Maneno ya kejeli ya mume wangu

Maneno ya kejeli ya mume wangu

Kwanza niweke sawa maeneo yafuatayo

1.una ndugu polisi wana vyeo lakinimukapeleka chai ukaambiwa kishaletewa na mkewe? Polisi wanauliza wewe ni nani unapoenda kumuona mtuhumiwa? Acha uongo wewe binti ndio maana huzai
2. Huyo mwanamke alikuambia alishawahi kulala kwako wakati umesafiri wakati umesema aliambiwa hajaoa huyu mtu sasa alijuaje kama umesafiri wakati aliambiwa hana mke? Acha uongo ndio maana anajuta sijui kwa nini kakuoa

Haya mahekaya wasimulie watoto wenzio kwenye vibaomkata huko sio unaleta mambo haya kwetu wachambuzi ma nguli ..utafungwa kwa kuwa muongo muongo wewe
 
huyo hakufai! huna utouti na mm, mi asubuhi nimelalamika mke wangu katoroka na kabeba kila kitu so mi nahisi sio suala la kujiuliza mara mbili achana nae.
 
huyo hakufai! huna utouti na mm, mi asubuhi nimelalamika mke wangu katoroka na kabeba kila kitu so mi nahisi sio suala la kujiuliza mara mbili achana nae.

Nini kimemsibu hadi kutoroka?
 
Kwanza niweke sawa maeneo yafuatayo

1.una ndugu polisi wana vyeo lakinimukapeleka chai ukaambiwa kishaletewa na mkewe? Polisi wanauliza wewe ni nani unapoenda kumuona mtuhumiwa? Acha uongo wewe binti ndio maana huzai
2. Huyo mwanamke alikuambia alishawahi kulala kwako wakati umesafiri wakati umesema aliambiwa hajaoa huyu mtu sasa alijuaje kama umesafiri wakati aliambiwa hana mke? Acha uongo ndio maana anajuta sijui kwa nini kakuoa

Haya mahekaya wasimulie watoto wenzio kwenye vibaomkata huko sio unaleta mambo haya kwetu wachambuzi ma nguli ..utafungwa kwa kuwa muongo muongo wewe

Asante kwa matusi na kejeli, jambo usilo lijua ni kama usiku wa giza.
 
Kwanza niweke sawa maeneo yafuatayo

1.una ndugu polisi wana vyeo lakinimukapeleka chai ukaambiwa kishaletewa na mkewe? Polisi wanauliza wewe ni nani unapoenda kumuona mtuhumiwa? Acha uongo wewe binti ndio maana huzai
2. Huyo mwanamke alikuambia alishawahi kulala kwako wakati umesafiri wakati umesema aliambiwa hajaoa huyu mtu sasa alijuaje kama umesafiri wakati aliambiwa hana mke? Acha uongo ndio maana anajuta sijui kwa nini kakuoa

Haya mahekaya wasimulie watoto wenzio kwenye vibaomkata huko sio unaleta mambo haya kwetu wachambuzi ma nguli ..utafungwa kwa kuwa muongo muongo wewe

Tuliza kichwa ujifunze kuelewa,
Waalimu wana kazi ngumu sana.
 
Kwa shida na raha till death do you part, ulipokuwa unazungumzia shida ulikuwa unazijua shida au ulikariri tuu, maji yako hayo mama ogelea mwenyeweee

Unafahamu tofauti ya shida na mateso?
 
hiyo kazi ni ndogo dada yangu,niPM nikupeleke kwa mganga.huyo atakuwa anakupikia,anakufuria na vyote unavyotaka niPM tafadhari
 
Ndoa hizi, yaani watu wanaishi na maumivu ya moyo kila siku. Hivi ulishawahi jiuliza lini utakuja kupata furaha maisha mwako? Tangu unasoma shule ya msingi, sekondari, chuo, kazini maisha hayo yote yamejaa stress. Haya mtu unavumilia tu yote hayo. Ukasema ukija pata kazi utaishi maisha ya furaha, kazi nako majungu na fitina ndio zimejaa, hakuna furaha wala amani ila unaendelea kuvumilia tu. Unasema basi ngoja nioe/niolewe ili niwe na mwenza wa kunifanya nisahau haya maswaiba ya nje, huko ndani ndio balaa, maana afadhali hata hayo mengine unaweza kuyawacha huko nje kwa muda, lakini mwenza wako nae anakua hana yale uliyoyataraji, yaani ni bora hata hao wa anje hawana umuhimu. Hivi lini watu wataishi maisha ya furaha, kwa mtindo huu ina maana mtu hadi unaingia kaburini wewe ni matatizo na masononeko ya moyo huna hata raha. Ahaaaa, maisha kumbe ndivyo yalivyo, halafu unanishauri ndoa, thubutu, bora raha nijipe mwenyewe hata ukisema ni mbinafsi sawa tu, lakini sio kuishi maisha ya mashaka kila siku as if uko gerezani. Hakuna kitu kibaya kama kutokuwa na amani ya moyo. Wanakuambia raha jipe mwenye, sasa unaishi maisha ya mateso kama mfungwa. Poleni wenye maisha ya namna hii

Maisha ya binadamu yamezungukwa na matatizo maisha yake yote
 
sijui kama utakuwa mwana ndoa ndugu yangu.
ndoa inauma sana.
kuondoka sio suruhisho.
Na ndoa nyingi siku hizi ni za hivyo hivyo.
vinginevyo ataolewa hata mara kumi na wanaume ndo wale wale na kelo zao ni hizo hizo kama si kuchepuka ni kulewa na mambo mengine.

NDOA NI UVUMILIVU..

Naomba uisome vizuri Avator yako then uniambie ina maanisha nini maana inawezekana hiyo lugha ni ngumu kueleweka, tena unidadavulie kama ni vema kuendelea kumvumilia asiye wa furaha yako!

tuache kasumba za kung'ang'ana na maumivu kwa lengo la uvumilivu... hakuna taji mbinguni wala duniani kwa hili.

Mungu alipotuumba hakutawa na lengo tuishi kwa kuumia na kuumizana. Alimuumba mwanamke awe msaidizi wa mume wake, tena kila mmoja kwa ubavu wake! sio tuwe watesekaji... ila tuishi kwa raha na kuzaliana tukimtukuza yeye.

Naumia kuona tunatetea kuumizwa na kunyanyaswa
 
Hakuna maisha yasiyokuwa na changamoto dada, la msingi omba Mungu na pia tafuta nafasi mshaueiane kama atahiyari basi muwaone wataalamu wa uzazi ili mjue kama matatizo ya kuzaa yanaweza tatuliwa msaidiwe.
 
haya mambo haya! puuuuuuuuuuuuuu! Asprin hebu tuonane baadae tukazie ndoa yetu! kuna mwenye swali??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom