Wengi wa wathirika wala hawana ajira rasmi. Hawa jamaa wanatafuta tu victim wa kumtolea hasira zao eti wageni wanawachukulia kazi zao. Waseme ni wageni wangapi wanafanya kazi za kusafisha au kuuza super markets............. uvivu wao na pride inawafanya wadharau kazi na biashara ndogo ndogo. Hawakuzoea viduka vya mlango mmoja au vya kuuzia toka dirishani. Sasa mgeni mgeni kaaingia na hizo biashara ndogo ndogo wanaona anatengeza pesa .......... wivu umewaingia. Most of those people are unemployable ndiyo sababu wana muda wa kufanya fujo!!
Ila serikali ya SA nayo ni ya kulaumiwa. Wazungu wanawazidi akili .................. Mpaka leo cariculum ya shule imeshindwa kuwafundisha historia ya kuwa kuna wenzao (wapigania uhuru) waliishi nje na kuna nchi kama Tanzania. Zambia n.k. zimewasaidia katika ukombozi. Ndiyo maana adui yao ni mweusi mwenzao tu na siyo mgeni mweupe wala mchina. Actually, number ya wageni wazungu, wachina na wahindi wageni inawezekana ni kubwa kuliko ya weusi lakini wao hawalioni hilo!!