Maneno aliyosema Lema Olasiti Arusha

Maneno aliyosema Lema Olasiti Arusha

Status
Not open for further replies.
Mkuu luvara umeona video ya ustadh ilunga?was that a comedy?kwa nini hakuchukuliwa hatua kwa uchochezi wa wazi alofanya kupitia ile video?
Ya kampeni kila mtu anajua na yeye mh rais anajua yote haya ni kwa sababu ya siasa zake nashangaa ninyi mnaohangika kumsafisha.
Semen ukweli mtaiokoa hii nchi na kama mnaweza kukaa naye meza moja mwambieni ameharibu sana aombe msamaha watanznia watamsamehe kwa sababu hajui alilokuwa analitenda.
 
Ule usemi wa "maumivu ya kichwa huanza pole pole". Naona maumivu yanaendelea polepole. Huwa tunahubiri ugaidi kila siku humu JF. Sasa huo ndo ugaidi halisi sasa, nadhani sasa tunaonja adha ya kupandikiza chuki katika jamii. Hapo bado, sababu jamii nzima sasa hivi haina matumaini ya kuiona kesho. Kwa hali hiyo ni rahisi sana kwa walio wengi kurubunika na kujikuta wanaisaliti jamii nzima.
 
Sikubahatika kumsikia Lema alivyoongea kwenye hilo tukio la kusikitisha na kutia woga na hofu kubwa. Kama ilivyonukuliwa ndivyo kweli alivyoongea, naamini kuwa yuko sahihi na huo ndiyo ukweli wenyewe. Watu kama CHRIS LUKOSI na wengineo wanaotaka kupotosha na kupindisha hicho alichoongea Mhe. Lema ni wazi kuwa watakuwa miongoni mwa watu wachache kwenye jamii yetu wanaofaidika na kuneemeka na mporomoko tunaoushuhudia sasa ndani ya nchi yetu.

Watu wa namna hiyo wanatakiwa kukemewa kwa nguvu zote kwani kwani wanachoangalia na kujali zaidi ni namna watakavyoshibisha matumbo yao bila kujali hiyo shibe inatokana na nini na madhara yake ni yepi.

MWENYEZI AWAJAZE NGUVU NA IMANI WALE WOTE WALIOADHIRIKA KWA NJIA MOJA AMA NYINGINE KATIKA TUKIO HILI, POLENI SANA.
 
Kilakitu katika nchi hii lazima siasa iingizwe!
 
Radio Maria baada ya kuona Mh. Lema anaongea pumba walimtoa hewani. Na kwa kuonyesha kwamba hawabahatishi, walimtoa hewani mara mbili.

Mh. Lema akili yake haipo sawa, kuna uwezekano mkubwa alipokuwa mtoto alisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.

Pole sana ndugu!!!!!1
 
Mkuu mleta mada,umeleta hii mada kwa ajili ya kufafanua nini wakati huyo mtu alisema maneno hayo na yameshajadiliwa humu,kuna ufafanuzi gani hapa ambao unataka kuuonesha?!,maneno ni yale yale,Lema amesema CCM ndiyo imesababisha kuwepo kwa chokochoko za dini na hata huo mlipuko wa huko Olasiti ni kwa sababu ya chokochoko za CCM sasa hapa unafafanua nini?!.
 
Haya ndio maneno aliongea Lema

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
ccm katika kupata kura wakizidiwa mara nyingi wanatumia mkakati wowote bila kujali matokeo yake. Mfano mdogo kule Igunga walitumia udini ili kuifanya cdm kuchukiwa na waislam na pia kuna ule mkakati wake wa kuipakazia cdm ni ya wachaga na wakristo jambo ambalo ni uongo. Kama alivyoelekeza nyerere dhambi kama hiyo lazima imtafune mwenye dhambi na mbaya zaidi taifa.
Anachosema Lema bila kutafuna maneno ni kweli, ccm lazima iwache kutumia mkakati hatari wa dini inapozidiwa hoja.
 
Haya ni maneno ya busara sana aliyoyaongea kamanda. Inasikitisha kuona Mkuu wa Mkoa anashindwa kujipanga maneno gani anatakiwa kuyazungumza wakati gani na mahali gani.
Big up Lema
 
Na huu ndo ukweli lakini serikali ya CCM haitataka kukubali ukweli, na kila siku tutaendelea kuona matamko ya rais kilaza akilaani matukio haya lakini anayefanya huu uharifu hakamatwi, kila siku rais anasikitika afu hakuna anayekamatwa. President is behind these scenes, no way usalama wa Taifa ukawa unafanya kazi nzuri sana kuwakamata chadema lakini waharifu hawakamatwi. Padre Nkenda, padre Mushi, Dr Ulimboka, Kibanda, Mwangosi, muuza magazeti morogoro hawa wote hakuna mharifu aliyekamatwa, uchomaji makanisa ndo usiseme. Afu president anataka kubalance mambo kwa kuweka kufa kwa watu sawa na mtoto aliyekojelea quran tena walikuwa wanataniana afu unalinganisha na matukio ya mauaji. Hivi Ilunga kajificha kama Osama nini mbona hatiwi nguvuni lakini Lema anakamatwa na mabull dozer. Kwa kweli tunaongozwa na kif.......... Ngoja nilale
Lema's statements are sheer conspiracy.Reasons
1.Kuna wenye kesi mahakamani (ugaidi, uchochezi nk. How do you shift the attention of the public?
2. Kuna madai kuwa Mkuu wa nchi ni mdini. How can you justify this allegations?
3. kila baada ya matukio ya vurugu tunakuwa wa kwanza is this coincidence or deliberate. What is behind?Those with free brain can look at the coincidence and connect the dots.
4. Kuna madai yalikwisha tolewa kuwa nchi haitatawalika. Are these conspiracies part of the BOLD statement against national security? Nafikiri haya yote ni mwendelezo wa uhuni uleule (think out of the box) wa mpaka kieleweke. :sad::A S confused::argue:
 
Yameanza kutimia yale yaliyonenwa kwamba nchi hii kamwe haitatawalika!
 
