Nadhani maneno mengi matamu kwenye mapenzi ni ya uongo..
Mara nyingi ukweli ni mkakasi na haunogi kupigia sound..
Yaani mfundishane ubazazi wakati hata hayo maneno hamuyamaanishi!
Zile za sili, silali ajili yako .
alie kuumba kakupendelea na
Aliekuzaa nampa hongera.
Nikinywa maji , naona sura yako kwenye glass.
Nimekosaa usingizi Siku tatu nakuwaza wewe.
Na hakika hujazaliwa umeshushwa kutoka mbiguni.
Dada we ni mzuri na wasisi hata haja kubwa huendi sababu ni uchafu .
Nikikupata wewe ndio mwisho wako kukanyaga chini ntanunua mbeleko nikubebe kila mahali .
Etc..............
Mweeeehhhhh kutongozwa kuna raha jamani
Hata Kama kila neno ni la uongo..
Gosbert ukisema hajui utakuwa unam under estimate... Katika wajuvi yeye ni mmoja wapo na ndio mana nimeuliza ili walau na mimi nielewe pia upande wa pili wa shilingi. Kwamba kakurupuka na hajui anachochangia itakuwa sio kweli...
Ritz, nitakuPM maneno matamu sana sana. Ila angalia usiweweseke mchana na kuanza kunisaka mitaa yote!
mkuu umenichekesha sana.
Umejuaje hawayamaanishi?
Na mie naombeni mnifundishe maneno matamu.
umenifanya nitabasamu hapo kama ni barua na kadedication kamoja au viwili vya nelly,mr blue mapoz na ww hahahhaaaaaaaa those dayz jamani kha!Zile za sili, silali ajili yako .
alie kuumba kakupendelea na
Aliekuzaa nampa hongera.
Nikinywa maji , naona sura yako kwenye glass.
Nimekosaa usingizi Siku tatu nakuwaza wewe.
Na hakika hujazaliwa umeshushwa kutoka mbiguni.
Dada we ni mzuri na wasisi hata haja kubwa huendi sababu ni uchafu .
Nikikupata wewe ndio mwisho wako kukanyaga chini ntanunua mbeleko nikubebe kila mahali .
Etc..............
Mweeeehhhhh kutongozwa kuna raha jamani
Hata Kama kila neno ni la uongo..
Niambie mimi
Na mie naombeni mnifundishe maneno matamu.
Na mie naombeni mnifundishe maneno matamu.
Hujani-convince bado, jaribu tena baadaye.Binti.com,
Nakupenda sana mpenzi wangu. Yaani sijui kama yupo ambaye anaweza kutenganisha penzi letu. I love you Sooo Much my Empress.
Xoxo <3
Hii "wajuvi" uliyotumia wewe ina maana gani hasa?
Maana sijaona uhusiano wa "kujua" na "ujuvi"