Maneno matamu unayoweza kumwambia unayempenda kwa dhati

Hivi bado tu watu mnapenda kudanganyana, mtu unaye mpenda muonyeshe action sio maneno :biggrin1:
 
Ukinipa maana yake ambayo wewe watambua maybe na mimi hio statement yako itakuwa applicable kwangu... Maana yake nini Gaijin?

Kwa mujibu wa kamusi, "mjuvi" is a saucy, impertinent, impudent person.

Now I don't have issues with being called that, I just don't understand the relation with "kujua"
 
Makubwa! basi you are rite mana hapo hata mimi sioni mahusiano yake.... Dah. lol
 
Nisingecheka ningekuwa wewe kwa sababu ni aibu ya mwisho kwa mtu mzima kutumia Kiswahili ndivyo sivyo hasa akiwa anakitumia kuwaelezea/kutoa sifa za wengine

Kwa anaekereka, huweza kuwa chanzo cha minyukano
 
Gaijin uzuri umeanza ungekuwa mimi... you and I know we are two different people with different personalities hivo sio ajabu kile ambacho nimeweza kucheka wewe huwezi.

Labda nikuulize utajuaje hicho kicheko changu kilikuwa cha furaha, majonzi, embarrassment ama hata kejeli?
 
Haijalishi kama ni kicheko cha furaha, huzuni, masikitiko, kejeli, inda wala inadi, kwa sababu maandishi yanatoa fursa kwa msomaji kufikiria kile anachokidhania yeye. Si suala la kujua au la.

Mimi kwa kuheshimu hisia za wengine nisingeweka kicheko cha aina yoyote ile ili nisimpe mtu nafasi ya kudhania akitakacho na kupelekea mtafaruku.

But that's just me, Gaijin, mjuvi wa wajuvi
 
Dah... haya bana. Hongera...
 
'Aisee mangi, pin number ya atm card yako ni ngapi tena?'
Hapo anajua unampenda manake unamtegemea,lol! Babu Asprin anapenda sana hizi (msiniulize nimejuaje!)
 
Last edited by a moderator:
Umehesabiwa kwenye nini? Sensa?
Nataka, tena sana. Niorodheshee kama unayo.

Baada ya kuhesabiwa,katika orodha ya wajuvi na wajuaji, nalijua jina la mtu mmoja tu

Sasa labda umuombe mratibu wa zoezi aweke majina mengine wazi, manake tayari orodha ipo
 
Dah! Gaijin ni wazi ulini miss aisee... Missed you too my number one on the list ya wajuvi. List kamili nitatoa until further notice. Hivi mzima lakini?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom