Maneno matamu unayoweza kumwambia unayempenda kwa dhati

hakuna neno la maana lolote kama halitoki rohoni, wizi mtupu.

'Nakupenda hadi nikilamba mchanga nausikia mtamu kama sukari.'

haisaidii wala
 
Uzuri wako mpezni ni sawa sawa n mwezi kumi na mbili unaonekana ktk umbo lake halisi usiozibwa n mawingu na mapenzi yako kwangu ni sawa sawa na chemchem iloibuka ghafla jangwani mbele ya mtu ambae aliekalibia kufa kwa ajili ya kiu kikali sana
 
hivi ni maneno gani mwanamke anapenda kuyasikia zaidi kutoka kwa mpenzi wake...?
huwa mwanamke anapeda kusifiwa kila mara m.f "kuwa mbali n mimi haimanishi hauko akilini mwangu,umeniganda moyoni kama damu mwilini..
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom