Maneno ya kejeli ya mume wangu

Maneno ya kejeli ya mume wangu

Simama kwenye nafasi yako kama mwanamke.Zidisha upendo hata kama yeye hana upendo na wewe.Atabadilika tu!
 
Dada yangu huyo baba hata ukifanikiwa kupata mtoto haitabadili kitu labda itatuliza hali baada ya mda atarudia tu, nakushauri simama jikaze anza mbele hiyo ni tabia yake ndo maana hata hao mahawara zake wanamkimbia na hao ma ex zake hakuwaoa.Ni ngumu kumbadili mtu tabia yake tena ukizaa ndo utajuta maana utafikiria wanao utashndwa kutoka kwenye mateso hayo fanya maamuz sahihi mapema. Kamwe huwez kubadili chuma kikawa plastic.
 
Kwa hiyo hapo aombeee nini? Mume aanze kumpenda na kumthamini na kuacha kumtukana?
au Aombe mume akibeba gonjwa huko lisimkute? Au alie tuuuuu na kuomboleza kwa kuwa kamtambua adui yake hivyo adui ageuke rafiki? Mbegu za mume ziimarike naye apone azae?

Kuna vitu vya kulia, kufunga na kuomba sio hivyo!

Linapokuja suala la ndoa.... mengi huchunguzwa toka mwanzo. Inaonekana dhahiri huyu hakuwa kusudio la Mungu kwake na ndio maana wanatofautiana kiasi hicho. Huyu hakuwa ubavu wake.... kuna mistake za uchaguzi zilikuwepo hapo hakuna cha kuzirekebisha. na ndio maana Mungu hajawapa mtoto ambaye kwa namna moja angekuwa kwazo.... aondoke hapo!

Hakuna Zaburi 3:14-16

Mwanzo 3:14-16, matatizo hayaanzi machoni hapa au kwenye ubongo, yanaanza katika ulimwengu wa kiroho, mtu asipotambua hilo hawezi elewa na anaweza akaomba yote hayo na kwa imani akayapata kasoro ya adui yake anayemletea matatizo kugeuka kuwa rafiki
 
Ndoa hizi, yaani watu wanaishi na maumivu ya moyo kila siku. Hivi ulishawahi jiuliza lini utakuja kupata furaha maisha mwako? Tangu unasoma shule ya msingi, sekondari, chuo, kazini maisha hayo yote yamejaa stress. Haya mtu unavumilia tu yote hayo. Ukasema ukija pata kazi utaishi maisha ya furaha, kazi nako majungu na fitina ndio zimejaa, hakuna furaha wala amani ila unaendelea kuvumilia tu. Unasema basi ngoja nioe/niolewe ili niwe na mwenza wa kunifanya nisahau haya maswaiba ya nje, huko ndani ndio balaa, maana afadhali hata hayo mengine unaweza kuyawacha huko nje kwa muda, lakini mwenza wako nae anakua hana yale uliyoyataraji, yaani ni bora hata hao wa anje hawana umuhimu. Hivi lini watu wataishi maisha ya furaha, kwa mtindo huu ina maana mtu hadi unaingia kaburini wewe ni matatizo na masononeko ya moyo huna hata raha. Ahaaaa, maisha kumbe ndivyo yalivyo, halafu unanishauri ndoa, thubutu, bora raha nijipe mwenyewe hata ukisema ni mbinafsi sawa tu, lakini sio kuishi maisha ya mashaka kila siku as if uko gerezani. Hakuna kitu kibaya kama kutokuwa na amani ya moyo. Wanakuambia raha jipe mwenye, sasa unaishi maisha ya mateso kama mfungwa. Poleni wenye maisha ya namna hii

Me nashindwa kabisa kuelewa yaani toka nianze kujitambua sijawahi kupata furaha ya moja kwa moja kila kitu duniani kimejaa mauzi na karaha tupu..Binadamu kuzaliwa hadi kufa anahangaika kutafuta furaha na amani ya moyo tu!
 
Me nashindwa kabisa kuelewa yaani toka nianze kujitambua sijawahi kupata furaha ya moja kwa moja kila kitu duniani kimejaa mauzi na karaha tupu..Binadamu kuzaliwa hadi kufa anahangaika kutafuta furaha na amani ya moyo tu!

r u for real!???
 
moyo wako ndiyo unajua umevumilia kiasi gani na kias gani kimebaki... kama unataka mtu wa kukuzika na huna wengine vumilia tu.. maisha yapo zaidi ya hayo ya ndoani... kinachowasumbua nikutokuwa na mtoto .. ila kuna njia kadhaa za kupata mtoto
 
Me nashindwa kabisa kuelewa yaani toka nianze kujitambua sijawahi kupata furaha ya moja kwa moja kila kitu duniani kimejaa mauzi na karaha tupu..Binadamu kuzaliwa hadi kufa anahangaika kutafuta furaha na amani ya moyo tu!
ujaitaka furaha ndiyo maana
 
nimeumia sana sana sana sanaaaa nimepitia situation kama ya kwako hakika inaumiza sanaaa ila mimi niliondoka bcz maisha ni all about happyness and peace and love and being free ingawa kuanza upya ni kugumu sanaaa kuna umiza mnooo utajikuta unatembea na watoto wadogo bila kujua au unatembea na mijizee utaona hurizishwi utafeel vurugu zoote huko nje lkn kuishi kwenye jela ya mapenzi ni ngumu bcz ukiwa free ukiona huyu hakufai u let him go poleee pole sana kama unafikiri u can fight fight for him lkn kama unaona huwezi let him go and let in God
 
Nacherewa

aisee mie napenda wanawake wa kufanya nao sex ni Pm plz
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom