Radio Maria baada ya kuona Mh. Lema anaongea pumba walimtoa hewani. Na kwa kuonyesha kwamba hawabahatishi, walimtoa hewani mara mbili.
Mh. Lema akili yake haipo sawa, kuna uwezekano mkubwa alipokuwa mtoto alisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.
ccm katika kupata kura wakizidiwa mara nyingi wanatumia mkakati wowote bila kujali matokeo yake. Mfano mdogo kule Igunga walitumia udini ili kuifanya cdm kuchukiwa na waislam na pia kuna ule mkakati wake wa kuipakazia cdm ni ya wachaga na wakristo jambo ambalo ni uongo. Kama alivyoelekeza nyerere dhambi kama hiyo lazima imtafune mwenye dhambi na mbaya zaidi taifa.Haya ndio maneno aliongea Lema
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Lema's statements are sheer conspiracy.ReasonsNa huu ndo ukweli lakini serikali ya CCM haitataka kukubali ukweli, na kila siku tutaendelea kuona matamko ya rais kilaza akilaani matukio haya lakini anayefanya huu uharifu hakamatwi, kila siku rais anasikitika afu hakuna anayekamatwa. President is behind these scenes, no way usalama wa Taifa ukawa unafanya kazi nzuri sana kuwakamata chadema lakini waharifu hawakamatwi. Padre Nkenda, padre Mushi, Dr Ulimboka, Kibanda, Mwangosi, muuza magazeti morogoro hawa wote hakuna mharifu aliyekamatwa, uchomaji makanisa ndo usiseme. Afu president anataka kubalance mambo kwa kuweka kufa kwa watu sawa na mtoto aliyekojelea quran tena walikuwa wanataniana afu unalinganisha na matukio ya mauaji. Hivi Ilunga kajificha kama Osama nini mbona hatiwi nguvuni lakini Lema anakamatwa na mabull dozer. Kwa kweli tunaongozwa na kif.......... Ngoja nilale
ccm ni janga
Lema's statements are sheer conspiracy.Reasons
1.Kuna wenye kesi mahakamani (ugaidi, uchochezi nk. How do you shift the attention of the public?
2. Kuna madai kuwa Mkuu wa nchi ni mdini. How can you justify this allegations?
3. kila baada ya matukio ya vurugu tunakuwa wa kwanza is this coincidence or deliberate. What is behind?Those with free brain can look at the coincidence and connect the dots.
4. Kuna madai yalikwisha tolewa kuwa nchi haitatawalika. Are these conspiracies part of the BOLD statement against national security? Nafikiri haya yote ni mwendelezo wa uhuni uleule (think out of the box) wa mpaka kieleweke. :sad::A S confused::argue:

Kushakucha mkuuNa asubuhi nitarusha video
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Haya ni maneno ya busara sana aliyoyaongea kamanda. Inasikitisha kuona Mkuu wa Mkoa anashindwa kujipanga maneno gani anatakiwa kuyazungumza wakati gani na mahali gani.
Big up Lema
serikali haitotawalika na huku ndio manake alokusudia Dr slaa. Hujuma dhidi ya utawala wa jk zinaendelea.
chadema ni janga tena la kitaifa!!!!!!!1