Lema's statements are sheer conspiracy.Reasons
1.Kuna wenye kesi mahakamani (ugaidi, uchochezi nk. How do you shift the attention of the public?
2. Kuna madai kuwa Mkuu wa nchi ni mdini. How can you justify this allegations?
3. kila baada ya matukio ya vurugu tunakuwa wa kwanza is this coincidence or deliberate. What is behind?Those with free brain can look at the coincidence and connect the dots.
4. Kuna madai yalikwisha tolewa kuwa nchi haitatawalika. Are these conspiracies part of the BOLD statement against national security? Nafikiri haya yote ni mwendelezo wa uhuni uleule (think out of the box) wa mpaka kieleweke. :sad::A S confused::argue:

serikali haitotawalika na huku ndio manake alokusudia Dr slaa. Hujuma dhidi ya utawala wa jk zinaendelea.
 
Haya ni maneno ya busara sana aliyoyaongea kamanda. Inasikitisha kuona Mkuu wa Mkoa anashindwa kujipanga maneno gani anatakiwa kuyazungumza wakati gani na mahali gani.
Big up Lema

Mkuu mara nyingi huwa sipendi kujibu comment zako kwa sababu zimekaa kishabiki sana kila siku,hakuna siku ambayo ume-comment jambo la maana tofauti na kushambikia Ujinga unaoendelea kutokea hapa nchini,kuna wakati unaongea mambo ya maana lakini maneno yako mengi ni ya kinafiki,uchama sana,na mengine mengi yanayoendana na hayo,mkuu unaweza kunijibu ni kwa nini LEMA alikuwa kiongozi wa kwanza kufika katika eneo la tukio wakati alikuwa Bungeni?!,unajua tuna akili sana kuliko unavyofikiri wewe na kundi lako!,hili suala kuna haja ya LEMA kuhojiwa kwa sababu kuna element zinaonesha kama ana lifahamu vile!,kuna comment nyingi sana humu zimeeleza na kutilia mashaka kwamba huenda huyu jamaa alikuwa anafahamu mpango mzima.Jamani hivi tunakwenda wapi kwenye nchi hii,hivi wewe ni mtanzania halisi kweli?!,hivi ni kwa nini tukio litokee halafu yeye akimbilie kukihusisha chama?!,sikubaliani na hili hata kidogo,naona wewe na kundi lako unataka kutupeleka kubaya!.
 
serikali haitotawalika na huku ndio manake alokusudia Dr slaa. Hujuma dhidi ya utawala wa jk zinaendelea.

Mkuu CHAMVIGA narudia kusema kuna wati wa kulia na wakati wa kucheka,kuna wakati wa kusema na wakati wa kunyamaza,kuna wakati wa kutenda na wakati wa kuacha kutenda,huu ni wakati wa LEMA kuonyesha juu ya uelewa wake kama ni mdogo ama mkubwa na chama chake,lakini kuna wakati unakuja wa wao kunyama kusema ama kutamba,naomba ieleweke hivyo na iwe hivyo Daima,ila kuna wakati unakuja,naomba kila mmoja haya maandiko yangu ayacopy na kuyahifadhi kwenye Desktop yake ili siku ilifika wote mkumbushe kwa maandiko hayo.nawaambia!.
 
chadema ni janga tena la kitaifa!!!!!!!1

Mkuu unazungumzia janga la taifa kivipi?
Kama ccm pamoja na wezi wake, mafisadi wake, na majangili wake ndiyo taifa wacha chadema iwe janga la taifa.
Kama kuwatetea wananchi na kuwasaidia ni janga la taifa wacha chadema iwe janga la taifa.

Mkuu wa mkoa ambaye ndiyo serikali, aliyeongea pumba kwa kusema tukio la mlipuko wa bomu kanisani ni la kawaida unaona ni sawa.

Hao unaowaita ni janga la taifa jana wakiongozwa na kamanda Lema wameweza kuhamasisha wananchi kuchangia damu kwa ajili ya majeruhi wa mlipuko, lakini RC kashindwa hata kuwauliza madaktari kujua kama vifaa vya matibabu vinatosha.
Tukiichukua nchi 2015 nyie wote ni wafungwa watarajiwa! your days are numbered!
 
Kwa hakika maneno aliyoyasema mh Lema yaliwaingiza katika simanzi kubwa sana maelfu ya wakazi was jiji last Arusha baada ya mh lema kuzungumza kwa uchungu sana na kupelekea kilio chake katika serikali ya chama cha mapinduzi kwa kuasisi siasa za kidini hapa nchini kiasi kwamba kwa Sasa hali ya mshikamano ulkokuwepo baina ya waislam na wakristo inaelekea kutoweka.

Aliwapa pole sana na kuwataka ni vizuri kwa Sasa kuwa na subira wakati vyombo vya serikali vinashughulikia swala zima last mlipuko wa bomu Hilo.

Katika hali iliyowashangaza wengine ni pale anayejitambulisha kama mkuu wa mkoa was Arusha kuwaambia maelfu ya wakazi wa mkoa wa Arusha kilichotokea ni mlipuko wa bomu na ni HALI YA KAWAIDA tu. Shame on you RC.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom