Maneno ya kejeli ya mume wangu

Maneno ya kejeli ya mume wangu

Ninachelea kusema kwamba,kama jamaa nae ana tatizo la uzazi na haya ndo unayoyaeleza,basi kuna ukweli ambao hujaueleza na hautakaa uueleze hadharani....

Ninachokiona ni wewe kutaka kusikia unachokipenda,unataka kuambiwa kile unachowaza ili kupata uhalali...

Kwa sababu kwa wanaume wote ambao wanajijua wana matatizo hayo na wenzi wao wana matatizo hayo,wamekuwa ni waaminifu +100%,nakuwa nao bega kwa bega katika ndoa zao kabla hawajaumizwa..

Hakuna furaha au raha inayokuja baada yakutenda mabaya kwa mtu mwingine,hata ukizunguka nakuwa single..kama ulishawahi kumuumiza mtu au huyo jamaa sahau kuhusu furaha au raha unayoitaka..

Ukweli wa mambo unaujua wewe kwa kiwango chote,angalia ulipoharibu kisha uparekebishe ndipo uendelee mbele..

Ewaaa mkuu umenena
 
Dah! Nimezoea kusikia case kama zako mtu anavumilia akihofia watoto watateseka,sijaelewa wewe unavumilia ili nini?
Cheti cha uvumilivu wako ni magonjwa tu,kama ndio unayosubiri sawa.
 
Nacherewa, pole na shida zote hizo, ila binafsi huwa sikubaliani na sipendi aka katabia ka watu kuanika shida zao za Kimahusiano-hasa watu wazima kama nyinyi. Shida ni kwamba kama naye anapita humu ulicho kiandika ni sawa na mtu aliyebandika picha (pengine ndo maana hakuna comment ya kuomba picha) nafikiri hili nalo linaweza kuongeza shida.

Lakini pia hizi "ready made" advise lazima uwe kama 'Mbayuwayu" vinginevyo utabeba experience ya mtu mwingine. Naona wengi wanakutaka uondoke, uende wapi? kwa nani? There is no PANACEA for couples relationship.

Waone Madaktari ufanye uchunguzi wa kutosha, madaktari wengine wanatibu kwa kukariri tu bila uchunguzi wa kutosha!

All the Best!
 
Last edited by a moderator:
Kwanza kwa tatizo lako la polycystic ovarian syndromes nadhani ungefatilia zaidi nadhani huenda utanikiwa kupata mtoto... Nasema hivo kwasababu mke wangu mm anatatizo kama lako, alikua mnyonge sana ila tulienda kumuona daktari wa kina mama... Baada ya miezi mitatu alipata ujauzito. Na sasa anakaribia kujifungua.. Hivi nadhani wewe na mumeo mungeenda kuwaona madaktari Wa uzazi.. Maaana pia zipo dawa zinazotumika kuengeza uzalishaji wa sperms kwa mwanaume
 
Mhhh nikishasikiaga mwanaume Malaya nanyongonyeeea kabisa nashindwa hata kuongea, ushauri wangu kwanza kapime afya yako yaani damu kubwa ukijikuta mzima basi bora ukavunje ndoa uwangalie maisha mengine kabla hujapoteza nguvu zako nyingi kwahiyo mtu pia ukikuta keshakuletea maambukizi mkimbie pia maana atakusababishia ufe mapema, nimekwambia hivyo kwasababu wanaume kama hao hawatumiagi kinga wakikutana na michepuko kwavile wanatafuta watoto anatamani apate hata mimba yakusingiziwa Matokeo yake nikuishia kwenye maambukizi ya vvu kaa chonjo chukua hata haraka, swala la wewe kutokupata mtoto ndio lakuangaikia sio kuangaika nahuyo mumeo pia stress ni tatizo kubwa lakuzuia mimba majibu ya dktr yasikuogopeshe jipange anza mfumo upya wa maisha yako usiriski uhai wako kwaajili yamtu asiye na utu eshimu uhai Mungu aliokupa nanafasi yako yakuishi nitumie vizuri

Dear mleta mada follow ushauri huu.. Hata kama ndoa ya Church inavunjika just kwa uzinzi wake... Pole sana... Thanks..
 
Usiondoke na wala usikasirike.Piga magoti kwa mungu kwa sababu huyo ni mumeo.Kama vp ni pm nikuelekeze kwa mtumishi akuombee.wengi wamepona!if you believe God!Ukisoma bible utaona wale tasa walipata watoto,why u?NAONA MUNGU ANAENDA KUYATOA MAUMIVU YAKO,WEWE NI MAMA!LAZIMA UWE MAMA KWA JINA LA YESU.YESU ALISEMA MKINIOMBA LOLOTE KWA JINA LANGU NITALIFANYA.KUMBUKA KUWA LISILOWEZEKANA KWA BINADAMU,KW MUNGU LINAWEZEKANA.MSAMEHE MUMEO,MLILIE MUNGU!

Amen.
Mungu amutie nguvu huyo dada ili asimame kwenye maombi tu na mungu atamjibu.
Mwenye haki huwa haachwi na mungi.
 
Kwanza kwa tatizo lako la polycystic ovarian syndromes nadhani ungefatilia zaidi nadhani huenda utanikiwa kupata mtoto... Nasema hivo kwasababu mke wangu mm anatatizo kama lako, alikua mnyonge sana ila tulienda kumuona daktari wa kina mama... Baada ya miezi mitatu alipata ujauzito. Na sasa anakaribia kujifungua.. Hivi nadhani wewe na mumeo mungeenda kuwaona madaktari Wa uzazi.. Maaana pia zipo dawa zinazotumika kuengeza uzalishaji wa sperms kwa mwanaume

Dear mleta mada ..huu ushauri pia uufuate .. Ni kweli ndugu unachokisema..but I think my sister doesn't have support from her cheating husband.. You succeed because you were willing to b there for your wife and take this matter as yours too ...That's why you both succeed.. I'm scare for my sister if she will go by herself and get herself pregnant her stupid husband would even denied his own baby ... I think she needs to check on her health start with HIV and then break this marriage and move with her life.. The husband she has is the monster and not husband na wala hastahili kuitwa husband .. He is the Devil.. Thanks..
 
Kuna vitu vya kumuomba Mungu. Hili la huyu Nacherewa Mungu alishalijibu zamani kwani ameweza kumuonyesha tabia kamili ya mume wake na lililobaki hapo ni kuchukuwa hatua. Tunatakiwa kuwa na maarifa Mungu ametupa akili... hakuna sababu ya kung'ang'ana na mume mzinzi. Wanawake wengi wamekuwa wanyonge kwa kunyanyasika na kuendelea kuvumilia mateso hata pale penye uwezo wa kutoka na kuishi kwa furaha na ndio maana makanisa yanajaa wanawake wanaolia kila siku kwa mambo ambayo hawakupaswa kuyalilia na matokeo yake huambulia kufa kwa magonjwa ya kuambukizwa na hao wanaume waliokuwa wakiwalilia usiku kucha. Wengine huwa wanafikia hatua ya kuwaombea hao wanaume wafe ili wawaache wajane! Wanawake zindukeniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii looool

sijui kama utakuwa mwana ndoa ndugu yangu.
ndoa inauma sana.
kuondoka sio suruhisho.
Na ndoa nyingi siku hizi ni za hivyo hivyo.
vinginevyo ataolewa hata mara kumi na wanaume ndo wale wale na kelo zao ni hizo hizo kama si kuchepuka ni kulewa na mambo mengine.


NDOA NI UVUMILIVU..
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa ushauri, ninatibiwa kwa specialist , daktari anasema hili tatizo linatibika na ninaendelea kutumia dawa za hospital, ila na yeye anatakiwa atumia dawa na vyakula vya kuongeza sperm. Ila kwa stress hizi ni ngumu kupata mtoto na tendo lenyewe la ndoa ni mara chache mtoto atapatikana vipi.

Jipe moyo dada.
Mwenyezi mungu anakuona mpaka ndani ya moyo wako.
Kazania maombi na utashinda tu.
 
Amen.
Mungu amutie nguvu huyo dada ili asimame kwenye maombi tu na mungu atamjibu.
Mwenye haki huwa haachwi na mungi.

Amen.. Ni kweli Mungu anajibu but we need to stop kumsukumia kila Kitu Mungu. God gave us wisdom , intelligent, and Open Mind ..Kama Mungu angekuwa anapenda sexual immortal but asinge ruhusu tuwe na mke 1 or mume 1 .. Tunaooana because of that.. Any ndoa inayoingia Uzinzi Mungu haruhusu na hapendi ...hata kidogo. Mnamuambia akae ili aletewe na HIV pia ? Sawa she has been faithful unto God but also God gave us a brain to think huku tukiendelea kumtegemea yeye. Akishapata huo Ugonjwa yeye ndio kwanza atakeyekuja kumlilia Mungu name kwa malalamiko ili amponye wakati Mungu anamuonyesha Nyakati alizo nazo sasa hivi .. Mimi simshauri awe na mwanamme mwingine ila ajiondoshe hapo alipo otherwise atakuja kufa kabla siku si zake. Na ndoa inavunjika hata iwe ya kanisani kwa sababu ya Mume kuwa Mzinzi ... Nipe Verses kutoka kwa Bible zinazo Sema mke or mume mzinzi uendelee nae kwa ndoa. Aaghhh.. Wewe MTU anaingiza multiple women in the bedroom their bedroom , their own bed for God sake ..Alishaaiua hiyo ndoa the first day he did that .. its a curse for him to do that ..unless atubu.... Haogopi wala kumuheshimu Mungu. Thanks..
 
'KHERI KUWA NA PENGO KULIKO KUWA NA JINO BOVU'.. Fanya maamuzi magumu for your own sake!
 
Kwa shida na raha till death do you part, ulipokuwa unazungumzia shida ulikuwa unazijua shida au ulikariri tuu, maji yako hayo mama ogelea mwenyeweee
 
Back
Top Bottom