Hiyo ndio lugha inayofaa, hii kupakana mafuta wakati wanakuangamiza si sawa. Maana waswahili wanasema akumulikae mchana usiku atakuunguza. Shida tulionayo ni kuwa kila ujumbe tunausoma kimtazamo, nadhani bunge limetuharibu kabisa. Hata neno la kawaida tunaomba mwongozo kuwa ni lugha ya kuudhi.