Maneno yapi mazuri ya kumwambia mwanamke mnayeachana?

Maneno yapi mazuri ya kumwambia mwanamke mnayeachana?

Mwambie Nakutakia maisha mema wewe na mwanangu nakupenda nitaendelea kukupenda daima nmejitajidi kuwa na ww lakini imeshindikana tunaachana nikiwa bado nakupenda sana lakini sina jinsi nakutakiwa mafanikio mema na kwaheri!! TS hard to Say Goodbye 4 loving One!!
 
Hicho Ni Kipindi Kigumu Ambacho Binafsi Sitaweza Kukisahau, ukizingatia Hasa Awe Mtu Ambae Bado Unamuhitaji Na Hakuna Baya Lolote Ulilomfanyia Ila bado Yeye Analazimisha Muachane.

Mkuu Usijichoshe Kutafuta Maneno Mazuri Ya Kumwambia Mtu Ambae Kwa Sasa Haoni Umuhimu Wa Kuwa Na Wewe. Naamini Hata Ukimwambia Hayo Maneno Bado Hayatabadili chochote kwa Sasa.

Najua Inauma Sana ila Kikubwa Piga Moyo Konde, Heshimu Maamuzi Yake Muache Aende Ili Maisha Yaendelee .
 
Lengo nipate maneno ntakayo mwambia ili abaki akijua bado nampenda
Bahati mbaya hakuna maneno mazuri ya kumuacha mtu yan hata yawe mazuri kwako kwa kiasi gani kwa yule anayeyapokea yatamchoma tu mwambie tu ukweli mchungu akubaliane na hali halisi
 
Duh pole sana mkuu inauma lkn inakuwaga ham a namna ishantokea sikulala wiki nzima lkn nshasahau
Inauma saana asikuambie mtu.... Halafu usiombe mkeo akuage anaondoka huku ukiwa safarini mbali kikazi
 
Maneno mazuri yanini..!!? Hakuna cha maneno mazuri au mabaya labda Kama bado unamuhitaji otherwise Kila mtu aendelee na utaratibu wa maisha yake huku ukikumbuka wajib kwenye ulezi wa mtoto..
Umemaliza! Sina cha kuongezea mkuu
 
Asante kwa maneno mazuri na yenye busara[emoji1303][emoji1303]
Mwambie hivi...Mke wangu tumeshindwa ndoa peke yake, hatujashindwa kujenga amani tukiwa hatuko kwenye ndoa. Amani yetu iwepo kwa kuwa tunae mtoto ambae hawezi kututenga kuwa wamoja, maana kwa huyu mtoto nitakuita mke na wewe utaiita mme. Nenda na amani, kaitafte furaha na uwe nayo maisha yako yote.
 
Ushauri wako nimeupata mkuu lakin wakati nilionao bado ni mgum sana[emoji24]
Hicho Ni Kipindi Kigumu Ambacho Binafsi Sitaweza Kukisahau, ukizingatia Hasa Awe Mtu Ambae Bado Unamuhitaji Na Hakuna Baya Lolote Ulilomfanyia Ila bado Yeye Analazimisha Muachane.

Mkuu Usijichoshe Kutafuta Maneno Mazuri Ya Kumwambia Mtu Ambae Kwa Sasa Haoni Umuhimu Wa Kuwa Na Wewe. Naamini Hata Ukimwambia Hayo Maneno Bado Hayatabadili chochote kwa Sasa.

Najua Inauma Sana ila Kikubwa Piga Moyo Konde, Heshimu Maamuzi Yake Muache Aende Ili Maisha Yaendelee .
 
I don’t want you to be waiting, to be sitting there hoping for me to arrive. No, you are so much more than me, you have a life that is full of meaning and beauty. I don’t want you to leave your canvas blank because you think I’ll be the paint, for you are the paint to your own canvas, you are being made into something wonderful. Don’t dream of me, and forget to live your own wonderful life, because I’ll meet you one day, and we’ll have so much to catch up on. One day, you can take me through the museum that is your life, and I will fall in love with all the stories that lay within those walls. So don’t wait for me, because you and I will start a new life when the time is right, but for now, love the story you are in; I know I will.
 
Lugha nzr hapo ni kukaa kimya,.. Maneno mengi wakati wa kuachana yanaweza kukurudia japo wayaona ni mazuri,,.. Piga moyo konde,... Linda ulimi wako usinene lolote,.. Kwani hata neno "kwaheri" wakati mnaachana linaleta tafsiri tofauti kwa mwenzio... Mwambie, NAKUPENDA SANA NA SITAACHA KUKUPENDA, TUZIDI KUWASILIANA KWA LOLOTE LILE LA MTOTO, ASANTE "
 
Kuachana hakuna neno zuri. Ila kuna busara tu katika kuachana na wewe unayo. Endelea kuanzia hapo ulipofikia. Muhimu mueleze sababu za kuachana kwenu ila ukimwambia hamna sababu katika hali kibinadam atahitaji kujua sababu
 
Sijamuacha mimi yeye kaamua tuachanenimejaribu kumbereza kwa akili yangu yote imeshindikana
Sasa mbona unatuchosha chief kumbe ushaachwa. Pole sana mkuu ndio maisha
 
Ushauri wako nimeupata mkuu lakin wakati nilionao bado ni mgum sana[emoji24]
Imepita Miezi Mitano Toka Nipitie Changamoto Kama Zako Ila Namshukuru Mungu Nimesahau Yote Na Maisha Yanaendelea. Ushauri Wangu Kwako Usimsahau Mtoto Kwa lolote lile na Kama Uwezekano Wa Kuishi nae Upo Mchukue Mwanao.
 
Leo lasmi naachana na mke wangu nnae mpenda sana na tumezaa mtoto mmoja kwasababu ambazo ziko nnje ya uwezo wangu imebidi nikubali kumuacha aendelee na maisha yake ambayo anaona yatakua bora na huru kwake

Lakini lengo la kuandika uzi huu nataka mnipe maneno ya busara ya kumuaga na kumtakia maisha mema uko aendako kuishe yeye na mwanangu


Asanteni
Mwambie kuachana sio kufa tumeishi miaka mingi nawewe nakutakia heri na baraka huko uendako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom