#COVID19 Maneno ya Askofu Gwajima yamepata nguvu, kitaa wanaamini wakubwa wamehongwa

Viongozi wajitokeze wapangue kuanzia hoja za Magufuli maana ndo walimwamini zaidi,na alidai chanjo Zina madhara.
Halafu wajibu za Gwajima kuliko kurukia conclusion tu eti anapotosha.
kwa mujibu wa Msomi Gwajima hayo madhara ni yapi? Kayaona lini?
 
Nileteeni Gwajimaaaaaaaa, aisee huku Tandare Mangharibi kushuka kwa Binnyau, popobawa watu hawana habari..

Wanasema wako na Gwajimah! Yaani Gwajima anajaribu kujiegemeza kwenye msingi wa JPM huku akikabiliana na upepo wa akina kiongosi..

Nadhani watakafuta uanachama
 
Mimi binafsi, ni muumini wa sayansi, Ila chanjo hii sitachoma Hadi pale nitakapo jiridhisha kua haina madhara.
Sababu ikiwa ni;
1.imani yangu ndogo juu ya uwezo wa taasis za kudhibiti na kukagua madawa.
2.Mazingira ya jinsi chanjo ilivoletwa, ya kulazimishana, kulaumiana, kubinywa ikiendelea kwa mitindo ile ya kimkoloni mambo leo.
3. Chanjo hii haijapata muda wa kudhihirisha madhara ya mda mrefu.
4. Umri wangu bado ni mdogo bado nahitaji kupata watoto wawili zaidi, kwa kua hatujui madhara ya muda mrefu, naogopa nisije pata Reproductive Gene mutations nikajikuta na pata watoto mijusi au nyoka.
5. Mwisho kabisa Tanzania hakuna maambukizi kwa kiwango cha kututisha.

Irrelevantly Questioned.

hivi wazungu wanatupenda Sana eeh?!-
 
Ni km Viongozi wamekula rushwa ku promote Corona.

Watu wanaokufa wako wapi? Wao wachanje TU sisi wanyonge hatuchanji.Km wamekula vya watu wakitegemea kututoa sadaka,kazi wanayo kurudisha vya watu
 
la wataalamu ni kutoa ufafanuzi kwa wananchi ili washawishike na sio vitisho na maneno ya kejeli.
Kuna mahali nimesoma, tena humu JF, kuwa mtaalamu anasema chanjo iliyoletwa inaufanisi wa asilimia 99.99 ikiwa na maana kwa kila watu 1,000,000 ni watu 4 wanne wanaathirika. Nimeomba nipewe repoti ya utafiti huu. Bado sijaupata.

Kwa hiyo wataalamu waje na hoja zisizotiliwa mashaka kuhusu chanjo kama wana nia ya kutuelewesha sisi raia.
 
WATAALAMU wetu wamekuwa makapu ya kauli na matamko ya wanasiasa baada ya weledi mwisho wa siku wanakuwa vituko.......
 
Afadhari wewe watu wa bar ndiyo hawaelewi.

Mimo nipo staff moja na walimu wote wana degree na masters lakini Gwajima ni reference yao,yaani wamesababisha nimepewa onyo leo kwa kelele.

Ujinga bado ni mkubwa hapa nchini.
Ww umeshadungwa chanjo..!!?
 
Mbunge hawezi kukamatwa mpaka SPIKA aitoe HATI YA KUKAMATWA KWAKE.......

Tusifike huko.....

Kauli ya sheikh. Ponda huwa inaweza kuwa na madhara makubwa pale atoapo na ndio maana amekuwa akiingia katika mtafaruku na VYOMBO VYA DOLA....

Sheikh Ponda anajulikana kwa kuwa MAKINI NA MISIMAMO YAKE....huyu ndugu yuko SERIOUS huwezi kumuona katika SKENDOSKENDO hata za "kuzushiwa"........

Nimepita VIJIWE VYA KAHAWA VINGI kiukweli GWAJIMA "anapingwa" na kila mtu....

Hata wale wanaoipinga hii CHANJO bado WANAZIPINGA KAULI ZAKE TATA ALIZOTOA juzi ibadani......

WATANZANIA WALIO WENGI NI WAELEWA UKIACHA WALE WACHACHE TU AMBAO NI BENDERA FUATA UPEPO KWA VIONGOZI WASIO NA STAHA NA NDIMI ZAO

#TujiandaeKuchanjwa
#JMTMilele
#NchiKwanza
#KaziIendelee
 
Afadhari wewe watu wa bar ndiyo hawaelewi.

Mimo nipo staff moja na walimu wote wana degree na masters lakini Gwajima ni reference yao,yaani wamesababisha nimepewa onyo leo kwa kelele.

Ujinga bado ni mkubwa hapa nchini.
Shida pia iko kwako! Unahisi kitendo chako cha kutetea chanjo basi umeshakuwa mwerevu kuliko wenzako!

Unachopasa kufanya ni kuheshimu hisia zao; ziwe zimetoka kwa Gwajima au utashi wao binafsi, then wewe kachhanjwe. Lakini kuita wenzako wa staff kama wajinga kisa Wana dukuduku na chanjo ni kuwakosea heshima.
 
Afadhari wewe watu wa bar ndiyo hawaelewi.

Mimo nipo staff moja na walimu wote wana degree na masters lakini Gwajima ni reference yao,yaani wamesababisha nimepewa onyo leo kwa kelele.

Ujinga bado ni mkubwa hapa nchini.
Nilikuwa mwalimu, honestly kuna wakati huwa najiuliza hivi kwa nini walimu wengi wako very myopic katika thinking capacity. Huwa nikiikumbuka staff yetu huwa namshukuru Mungu kwa kunipa akili ya kujiongeza haraka nikaachana na hiyo kada
 
Youre
Mbunge hawezi kukamatwa mpaka SPIKA aitoe HATI YA KUKAMATWA KWAKE.......

Tusifike huko.....

Kauli ya sheikh. Ponda huwa inaweza kuwa na madhara makubwa pale atoapo na ndio maana amekuwa akiingia katika mtafaruku na VYOMBO VYA DOLA....

Sheikh Ponda anajulikana kwa kuwa MAKINI NA MISIMAMO YAKE....huyu ndugu yuko SERIOUS huwezi kumuona katika SKENDOSKENDO hata za "kuzushiwa"........

Nimepita VIJIWE VYA KAHAWA VINGI kiukweli GWAJIMA "anapingwa" na kila mtu....

Hata wale wanaoipinga hii CHANJO bado WANAZIPINGA KAULI ZAKE TATA ALIZOTOA juzi ibadani......

WATANZANIA WALIO WENGI NI WAELEWA UKIACHA WALE WACHACHE TU AMBAO NI BENDERA FUATA UPEPO KWA VIONGOZI WASIO NA STAHA NA NDIMI ZAO

#TujiandaeKuchanjwa
#JMTMilele
#NchiKwanza
#KaziIendelee
You're not being realistic. Sikubaliani na doctrines za Gwajima. Lakini kusema kuwa hana ushawishi aisee unajilisha upepo. You better accept this bitter truth in order to properly face his misleading teachings about vaccines in general. However his doubts over vaccines are still relevant in their entirety. The questions about safeties of the vaccines have never been answered, everyone is giving evasive answers kwamba watu wasimsikilize Gwajima kwa kuwa siyo mtaalamu wa sayansi ya tiba. Lakini at the same time, watu wanaambiwa kuwa kabla ya kuchomwa chanjo watajazishwa disclaimer form. Under such situation nani mwenye akili timamu ataenda kupigwa hizo chanjo?
 
Back
Top Bottom