Maneno ya kejeli ya mume wangu

Maneno ya kejeli ya mume wangu

Kuna vitu vya kumuomba Mungu. Hili la huyu Nacherewa Mungu alishalijibu zamani kwani ameweza kumuonyesha tabia kamili ya mume wake na lililobaki hapo ni kuchukuwa hatua. Tunatakiwa kuwa na maarifa Mungu ametupa akili... hakuna sababu ya kung'ang'ana na mume mzinzi. Wanawake wengi wamekuwa wanyonge kwa kunyanyasika na kuendelea kuvumilia mateso hata pale penye uwezo wa kutoka na kuishi kwa furaha na ndio maana makanisa yanajaa wanawake wanaolia kila siku kwa mambo ambayo hawakupaswa kuyalilia na matokeo yake huambulia kufa kwa magonjwa ya kuambukizwa na hao wanaume waliokuwa wakiwalilia usiku kucha. Wengine huwa wanafikia hatua ya kuwaombea hao wanaume wafe ili wawaache wajane! Wanawake zindukeniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii looool
Well said et ukae unaenda kanisani kuombea jitu lililokengeuka kuna ujinga wa hvyo uyo Mungu nae tumpunguzie
 
Back
Top Bottom