Maneno matamu unayoweza kumwambia unayempenda kwa dhati

Kaunga hayo maneno yanayoendana na vitendo bila chapaa vitendo vitakuwepo kweli?au yatabak blah blah kama za wanasiasa.
 
Last edited by a moderator:
dah jaman, sie maskini ambao hatupo katika uhusiano inabid hatuna thamani???
Pesa hatuna, maneno mazuri hatuna...itabidi nife single!!!
 
Jahah....ver discouraging words.
Nway..maneno waachie wa pwani..kuwa mtu wa vitendo zaidi boy.
 
dah jaman, sie maskini ambao hatupo katika uhusiano inabid hatuna thamani???
Pesa hatuna, maneno mazuri hatuna...itabidi nife single!!!

Ulimwengu mpya huu wa technologia ya juu ya mapenzi. Wanasema lazima usomeke. Km mshale wa speed meter uko kushoto, chance is minimal
 
dah jaman, sie maskini ambao hatupo katika uhusiano inabid hatuna thamani???
Pesa hatuna, maneno mazuri hatuna...itabidi nife single!!!

inabidi ujitahidi ukate kiuno mtoto wa kiume au kama unakibamia jitahidi ukikuze utafaidi tu
 
JAMANI WAVULANA ACHENI UONGO KUWADANGANYA WATOTO ZA WATU GIRLFRIEND ZETU SEMANI UKWELI WENU.:msela:
 
Back
Top Bottom