Wewe unatazo la ubinafsi, je SHEKHE PONDA NDIYE MUASISI WA UDINI TANZANIA? KUWA MKWELI ILI TUINURU INCHI YETU. MUKIENDELEZA UBAGUZI KAMA HUU WA JAMII FORUM TUTAFIKA TUSIKOKUPENDA.
CCM walianzisha vipi udini?
1. Katika kampeni za uchaguzi mkuu 2005 CUF ilikuwa na nguvu CCM katika majukwaa walijinadi kuwa wananchi wasiichague CUF sababu ni chama cha kidini na mwisho wa siku IGP O.Mahita alionyesha visu kuwa ni vya CUF kwa ajili ya kuleta vurugu siku ya uchaguzi2. katika kampeni za Uchaguzi mkuu 2010 CHADEMA ilikuwa na nguvu CCM katika majukwaa waliwaambia wananchi wasiichague CHADEMA ni chama cha kidini na mgombea ni Padri hivyo wataeneneza Ukristo.Kwa hoja hizo huoni kwamba CCM wamepandikiza haya tuyaonayo sasa? kulikuwa na ulazima gani kuzungumza maneno kama hayo kwenye kampeni.
wewe unatazo la ubinafsi, je shekhe ponda ndiye muasisi wa udini tanzania? Kuwa mkweli ili tuinuru inchi yetu. Mukiendeleza ubaguzi kama huu wa jamii forum tutafika tusikokupenda.
Na baadaye kuhamasisha watu kutoa damu
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Hawakumtoa HEWANI sababu ya PUMBA... Waliondoa ili wasiwe WAMEFUNGAMANA na SIASA za UPANDE wowote; Wanajua JINSI GANI DINI yao inavyoandamwa Tangu NYERERE alipofariki na wanavyowaita kuwa na MFUMO KRISTO; Ambao ndio Ulianzia toka kwa DINI yao... na ndio inayopata Msukosuko Sasa hivi... Kwahiyo Walichofanya ni KUJINEEMESHA na SIO sababu ya PUMBA
LEMA amesema UKWELI... kwanini aliposema tuwatolee DAMU watu wote walimuunga MKONO???
Nilidhani wewe umenyamazishwa na CCM ORIGINAL sababu ya TABIA yako ya KUPOKEA PESA toka LUMUMBA???
Kuna tatizo lolote kwenye haya maneno au unataka kusemaje?
Ninavyosoma post yako hii napata piicha kwamba kipo unachotaka kusema zaidi, plz funguka tu!
CCM walianzisha vipi udini?
Na asubuhi nitarusha video
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mhuni huyo
CCM walianzisha vipi udini?
Radio Maria baada ya kuona Mh. Lema anaongea pumba walimtoa hewani. Na kwa kuonyesha kwamba hawabahatishi, walimtoa hewani mara mbili.
Mh. Lema akili yake haipo sawa, kuna uwezekano mkubwa alipokuwa mtoto alisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.
Lema anajua nani kalipua bomu hapo Arusha, akamatwe aunganishwe kwenye hiyo kesi.
Hawa ni Magaidi wasionewe huruma.
Kwa nini Unatumia nguvu nyingi kutaka kumtetea Lema wakati kila mtu alisikia kidogo kile alichokuwa anakisema. Radio Maria inaendeshwa na watu walioelimika. Baada ya kusikia pumba zake kwa dakika moja waliamua kuzima microphone. Hata mara ya pili pia wakazima tena microphone.
Radio Maria hawakuwa tayari Radio yao itumiwe kwa kampeni chafu za kisiasa wakati niya waumini wote inayoendeshwa kwa sadaka na michango.
Lema its a kichwa maji
ni maneno mujarabu kabisa.haya ndio maneno aliongea lema
sent from my blackberry 9900 using jamiiforums
Na asubuhi nitarusha video
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
maneno mazima na yaliyonyookaHaya ndio maneno aliongea Lema
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Lema na wenzake huu si wakati wa kunyoosheana kidole! yaliyotokea Arusha ni uhalifu na tuwache serikali na jeshi la polisi lifanye kazi zake! kuanza kulaumu ccm ndio chanzo cha mlipuko wa bomu hakusaidii chochote! Serikali isikubali kuyumbishwa na kauli tata za mbunge wa Arusha kwani inaonekana anataka kunufaika kisiasa nyuma ya mgongo wa mlipuko wa bomu kanisani! swali la kujiuliza huyu lema alichaguliwa na wakristo tu? kwanini anataka kubase upande mmoja wa kidini? walioshambulia kanisa ni wahalifu na kamwe wasihusishwe au kufungamana na dini fulani! inasikitisha kusikia mbunge wa arusha anatoa kauli za kuchochea uhasama baina ya wakristo na waislamu badala ya kusaidia kuleta maridhiano! hivi hajui kauli zake zinaweza kuleta uhasama na machafuko ya kidini na kusababisha mauaji na kudorora kwa uchumi wa wananchi wa Arusha wanaotegemea zaidi utalii?Haya ndio maneno aliongea LemaSent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Hebu naomba nukuu ya maandishi au audio au mkanda wa video ambapo Jakaya Kikwete anatamka kwamba CHADEMA ni chama cha Wakristo. Au kaa huna, we nambie tu ulipomsikia ni lini na wapi, halafu mwenyewe nitatafuta.CUF ni Waislam
CDM ni wachagga na wakristu
Chagua CCM hii ilikuwa kauli Mbiu ya Kikwete
Naomba uthibitisho wa labda gazeti ama rekodi ya sauti ambapo mgombea Ubunge wa CCM ama udiwani ama Urais alitamka kwenye jukwaa kwamba mgombea wa CHADEMA ni padre na ataeneza Ukristo.katika kampeni za Uchaguzi mkuu 2010 CHADEMA ilikuwa na nguvu CCM katika majukwaa waliwaambia wananchi wasiichague CHADEMA ni chama cha kidini na mgombea ni Padri hivyo wataeneneza Ukristo.
Kwa hiyo CCM waliwaomba Wakristo wasijiunge na CUF, chama cha Waislam. Hao CCM waliokuwa wanasema Wakriso wasijiunge na CUF ni CCM Wakristo ama CCM Waislam?Wakati CUF ilipokuwa na nguvu, walisema ni chama cha Waislam na kuwaomba wakristo wajiepushe nacho.