Maneno ya Ujumbe wa Mh. Zitto kwa Viongozi Maswi na Prof. Muhongo hauna maadili ya Uongozi!

Gagnija ,Kama unataka mmliki wa PUMA nenda BRELA ,its very simple to countercheck,lakini kama wewe siyo mvivu.
Nilikwenda kufuatilia kampuni ya Kagoda wakati wa sakata la EPA nikakuta hata kiwanja walichoandika kuwa ndipo yalipo makao ya hiyo kampuni ilikuwa uongo. It was a ghost company. Unawaamini sana BRELA eeh?
 
halafu wewe mbeya kweli,hayo ni mawasiliano ya watu binafsi wewe yamekuwasha ulete huku!
inawezekana zitto hahusiki ila kinachomponza ni hizo compamy na mafisadi.
 
Na akipata urais tukimbilie Somalia wote otherwise tutamkoma kwa sasa Ana edit enemy list Yake pfuuuuu Mimi naanza kufunga virago naenda uhamishoni na nyie mjiandae membe asipowahamishia Kenya basi zito anawahamishia Somalia
 
mamajack Povu la nini?.Soma gazeti au unaishia kusoma jf tu bila kutafuta vyanzo vingine?.tafadhali ongeza kufikri kama hata unafanya challange kwa mdau la sivyo unaweza fananishwa na masaburi.
 
Last edited by a moderator:
dogo kakosea tena

yeye ni chembe tu... akina maswi wako na serikali... haijawahi tokea an individual kupambana na serikali na kushindwa, hasa mtu mwenyewe akiwa na ego na pia akiwa a lone ranger, no matter how good he/she is

ZZK kuna sehemu kateleza, badala ya kuiangalia, yuko bize kupambana na utelezi na kulaumu mvua

RETREAT IS THE BEST THING FOR NOW
aaah kuwa serikalini siku hizi si kitu mbona una mawzo mgando hivi au unatumia u masaburi kufikiri?serikali ipo uchi haiwezi kufanya ki2, huoni walivyoumbuka kwa ULIMBOKA.NA SASA MGOMO WA WALIMU,ANYWAY PENYE UKWELI UONGO HUJITENGA WATANZANIA TUSIWE WEPES WA KU JUDGE TUSUBIRI UKWELI UTAONEKANA,C TUME ZIMEUNDWA TENA BUNGENI,LET S WAIT
 
Na akipata urais tukimbilie Somalia wote otherwise tutamkoma kwa sasa Ana edit enemy list Yake pfuuuuu Mimi naanza kufunga virago naenda uhamishoni na nyie mjiandae membe asipowahamishia Kenya basi zito anawahamishia Somalia
Wote unaowasema hawawezi kupata kura hata mia za URAIS kwa nchi nzima. Labda kama watagombea URAHISI.
 
Tatizo la Watanzania ni kutopenda ukweli, uongo na kulindana vitaiangusha serikali.

Ujumbe wa Zitto, kama ni kweli, ni wa kawaida tu wala hauna dharau, vitisho, kebehi. Tatizo wengine hata wake zenu mnaogopa kuwaambia ukweli mkihofia kunyimwa unyumba sijui? Zitto kaeleza mzizi, katoa na solution kwa mtazamo wake, sasa sijui tunajadili nini hapa, maudhui ya msg ama fani aliyotumia Zitto.

Tuache ushabiki. Hivi ukisikia mkeo anakutangaza ubovu wako utamwambia nini?
 
mamajack povu la nini?.soma gazeti au unaishia kusoma jf tu bila kutafuta vyanzo vingine?.tafadhali ongeza kufikri kama hata unafanya challange kwa mdau la sivyo unaweza fananishwa na masaburi.
povu la sabuni,ila sijui umeliona wapi???masaburi yule kaka yako au??
 
Bila shaka mashine ya "sms spoofing" inaendelea na kazi. Siamini kama Zitto anaweza kumtumia Maswi sms kama hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Mmmhh sasa hebu tueleze, wewe ungependa Zito ajibuje? hebu jifanye wewe ndio Zito kabwe sasa
 
nilifurahi sana nilipoona ujumbe mkali aliouandika mbowe kwenda kwa nchemba na mwisho akaweka saini na nchemba kakoma kuifuatilia familia yake.
naomba kama zitto kaandika na katia saini muitupe huku ili tuendelee kuhesabu vidume vya siasa.
 
Ujumbe aliotoa hajatukana mtu il ametoa la moyoni kwamba hao walisema kapokea rushwa ni uongo na kwa maana moja ni maadui kwake kwani lengo lao sio zuri hivyo unapotaka kupambana na adui yako huwezi kuongea maneno ya kubembeleza, ZZK yupo sahihi kama ni kweli hausiki na sakata hilo na ikibainika hausiki itabidi wote waliohusika kumchafua wamuombe radhi la sivyo awapeleke mahakamani kwani wamemchafua sana.
 
Wanachadema wenzangu si kweli kwamba angekuwa JJ Mnyika yamemkuta haya ya Zitto basi ss tungemponda hivi kama tunavyomponda Zitto.

Najua wengi wetu humu nikiwapo na mm tuna uchungu miyoni kwa mienendo ya Zitto huko nyuma ambayo ilikuwa ikikiweka chama chetu matatani hasa kauli zake binafsi zilizokuwa na utata mwingi,

Lakini inatupasa tutambue mchango mkubwa wa Zzk ktk chama chetu, tukumbuke jinsi zitto alivyokipa CDM jina ktk sakata la buzwagi, tukumbuke japo machache tu hata kama ametukosea meni ila sio kigezo cha kufuta mazuri yake,

Jamani hebu tuache hii tabia ya kumponda Zitto kutwa na kuchwa bali tusubirir majibu ya tume ndo tuje tuhukumu lakini sio kama hivi mnavyofanya nyie.


THINK BIG
 
Tulishaambiwa kuwa kwa sasa kuna mtambo wa CCM wa kutuma sms kwa kuingilia simu yako na kuonyesha ujumbe umetoka kwenye simu yako kumbe siyo! Natilia shaka ujumbe huu kama kweli umetoka kwa ZZK.

Very soon ukweli utawekwa wazi tujue mbichi na mbivu.
 
Upo uwezekano kuna kitu ambacho ZZK anakifahamu kuhusu maswi na muhongo, ambacho kwacho amemtahadharisha (kupitia inayodaiwa kuwa "sms") maswi kuwa "hajawahi kushindwa vita kisiasa dhidi yake" atakitumia kumuumbua muhongo ili asomeke "muongo"

hofu yangu ni hiyo tume kama ina maadili na weledi wa kutosha kulitamka "koleo" na si kijiko kikubwa,

Kwa kuwa wanaitafuta chadema kwa kila hali ili wajitutumue kuomba huruma ya wananchi, ccm wanalenga kumvua samaki mkubwa kwenye bwawa na chadema wapate "spesimeni" wanafanya kwa uangalifu mkubwa kuyasubirisha masikio yooote yenye kiu kusikia probe hatua kwa hatua, ili matokeo yakiwa mabaya kwa upande wao (ccm) wamtafute "kova" acheze muvi.

N.B mpaka leo bunge halijapewa matokeo ya uliokuwa ushahidi wa aliyekuwa mbunge wa arusha dhidi ya "waziri mkuu kulidanganya bunge"

Naomba sana kwa maslahi ya tanzania, proceeding irekodiwe ili mwisho wa kesi watuchezeshee tuone nani alisema nini na nani kamtaja nani kuhusika, pamoja na utetezi wao ili tuipime hukumu.
 
Put yourself in ZZK shoes. Kama unauhakika kuwa hujachukua pesa alafu mtu anakupakazia uongo mkubwa kama hivi utatumia lugha gani kufikisha ujumbe wako. Mimi hapa sioni tatizo as long as hajachukua hiyo pesa. Maneno ya mheshimiwa mheshimiwa ndo yanatufanya kuwa na nidhamu wa woga.
Lifestyle yake imetiliwa mashaka muda mrefu na kuna jambo ambalo halijawa wazi mpaka sasa.
Nini uhusiano wa Zitto na Nzoka,nina shauku kubwa sana kuona tuna dig deep na kuupata ukweli.
 
Back
Top Bottom