Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,021
- 9,177
Nimesikiliza asubuhi channel ten, hali ni Mbaya sana, Sijuhi ni makusudi kwa maana wametumwa au ndio uwezo wa wachangiaji kufikiri na hii ndio sample ya watanzania tulio nao mtaani.
Wachangiaji wansema Mlipuko ni wa Kisiasa kwa kuwa ulipotokea tu wanasiasa wakawa wakwanza kwenda kuwahi eneo la tukio na kutoa kauli.
Wachangiaji wansema Mlipuko ni wa Kisiasa kwa kuwa ulipotokea tu wanasiasa wakawa wakwanza kwenda kuwahi eneo la tukio na kutoa kauli.