Maneno ya kejeli ya mume wangu

Maneno ya kejeli ya mume wangu

Usiondoke na wala usikasirike.Piga magoti kwa mungu kwa sababu huyo ni mumeo.Kama vp ni pm nikuelekeze kwa mtumishi akuombee.wengi wamepona!if you believe God!Ukisoma bible utaona wale tasa walipata watoto,why u?NAONA MUNGU ANAENDA KUYATOA MAUMIVU YAKO,WEWE NI MAMA!LAZIMA UWE MAMA KWA JINA LA YESU.YESU ALISEMA MKINIOMBA LOLOTE KWA JINA LANGU NITALIFANYA.KUMBUKA KUWA LISILOWEZEKANA KWA BINADAMU,KW MUNGU LINAWEZEKANA.MSAMEHE MUMEO,MLILIE MUNGU!
 
Kuna vitu vingine tunamsumbua Mungu bure.

Hapana, hakuna anaeweza kumsumbua Mungu ndio maana kila siku tunasali, mtu akioa au akiolewa na kusema zile vows mbele ya Mungu, huyo ni wa kwako...no one was born to suffer, huyu dada akiliangalia suala lake kidunia atapata ushauri na ideas na kidunia ila akiliangalia kiroho atapata solution toka kwa Mungu, omba na utapewa, sasa katika kuomba lazima ajue what hinders prayers from being answered cause unaweza kuta kasali sana tu ila haoni majibu.

Mungu hachoki kutusikiliza.
 
Pola sana dada Faiza foxy, chukua uamuzi sahihi kabla hayaja kukuta makubwa zaidi.

Mkuu natamka baraka juu yako siku hii ya leo na kila siku. Nakugawia baraka zangu kwa mamlaka niliyonayo baada ya wewe kunifanya nicheke sana.

Uwe na wakati mwema
 
Nacherewa

poleee sana kilichoniuma ni kuona huo umri huna mtoto. Kuna wifi yangu she is 37 hajawai kupata mtoto amaolewa zaidi ya wanaume 4 mtoto wapi. Mwezi wa 12 mwaka jana mama yangu alimpeleka uganda kwa ma specialist wakafanya vipimo vyotee. Dr akampa dawa nyingi zikiwemo za kuzibua milija. Akamwambia arudi mwezi wa kwanza akampima akamwambia bado tatizi lipo

aliporudi akanambia wifi nimechoka nimekata tamaa hata kwa ma dr ug naona sifanikiwi nikampa moyo. Nikamwomba mama yangu amrudishe tena tho wifi alikuwa kagoma.

Sasa hapo ilikuwa mwezi wa tatu yaan dada siamini juzi amenipigia sim kuwa mwezi wa 4,5 mpaka sasa hajaona siku zake.

Ikumbukwe kuwa miaka iyooo yote waganga wa kienyeji ndo walikuwa kimbilio.
 
Last edited by a moderator:
Nacherewa, Je huko nje mimeo alishazaa mtoto na hao wanawake zake? Maana hili ni la msingi na wewe hujasema lolote.
 
Last edited by a moderator:
Duh! Ndoa hizi...ndio maana hao ma-ex wake anaowasifia sasa hawakukubali kuolewa naye manake walijua ni pasua kichwa.
Pole sana ndugu, kama hujafanya maombi kwa ajili yake anza sasa, sugua goti Mungu atambadilisha
 
Hapana, hakuna anaeweza kumsumbua Mungu ndio maana kila siku tunasali, mtu akioa au akiolewa na kusema zile vows mbele ya Mungu, huyo ni wa kwako...no one was born to suffer, huyu dada akiliangalia suala lake kidunia atapata ushauri na ideas na kidunia ila akiliangalia kiroho atapata solution toka kwa Mungu, omba na utapewa, sasa katika kuomba lazima ajue what hinders prayers from being answered cause unaweza kuta kasali sana tu ila haoni majibu.

Mungu hachoki kutusikiliza.


Kuna vitu vya kumuomba Mungu. Hili la huyu Nacherewa Mungu alishalijibu zamani kwani ameweza kumuonyesha tabia kamili ya mume wake na lililobaki hapo ni kuchukuwa hatua. Tunatakiwa kuwa na maarifa Mungu ametupa akili... hakuna sababu ya kung'ang'ana na mume mzinzi. Wanawake wengi wamekuwa wanyonge kwa kunyanyasika na kuendelea kuvumilia mateso hata pale penye uwezo wa kutoka na kuishi kwa furaha na ndio maana makanisa yanajaa wanawake wanaolia kila siku kwa mambo ambayo hawakupaswa kuyalilia na matokeo yake huambulia kufa kwa magonjwa ya kuambukizwa na hao wanaume waliokuwa wakiwalilia usiku kucha. Wengine huwa wanafikia hatua ya kuwaombea hao wanaume wafe ili wawaache wajane! Wanawake zindukeniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii looool
 
Last edited by a moderator:
Kuna vitu vingine tunamsumbua Mungu bure.

Kwa hili nimekuelewa sana mkuu. Naona bado kuna dhana ya kwamba mwanamke akiachika anadhalilika au mwanamke asieolewa anakua hana heshima!!! Lakini kwa hili asubirie maradhi
 
Nendeni kanisani mtayamiza mwisho kwa doctor wa akina mama.kwa chuki hizo hawezi toa adequate amount ya sperms
 
Back
Top Bottom