Maneno aliyosema Lema Olasiti Arusha

Maneno aliyosema Lema Olasiti Arusha

Status
Not open for further replies.
Kama redio maria walikusidia basi hawakuwa na sababu ya kukatisha kauli yake. Kauli haina ubaya wowote zaidi ya kuhimiza uharakishwaji wa kuwasaka wahalifu pamoja na kulaani udini uliopandikizwa na serikali hii
 
Mambo ambayo yanaigharimu serikali ya CCM ni kuanzisha sera za udini huku wakijua hatari yake na viongozi hao hao kuendelea kubakia madarakani, huwezi simama jukwaani namkusema CUF ni chama cha waislamu halafu ukageuka ukasema chadema ni cha wakristo, ina maana hiyo ccm ni chama cha wapagani?
 
Hebu naomba nukuu ya maandishi au audio au mkanda wa video ambapo Jakaya Kikwete anatamka kwamba CHADEMA ni chama cha Wakristo. Au kaa huna, we nambie tu ulipomsikia ni lini na wapi, halafu mwenyewe nitatafuta.

Naomba uthibitisho wa labda gazeti ama rekodi ya sauti ambapo mgombea Ubunge wa CCM ama udiwani ama Urais alitamka kwenye jukwaa kwamba mgombea wa CHADEMA ni padre na ataeneza Ukristo.

Kwa hiyo CCM waliwaomba Wakristo wasijiunge na CUF, chama cha Waislam. Hao CCM waliokuwa wanasema Wakriso wasijiunge na CUF ni CCM Wakristo ama CCM Waislam?


Kiobgozi hukupata hata zile meseji zilizokuwa zinatumwa kwenye simu zetu?
 
Kuna yule Gulukosi alitoa povu utadhani kamshika mtu ugoni.
 
hata mimi sikupepesa macho niliitaja ccm na islam.

Ccm ni chama cha kiislam tangu enzi ya taa na tanu.nyerere ndie alikipa sura ya kitaifa.niliweka thread hapa iliyohusu waislam/wa pwani kuchukua chama chao.mods makauzu wakaitoa haraka.wakati cuf na cdm zikitwa za kidini na kikanda anaacha ,ila ccm kuwa chama pwani na kiislam wanatoa.watafuta sana threads ila mambo yatarudia na mengine yatakuwa ktk media nyingine,

Mkuu nipe kichwa cha habari cha hyo thread
 
Akina Lukosi na wenzake ni janga la jf.Thread yao kuhusu Lema hapo juu ni ya kupotosha wasomaji.Tuwe makini na uhakika tunapoanzisha thread.
 
Lema na wenzake huu si wakati wa kunyoosheana kidole! yaliyotokea Arusha ni uhalifu na tuwache serikali na jeshi la polisi lifanye kazi zake! kuanza kulaumu ccm ndio chanzo cha mlipuko wa bomu hakusaidii chochote! Serikali isikubali kuyumbishwa na kauli tata za mbunge wa Arusha kwani inaonekana anataka kunufaika kisiasa nyuma ya mgongo wa mlipuko wa bomu kanisani! swali la kujiuliza huyu lema alichaguliwa na wakristo tu? kwanini anataka kubase upande mmoja wa kidini? walioshambulia kanisa ni wahalifu na kamwe wasihusishwe au kufungamana na dini fulani! inasikitisha kusikia mbunge wa arusha anatoa kauli za kuchochea uhasama baina ya wakristo na waislamu badala ya kusaidia kuleta maridhiano! hivi hajui kauli zake zinaweza kuleta uhasama na machafuko ya kidini na kusababisha mauaji na kudorora kwa uchumi wa wananchi wa Arusha wanaotegemea zaidi utalii?

Nilitegemea unataka kusema kwamba tuache vyombo vya usalama vifanye kazi tuweze kujua wahusika ni watu gani, lakini naona unaanza kuonyesha muelekeo kwamba ''watu hao'' wasihusishwe au kufungamana na dini yoyote. Katika suala la uchunguzi ningekuelewa kama ungeacha achunguzwe mtu yoyote bila kuweka mipaka kama unavyojaribu kufanya. Katika hali yoyote ile mtu huyo lazima atatoka katika hizo dini ulizozitaja, hivyo basi ni vema tukasubiri matokeo ya uchunguzi.
 
Achen chuki za Udini..kama huna ideas better 2quit rather dan talkin non sense..hw comes u include Sh Ponda on dis mes?..dis justifies clear how haters u r against Muslims
 
Lema ni mlemavu wa akili ulemavu uliotokana na bangi haiwezekani atoa kauli za kibaguzi kiasi hiki.
Nadhani waislamu washapata picha halisi ya chama hiki cha cdm.
 
TROUGH DIVERSITY WE RULE.
nadhani ndio kauli ya sasa ya serikali
yetu issiyo na mtazamo wowote na
raia wake. chokochoko za dini hajizaanza Leo hii Tanzania Bali nila muda mrefu Kila likitokea serikali inatoa vijikauli visivyo na manufaa yeyote kwa taifa hili wakijua kuwa baada ya muda Hali itakuwa shwari na kuishia huko kusikojulikana Kama upepo. Daud mwangosi ijiulize hatua zipi zilizochukuliwa Kama hutapewa taarifa zisizo na kichwa wala miguu sababu wanajua wanaongea na Nazi na minazi yake ok.
mapadri wameuliwa jiulize hatua gani wamechukua Kama Si kusema lipo mahakamani hiyo mahakama yenyewe mpk mtu apende kusikiliza ushahidi Ina maana hamna muda huo wanasubiria kwa sababu Ni upepo tu utapita.
na hili la jana arusha tutaambiwa maneno yaleyale nalo tulisubirie Ni upepo tuu utapita
basi ngoja tusubirie hilo nalo lipite tusikitike tu
 
Wananchi wa Tanzania tunapitishwa ktk majaribu mengi ambayo ukiangalia kwa undani wake LENGO ni moja tu, WANATAMANI WAENDELEE KUNYONYA RASILIMALI ZETU kwa gharama yoyote ile. Ieleweke kuwa hakuna mtaa ambao wanaishi Wakristo ama waislamu pekee yao ktk Mkoa wa Arusha! Hawa watu ni ndugu, wameoleana, wanafanya biashara na miradi mingi pamoja...sirahisi sana kudhuriana!...Adui anajulikana! Shime Watanzania kwa Umoja wetu tumkatae kwa vitendo 2015 adui huyu mwenye kutugawa kwa misingi ya makabila yetu, dini zetu...Tuamue kuwa Rasilimali zetu ziwanufaishe Watanzania kwanza!...
 


Nimekuambia ni MUASISI? Tatizo la UDINI ni Matatizo NCHINI especially UCHUMI NCHINI... Kama MKAPA asingeuza VIWANDA vingi Dar na kuacha serikali ivimiliki sidhani tungekuwa na matatizo kama tuliyonayo sasa hivi; Unajua kila mtu anakimbilia Dar toka kona zote NCHINI

Wewe ukiangalia hata nchi zilizoendelea ziko hivyo watu wanakimbilia MIJI mikubwa; na Marekani pamoja na kuwa taifa la kibepari kuna Makampuni Makubwa yana POWERFUL WORKERS UNIONS yanawalinda haswa kuliko hata Owner Sisi sijui kama WORKERS UNION zetu zinaweza kufurukuta kwa PRIVATE companies kama vile AZAM au COCACOLA...

Sasa sisi tulipokuwa na URAFILI; SUNGURATEX Unions zilikuwa zinawatetea wafanyakazi na Maisha yao hayakuwa Mabaya sasa NCHI ina kila kitu ina GOLD; GAS; URANIUM... kwanini isivichukue hivyo VIWANDA vya textiles Dar na kuvifufua na kuajiri wananchi wa Dar? utaona kama haya mambo ya UDINI utakuwepo... watu watakuwa na better standards of LIVING and watarudi kwenye DINI as a place fo PRAYER sio sehemu ya kuomba misaada kama sasa hivi sababu hakuna sehemu ya ajira...
Hili ndilo tatizo la msingi lilipo lala.Wenye tamaa ya mamlaka na utajili wanacheza na turufu ya ukosefu wa vision ya aina hii matokeo yake ni ukosefu wa THINK TANK ambayo inaona mambo hayo katika sura hii uliyotoa.Ila whta goes around comes around!!!
 
TROUGH DIVERSITY WE RULE.
nadhani ndio kauli ya sasa ya serikali
yetu issiyo na mtazamo wowote na
raia wake. chokochoko za dini hajizaanza Leo hii Tanzania Bali nila muda mrefu Kila likitokea serikali inatoa vijikauli visivyo na manufaa yeyote kwa taifa hili wakijua kuwa baada ya muda Hali itakuwa shwari na kuishia huko kusikojulikana Kama upepo. Daud mwangosi ijiulize hatua zipi zilizochukuliwa Kama hutapewa taarifa zisizo na kichwa wala miguu sababu wanajua wanaongea na Nazi na minazi yake ok.
mapadri wameuliwa jiulize hatua gani wamechukua Kama Si kusema lipo mahakamani hiyo mahakama yenyewe mpk mtu apende kusikiliza ushahidi Ina maana hamna muda huo wanasubiria kwa sababu Ni upepo tu utapita.
na hili la jana arusha tutaambiwa maneno yaleyale nalo tulisubirie Ni upepo tuu utapita
basi ngoja tusubirie hilo nalo lipite tusikitike tu

utafurahi ukisikia aliyeua ni shekh hata akisingiziwa? Ndio unachotaka ila ukisikia kakamatwa na mmoja wa makada wa chadema au wa M23 hautafurahi. Tunajua mnapotaka kulipeleka taifa hili ila mungu wa kweli atakushughulikieni mapema tu.
 
Radio Maria baada ya kuona Mh. Lema anaongea pumba walimtoa hewani. Na kwa kuonyesha kwamba hawabahatishi, walimtoa hewani mara mbili.

Mh. Lema akili yake haipo sawa, kuna uwezekano mkubwa alipokuwa mtoto alisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.

Naona leo mkuu unasifia Radio ya WAGALATIA...

Kweli Kikwete amefanya kazi yake vizuri, no wonder sasa anazunguka dunia kutafuta pa kujificha baada ya kumaliza ngwe yake ya kuigawa nchi.
 
Walitaka Lema awe mnafiki kama wao,kila mtu anajua hili ni tukio la kidini na mwasisi wa udini nchini ni ccm wakati Nape alipokua anaropoka hadharani kuhusu udini walikua wanacheka sasa wavune walichokipanda.
 
Kuna tatizo lolote kwenye haya maneno au unataka kusemaje?
Ninavyosoma post yako hii napata piicha kwamba kipo unachotaka kusema zaidi, plz funguka tu!

Hiyo ni tafakari ya leo mkuu based na discussion mbalimbali za jana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom