Maneno aliyosema Lema Olasiti Arusha

Maneno aliyosema Lema Olasiti Arusha

Status
Not open for further replies.
Hapo kwenye RED umethibitisha jinsi JF ilivyojaa wakurupukaji wa kuamini kila kinacholetwa kama unavyoamini maneno ya mganga wa kienyeji.

Sasa, mwanzoni ulikerwa na nini wakati binafsi niliweka maneno haya kwenye thread zangu za jana.

Umemwelewa lakini? au nawe umeamua kukurupuka?
 
NYERERE alisha tuhasa kuwa dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana,kama kula nyama za watu.shime kwa watanzania wenzangu wanasiasa wasitugombanishe tukaacha kujadili mustakabali wa taifa letu,kuna swala la katiba,tujadili mambo ya msingi sana,WATANZANIA WENZANGU MATATIZO HAYA LAZIMA YATUFANYE TUWE NAMSHIKAMANO TUUNGANE NA TUWAKATAE VIONGOZI WANAOSHINDWA KUNADI SERA WANA HUBIRI UDINI TU
 
Zilizotumwa na nani?

Meseji sikuwahi kupata, labda nisaidie, wewe ya kwako ilisema imetoka kwa nani, Jakaya Kikwete ama Shehe Ponda, ama Mchungaji Mtikila, ama John Chiligati ama Mama Rwakatare, ama Mzee wa Upako ama Shehe Basaleh ama nani huyo aliyesema kwamba yeye anaiongelea CCM kwamba Wakristo wasijiunge CUF na mgombea wa CHADEMA ni padre atakaeeneza Ukristo.

Maana usijekuwa umepokea text message ya MaxShimba, nguli wa Jukwaa la dini Jamiiforums, ukasema umetumiwa ujumbe na Kamati Kuu ya CCM!

Unamjau Miraji Kikwete? Unajua nini kuhusu Push Mobile.....
 
Ushabiki mwingine si mzuri...hakuna jema hapa zaidi ya hilo la kusema mamlaka husika ifanye kazi yake juu ya hili. Ninachokiona hapa ni matamshi ya kuongeza matatizo na sio suluhisho. Hivi tunakwenda wapi kwa kushabikia upuuzi,kwa nini kila jambo linawekwa kisiasa??? Hivi mbunge hana njia nyingine ya kujitafutia umaarufu tofauti na hii? Mbona kuna wakati anazungumza kibusara? Kwa nini ulimi wake unajaa upotoshaji na uvunjivu wa amani....tusipende kushabikia kila jambo hata kama ni ujinga maana tunakwenda kubaya,hivi nani asiyejua matatizo kama haya yapo kwenye nchi mbali mbali? Je hizo nchi zilizoendelea na zikakumbwa na mambo kama haya ni kweli kwamba serikali zake ndizo zimesababisha kwa makusudi? Nikisoma na kuona kwenye hili kuna ushabiki wa kisiasa pia,ukweli nasikia kichefuchefu....

WATU WATAFAKARI....WASIWE WAVIVU WA KUFIKIRI NA KUANDIKA TU KWA HISIA ZENYE MTAZAMO HASI.
 
I am asking my fellow Muslims who are trying to defend what happen in Arusha to shut the f*ck up!

CCM haina dini ila inachezea dini zote.
2005, Mahita, Muislamu safi, alisimama kuudanganya umma ya kuwa CUF ni extremist wataleta machafuko na silaha zika onyeshwa.
CCM hiyo hiyo, kina Makamba wakasimama kumsema Slaa ni Padri, punde wakaanza na kutuma SMS zao za kuhimiza Waislamu wasimchague padri.

Mwenye macho haambiwi tazama.
Wakristu wangekuwa na jazba kama Waislamu nchi hii ingekuwa mbaya zaidi ya kaskazini ya Nigeria. Ingekuwa kama Mauaji ya kimbali Rwanda 1994. Sababu Tanzania tumeona kwa kuchanganyika. Siku wakristu wakikipiza visasi basi hakuta kuwa na msalia mtume.

Tunajua tunavyosikia misikitini kama vya radio Imani.



Habari ndio hiyo!
 
Huwezi kuzuia mvua isinyeshe Lema ni kama mvua kila wanapojaribu kumzima yeye ndo anashine
 
Lema yuko sahihi, ccm kwa ubaguzi ndo wenyewe, ona kwenye mchakato wa katiba mpya wamewabagua watanzania kwa vyama vyao ! Wamejazana wenyewe tu kwenye mabaraza ya katiba, kana kwamba wao ndo watanzania pekee!
 
Radio Maria baada ya kuona Mh. Lema anaongea pumba walimtoa hewani. Na kwa kuonyesha kwamba hawabahatishi, walimtoa hewani mara mbili.

Mh. Lema akili yake haipo sawa, kuna uwezekano mkubwa alipokuwa mtoto alisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.

Ni kweli Mh. Lema aliugua sana akiwa mdogo kama ulivyougua wewe. Nakumbuka mlikuwa mnaudhuria kliniki moja. Je, wewe ulisha pona au bado maana akili zako zinaonesha ziliathirika zaidi ya zile za Mh, Lema???
 
Mie Mkristo lakini kwa hili LEMA atakuwa anajua ukweli.
1. Kwanini hakuwa Dodoma kwakuwa alijua tukio litatokea ili awe mtu wa kwanza kuwepo aonekane responsible.
2. Ili akatoe matamko kuwa CCM na serikali yake inahusika ili aendeleze gape kati ya CCM na waumini wa kikristo.
3. Uchonganishi ambao una hila ndani yake bila kujali mkutadha!
NARUDIA TENA, NA TENA..
CHADEMA MNAHUSIKA KWA HILI. FULL STOP.


Wewe si mkristo/ wakristo tunawajua kwa maneno na matendo!.. Ndivyo mmefundishwa kumpa sapoti Jk kwa misingi ya udini.. angalia na mshangilie shehe wako ILUNGA!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom