Maneno ya kejeli ya mume wangu

Maneno ya kejeli ya mume wangu

Mwanzo 3:14-16, matatizo hayaanzi machoni hapa au kwenye ubongo, yanaanza katika ulimwengu wa kiroho, mtu asipotambua hilo hawezi elewa na anaweza akaomba yote hayo na kwa imani akayapata kasoro ya adui yake anayemletea matatizo kugeuka kuwa rafiki

Ni kweli kabisa kila jambo sio matatizo tu linaanzia kwenye ulimwengu wa kiroho kabla ya kuzaliwa kwetu duniani. Huwa tunashiriki na kujua maisha yetu yatakuwaje duniani. Tatizo dhambi hufunika uwezo wa kutambua na kukumbuka maisha yetu yatakuwaje duniani. Hapo tulipaswa kuwa wa kiroho kwa kudumu katika maombi na yote yanayotusumbua yasingetokea maana tungeyajua kabla. Ndio maana nikasema sio kila kitu kinaombewa, kuna vingine unaviepuka tu, na ndio Maana unawezaomba na ukajiona kama hujibiwi bila kujua lile jambo lilitakiwa kuchukuwa hatua fulani na sio kukaa na kuliombea. Sana sana kama unaweza uingie huko kirohoni na kuangalia nini cha kufanya.

Hiyo mwanzao uliyoiquote... inaonyesha uadui wetu na shetani ulipoanzia na adhabu tuliyopata kwa kutotii kwa Hawa. Hapa tunazungumzia Kuondoka katika maisha ambayo si ya raha kwetu, haina maana kwa kuwa tulitenda dhambi basi tutaishi kwa kuumia duniani na kuwa watu wa kulia na kuomboleza bila sababu ... hilo Mungu alitupa neeema kwa damu wa mtoto wake. Ni somo refu sana unaweza usinielewe. Ila point yangu inabaki kwa Nacherewa kuondoka na kutafuta amani na furaha Maana Mungu wetu alituhakikishia kuishi kwa raha tukimtegemea yeye, jicho la kushoto likukosesha ling'oe. Najua bado ni ngumu kunielewa
 
Last edited by a moderator:
Sasa nimeanza kupata picha kamili ya uwezo wako wakufikiri na kung'amua ni mfinyu mnoo..hustahili kupitia katika haya majukwaa au kwenye thread kama hizi na kuacha ushauri

3599759.jpg
 
Ni kweli kabisa kila jambo sio matatizo tu linaanzia kwenye ulimwengu wa kiroho kabla ya kuzaliwa kwetu duniani. Huwa tunashiriki na kujua maisha yetu yatakuwaje duniani. Tatizo dhambi hufunika uwezo wa kutambua na kukumbuka maisha yetu yatakuwaje duniani. Hapo tulipaswa kuwa wa kiroho kwa kudumu katika maombi na yote yanayotusumbua yasingetokea maana tungeyajua kabla. Ndio maana nikasema sio kila kitu kinaombewa, kuna vingine unaviepuka tu, na ndio Maana unawezaomba na ukajiona kama hujibiwi bila kujua lile jambo lilitakiwa kuchukuwa hatua fulani na sio kukaa na kuliombea. Sana sana kama unaweza uingie huko kirohoni na kuangalia nini cha kufanya.

Hiyo mwanzao uliyoiquote... inaonyesha uadui wetu na shetani ulipoanzia na adhabu tuliyopata kwa kutotii kwa Hawa. Hapa tunazungumzia Kuondoka katika maisha ambayo si ya raha kwetu, haina maana kwa kuwa tulitenda dhambi basi tutaishi kwa kuumia duniani na kuwa watu wa kulia na kuomboleza bila sababu ... hilo Mungu alitupa neeema kwa damu wa mtoto wake. Ni somo refu sana unaweza usinielewe. Ila point yangu inabaki kwa Nacherewa kuondoka na kutafuta amani na furaha Maana Mungu wetu alituhakikishia kuishi kwa raha tukimtegemea yeye, jicho la kushoto likukosesha ling'oe. Najua bado ni ngumu kunielewa

that is a fight, akiamua aondoke good for her, akiamua abaki ajue yuko kwenye war zone...hopefully akienda to wherever atakapoenda atapata mume na mtoto, but if not, ajue the fight is still on, atazunguka mara ngapi, atakaa mwenyewe na kuanza maisha upya ili iweje? nawajua kibao ambao were not happy, wakasali na Mungu akawajibu, choice is hers...kaingia kwenye ndoa,tatizo limeingia..yeye ndio ajue afanyeje,ni yeye na faith yake,unaweza ukaepuka tatizo ila ikafika mda tatizo unaliona baadae wkt tayari limekua,hapo ndio utachagua kuliruka au go throught it and destroy it,matatizo ndani ya ndoa nayo ni hvyo hvyo,either uisikie roho ya Mungu au ignore it na sikiliza nafsi yako,simple
 
Nacherewa

Chagua kuachananae ubaki hai au kuletewa ukimwi chumbani badala ya doti ya kanga
 
Last edited by a moderator:
that is a fight, akiamua aondoke good for her, akiamua abaki ajue yuko kwenye war zone...hopefully akienda to wherever atakapoenda atapata mume na mtoto, but if not, ajue the fight is still on, atazunguka mara ngapi, atakaa mwenyewe na kuanza maisha upya ili iweje? nawajua kibao ambao were not happy, wakasali na Mungu akawajibu, choice is hers

Maisha sio mume na mtoto. Maisha ni raha, furaha na kila jambo zuri Mungu alilotupangia. Ameomba ushauri na mimi nimemshauri aondoke. wewe umemshauri aombe na kuendelea na huyo mume. Yeah Choice is hers.
 
nimeumia sana sana sana sanaaaa nimepitia situation kama ya kwako hakika inaumiza sanaaa ila mimi niliondoka bcz maisha ni all about happyness and peace and love and being free ingawa kuanza upya ni kugumu sanaaa kuna umiza mnooo utajikuta unatembea na watoto wadogo bila kujua au unatembea na mijizee utaona hurizishwi utafeel vurugu zoote huko nje lkn kuishi kwenye jela ya mapenzi ni ngumu bcz ukiwa free ukiona huyu hakufai u let him go poleee pole sana kama unafikiri u can fight fight for him lkn kama unaona huwezi let him go and let in God
Nacherewa Hii situation (in red) wanapitia karibu wanawake wote wanaotoka ndoani. Hii yote ni ktk kutafuta mb....oo za kuvizia, usipojiangalia unakuwa malaya jumla, au unakuwa mchepuko wa mtu. Sasa kuliko kuwa malaya au mchepuko (coz one of these is likely) ni bora ukaendelea kuwa nyumba kubwa kwa mumeo.

Kusema utakituliza hadi upate mwanaume mwingine wa kukuona ni kuidanganya nafsi yako ilihali mwili unataka na ulishazoea hiyo mara 2 kwa wiki. Mimi sikushauri kuachika coz utaishia kuwa mchepuko au malaya, think twice!!

cc Sista atoto njoo utoa ushauri wako bana, pale si umeshangaa tu na kuondoka khaa!!
 
Last edited by a moderator:
hv dada yangu kweli unasubiri sisi ndo tukwambie cha kufanya? au unatafuta excuse tu ya kuendelea kuwa kwenye hiyo ndoa, kwanza hata haifai kuitwa ndoa jamani mwee
 
Nacherewa Hii situation (in red) wanapitia karibu wanawake wote wanaotoka ndoani. Hii yote ni ktk kutafuta mb....oo za kuvizia, usipojiangalia unakuwa malaya jumla, au unakuwa mchepuko wa mtu. Sasa kuliko kuwa malaya au mchepuko (coz one of these is likely) ni bora ukaendelea kuwa nyumba kubwa kwa mumeo.

Kusema utakituliza hadi upate mwanaume mwingine wa kukuona ni kuidanganya nafsi yako ilihali mwili unataka na ulishazoea hiyo mara 2 kwa wiki. Mimi sikushauri kuachika coz utaishia kuwa mchepuko au malaya, think twice!!

cc Sista atoto njoo utoa ushauri wako bana, pale si umeshangaa tu na kuondoka khaa!!

Aiii mie sio muumini wa hiyo kauli sijui ya vumilia uwe nyumba kubwa siji nn, akuuu furaha yangu mataz kwanza, siwezi jipa mateso kisa nimeizoea mb..ooo ya mtu fulani katu, huo upuuzi ndio umeua wanawake wengi japo wanatembea ila walishakufa siku nyingiiii.
 
