Maneno matamu unayoweza kumwambia unayempenda kwa dhati

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,856
401
Naanza na:
"Ninapokuwa mbali nawe ndipo hubaini pasipo mashaka kuwa hakika maisha yangu hayana maana pasipo wewe mpenzi wangu".

Wataalam wa mambo haya tuendeleze.
 
Nami nimeshangaa sana. Tumsamehe labda amekurupuka tu au hajui anachochangia. I am sorry to say so.

Gosbert ukisema hajui utakuwa unam under estimate... Katika wajuvi yeye ni mmoja wapo na ndio mana nimeuliza ili walau na mimi nielewe pia upande wa pili wa shilingi. Kwamba kakurupuka na hajui anachochangia itakuwa sio kweli...

BTW hayo maneno unampa galfriend ama wife?
 
Nisome hadi mwisho "wakati maneno hamuyamaanishi"

Ubazazi unaujua?

Nilikusoma hadi mwisho... Mtoa mada aliomba kufundishwa maneno matamu... Gaijin ninavoelewa ni kuwa kuna tofauti ya wale ambao wana maneno matamu na hawamaanishi na wale ambao wanamaanisha ila hawajui maneno matamu. Ulivotoa hoja yako ni kana kwamba maneno matamu yote hayamaanishwi hivo ni ubazazi.

Hata hivo naomba unipe somo... Sielewi maana ya ubazazi hua nadhania dhania tu maana yake.
 
Nilikusoma hadi mwisho... Mtoa mada aliomba kufundishwa maneno matamu...

Kwa kuweka kumbukumbu sawia, Mtoa mada hajaomba kufundishwa maneno matamu, amesema hivi "maneno matamu unayoweza kumwambia unayempenda kwa dhati." Ni miongoni mwa anaefundisha.

Ulivotoa hoja yako ni kana kwamba maneno matamu yote hayamaanishwi hivo ni ubazazi.

Sema ni ulivyoelewa hoja yangu sio nilivyotoa.
 
Zile za sili, silali ajili yako .
alie kuumba kakupendelea na
Aliekuzaa nampa hongera.
Nikinywa maji , naona sura yako kwenye glass.
Nimekosaa usingizi Siku tatu nakuwaza wewe.
Na hakika hujazaliwa umeshushwa kutoka mbiguni.
Dada we ni mzuri na wasisi hata haja kubwa huendi sababu ni uchafu .
Nikikupata wewe ndio mwisho wako kukanyaga chini ntanunua mbeleko nikubebe kila mahali .
Etc..............
Mweeeehhhhh kutongozwa kuna raha jamani
Hata Kama kila neno ni la uongo..
 
kumbe mnapenda hayo maneno ya ulongo.....
 
Zile za sili, silali ajili yako .
alie kuumba kakupendelea na
Aliekuzaa nampa hongera.
Nikinywa maji , naona sura yako kwenye glass.
Nimekosaa usingizi Siku tatu nakuwaza wewe.
Na hakika hujazaliwa umeshushwa kutoka mbiguni.
Dada we ni mzuri na wasisi hata haja kubwa huendi sababu ni uchafu .
Nikikupata wewe ndio mwisho wako kukanyaga chini ntanunua mbeleko nikubebe kila mahali .
Etc..............
Mweeeehhhhh kutongozwa kuna raha jamani.
Hata Kama kila neno ni la uongo..

Nadhani maneno mengi matamu kwenye mapenzi ni ya uongo..
Mara nyingi ukweli ni mkakasi na haunogi kupigia sound..
 
..if you think i miss you always you are wrong, i miss you only when i think of you.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom