WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Hayo ndiyo matunda ya siasa chafu za kipumbavu za ccm, zikiongozwa na Jk wakati wa kampeni za 2010 kuwagawa watu kwa dini zao!
Leo hii wanavuna matunda ya kazi nzuri ya kuhubiri udini
Unapenda sana kutukana watu,angalia usivyokuwa mstahimilivu wa hoja,ndiyo maana nakwambia uelewa wako ni mdogo tena sana na hapo ndipo ulipofikia,UPUMBAVU NI TUSI kwa hiyo lugha yenu ya kujifunza ni (FULL),lakini Ujinga sio Tusi,ni mtu asiyeelewa na kwamba ipo siku ataelimishwa na kuelewa.narudia kusema acha ujinga mkuu jaribu kufunguka.