Nimekuelewa sista, pia naheshimu feeling zako. Lakini hoja yangu ya msingi ni kwamba uzoefu unaonyesha mwanamke sawa anaachika sababu mumewa malaya, jamii pia inakuwa upande wake (refer comments za wengi humu), halafu akishaachika na yeye anaenda kuwa malaya vile vile, au akijitahidi sana anaishia kuwa mchepuko!! sasa hapo si yale yale uliyokimbia kwa mumeo sasa!!
 
Bora ujijue wewe mchepuko kuliko unajipa moyo njia kuu kumbe ww ndio mchepuko japo umeolewa, km akitoka akaenda kuwa malaya na hilo linampa furaha basi sawa tu, ila sio huu ujinga wa kujing'ang'aniza kwa mwanaume anayekudharau eti kisa unaogopa jamii itanionaje, to hell na jamii furaha yangu kwanza.
 
Pole sana mpendwa wangu,huyo mumeo jeuri,ana dharau na kahaba wa kiume!sifa zote mbaya za mwanaume zinazoumiza wanawake anazo.kwa haraka haraka nimekusoma ni kama huyu jamaa kashakujua wewe kwake HUPINDUI,ndo mana hajali fikra,wala maumivu yako.sasa mtu kama huy ambaye ni mshenzi mbobevu,dawa yake ni ushenzi tuuu!usinielewe vibaya,kwanza NI MWIKO WEWE KUANZISHA UHUSIANO NJE YA NDOA YAKO,ila

fanya yafuatayo;

1.asubuhi mkiwa mnajiandaa kwenda kazini,wewe amka mapema sana jifanye una maandalizi flani ya mtoko maalum,halafu saa ya kuvaa hakikisha anakuona unavaa vipyaaa kuanzia ndani hadi nje,jirembe weee,halafu jifanye uko bize mno na simu as if unaogopa yeye kuishika au kusoma kitu flani ktk simu yako.ukiwa kazini mchana mchana m call mwambie mume wangu leo nitachelewa kidogo kurudi nyumbani,tuna kikao flani nataka kujiunga kikundi cha wanawake.sasa hapa usimpe muda sana kukuuliza wala usijieleze sana,jifanye kama una haraka flani hivi.wewe ukitoka kazini pitia hata kwa ndugu zako,vutavuta muda,kagiza kakiingia rudi home,tena ikiwezekana jifanye umejichokea mwaego!ukirudi simu na wewe,wewe na simu!fanya hivi mara kadhaa,sasa kama ni kwenda kwenye maombezi,huu pia huwa ndo muda muafaka kwenda ili uchelewe kurudi kidogo.

2.akichelewa kurudi usimuulize,usimkohoe,mwandalie kama kawaida chakula nknk,na asikuone unakosa usingizi kitandani,hata kama unaumia jifanye humjali,humfikirii,unalala fofoffoo!

3.simu yake iwe kituo cha polisi,yyaani usipende kuishika,na akipiga simu usitege sikio,nyanyuka kabisaa,jifanye hutaki kusikia anachosema.

4.acha.acha kabisa kujibuhovyo sms wala kuongea hovyo na mahawara zake,wakikukashifu,wajibu "asante sana,nitashukuru kama akihamia kabisa kwako,maana mie nishamchoka na wala simtaki"maana ujue ukiwajibu hovyo,wakikutana wenzako wanakunanga,we hujui tu.sasa ukijibu hivyo,akifika kwa bibie,akipewa maneno yako,itamuuma mumeo.

5.fanya hivi mara kadhaa,nakuambia ataanza mwenyewe kurudi mapema,na kuanza kuogopa kulala nje,maana mwanaume malaya hataki wala hapendi kusikia mkewe ana mchepuko,kwa kufanya hivi ataamini nawe umeopoa huko nje.na huu ndo utakuwa mwanzo wa yeye kujitambua ni nani kwako,na umuhimu wako ataujua.
 
Pole dada,fanya maombi kwa ndoa yako. Hiyo ndio silaha pekee na muhimu baada ya jitihada hizi za kawaida

unataka mwenzio apate HIV sio.....mwambie asepe zake....mtoto ni majaliwa...kwanini ateseke...
 
Huyo mumeo angekuwa yeye ndo anaumwa ingekuaje haya ni maisha tuu binadamu tunakutana nayo usife moyo dada mungu atafanya njia anaona machungu yako na amini atakujibu kwa wakati kama ni mkristu mkumbuke sarah na anna mama wa mtoto samwel
 
Back
Top Bottom