
 
Leo lasmi naachana na mke wangu nnae mpenda sana na tumezaa mtoto mmoja kwasababu ambazo ziko nnje ya uwezo wangu imebidi nikubali kumuacha aendelee na maisha yake ambayo anaona yatakua bora na huru kwake

Lakini lengo la kuandika uzi huu nataka mnipe maneno ya busara ya kumuaga na kumtakia maisha mema uko aendako kuishe yeye na mwanangu

Asanteni
you and your son ?? why don't you take your son and nurture him?
 
Leo lasmi naachana na mke wangu nnae mpenda sana na tumezaa mtoto mmoja kwasababu ambazo ziko nnje ya uwezo wangu imebidi nikubali kumuacha aendelee na maisha yake ambayo anaona yatakua bora na huru kwake

Lakini lengo la kuandika uzi huu nataka mnipe maneno ya busara ya kumuaga na kumtakia maisha mema uko aendako kuishe yeye na mwanangu

Asanteni
Yahitaji moyo
 
Kato***e mbele
 
unamwambia:
..manina zako, nakuacha rasmi leo
@#$%^&*+)(*&^%$#@!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom