Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 6,198
- 11,360
Usinywe pombe tafadhali kuna maishabaada ya hapoNiko kwenye hali hio mda natamani ata nikanywe pombe kidogo labda stress zitapungua
Usinywe pombe tafadhali kuna maishabaada ya hapoNiko kwenye hali hio mda natamani ata nikanywe pombe kidogo labda stress zitapungua
Haya maneno nikiyapewa ata nguvu zinaniishia hasa ukute mwanamke ndo ameleteleza yote hayo anaweza kurudi ndan fastaMwambie hivi...Mke wangu tumeshindwa ndoa peke yake, hatujashindwa kujenga amani tukiwa hatuko kwenye ndoa. Amani yetu iwepo kwa kuwa tunae mtoto ambae hawezi kututenga kuwa wamoja, maana kwa huyu mtoto nitakuita mke na wewe utaiita mme. Nenda na amani, kaitafte furaha na uwe nayo maisha yako yote.