Maneno ya kejeli ya mume wangu

Maneno ya kejeli ya mume wangu

Jamani Pole sana inasikitisha sana mshirikishe MUNGU ndo jawabu la mambo yote.
 
Kuna kipnd tunajarbu kujiondoa ufahm ssa hapa unataka tkwambie nn wakati mumeo akutaki achna nae
 
Aiseee huyo mwanaume anaroho mbaya sana saaaanaaa,pole mamii manyanyaso ndani ya ndoa yanaumiza moyo kuliko,nimekuhurumia sana mamii,hembu jaribu kuendelea kuvumilia huku ukimwomba Mungu kwa imani,Mungu akutie nguvu.
 
Asante sana
 
Hizi ndoa kweli zina changamoto nyingi!!
 
Hiyo ni mitihani Mungu anakupitisha ipo cku yataisha. Na siku zote mwsho wa mateso ni furaha, God has prepare somethng good for you. Jipe moyo. Lakin pia unaweza ukampisha hapo home abaki mwenyew, ipo cku ataona umuhimu wako atakutafuta tu.
 
Asante sana mkuu Mungu akubariki
 
Wanaume wakiona wako chini kwa kiti fulani kwako lazima wabwate ovyo, ila maneno yanauma. Pole
 
Back
Top Bottom