Hayo ndiyo matunda ya siasa chafu za kipumbavu za ccm, zikiongozwa na Jk wakati wa kampeni za 2010 kuwagawa watu kwa dini zao!serikali haitotawalika na huku ndio manake alokusudia Dr slaa. Hujuma dhidi ya utawala wa jk zinaendelea.
Mkuu CHAMVIGA narudia kusema kuna wati wa kulia na wakati wa kucheka,kuna wakati wa kusema na wakati wa kunyamaza,kuna wakati wa kutenda na wakati wa kuacha kutenda,huu ni wakati wa LEMA kuonyesha juu ya uelewa wake kama ni mdogo ama mkubwa na chama chake,lakini kuna wakati unakuja wa wao kunyama kusema ama kutamba,naomba ieleweke hivyo na iwe hivyo Daima,ila kuna wakati unakuja,naomba kila mmoja haya maandiko yangu ayacopy na kuyahifadhi kwenye Desktop yake ili siku ilifika wote mkumbushe kwa maandiko hayo.nawaambia!.
Nyani haoni kundule. Hata wewe bado hujafikiri kisawasawa. Hoja hujibiwa kwa hoja na si matusi wala dharau. Amejenga, zliyekufa kiakili aweza kujenga hoja?Asiye na hoja, hana alijuaalo ila matusi na dharau.kweli watu wamekufa kiakili
Mkuu mara nyingi huwa sipendi kujibu comment zako kwa sababu zimekaa kishabiki sana kila siku,hakuna siku ambayo ume-comment jambo la maana tofauti na kushambikia Ujinga unaoendelea kutokea hapa nchini,kuna wakati unaongea mambo ya maana lakini maneno yako mengi ni ya kinafiki,uchama sana,na mengine mengi yanayoendana na hayo,mkuu unaweza kunijibu ni kwa nini LEMA alikuwa kiongozi wa kwanza kufika katika eneo la tukio wakati alikuwa Bungeni?!,unajua tuna akili sana kuliko unavyofikiri wewe na kundi lako!,hili suala kuna haja ya LEMA kuhojiwa kwa sababu kuna element zinaonesha kama ana lifahamu vile!,kuna comment nyingi sana humu zimeeleza na kutilia mashaka kwamba huenda huyu jamaa alikuwa anafahamu mpango mzima.Jamani hivi tunakwenda wapi kwenye nchi hii,hivi wewe ni mtanzania halisi kweli?!,hivi ni kwa nini tukio litokee halafu yeye akimbilie kukihusisha chama?!,sikubaliani na hili hata kidogo,naona wewe na kundi lako unataka kutupeleka kubaya!.
...umeshaanza kuukubali unabii eeh!Yameanza kutimia yale yaliyonenwa kwamba nchi hii kamwe haitatawalika!
Radio Maria baada ya kuona Mh. Lema anaongea pumba walimtoa hewani. Na kwa kuonyesha kwamba hawabahatishi, walimtoa hewani mara mbili.
Mh. Lema akili yake haipo sawa, kuna uwezekano mkubwa alipokuwa mtoto alisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.
Mkuu unazungumzia janga la taifa kivipi?
Kama ccm pamoja na wezi wake, mafisadi wake, na majangili wake ndiyo taifa wacha chadema iwe janga la taifa.
Kama kuwatetea wananchi na kuwasaidia ni janga la taifa wacha chadema iwe janga la taifa.
Mkuu wa mkoa ambaye ndiyo serikali, aliyeongea pumba kwa kusema tukio la mlipuko wa bomu kanisani ni la kawaida unaona ni sawa.
Hao unaowaita ni janga la taifa jana wakiongozwa na kamanda Lema wameweza kuhamasisha wananchi kuchangia damu kwa ajili ya majeruhi wa mlipuko, lakini RC kashindwa hata kuwauliza madaktari kujua kama vifaa vya matibabu vinatosha.
Tukiichukua nchi 2015 nyie wote ni wafungwa watarajiwa! your days are numbered!
...umeshaanza kuukubali unabii eeh!
Na hata utabiri wa Sumaye umetimia pia kwamba Anayeingia madarakani kwa hila na kalamu "...atatawala kwa risasi" Yametimia kwa Mwangosi, yametimia Arusha tar 5 January, yametimia Morogoro kwa kijana muuza magazeti, yametimia Songea, yametimia kwa wanafunzi uhasibu Arusha kupigwa mabomu kisa kilaza RC, yametimia kwa Lema kuvamiwa nyumbani kwake kama jambazi wakati wangeweza kumuita tu hata kwa simu. Na sasa wanabadili style ni mwendo wa kung'oa meno, kucha na macho. ama kweli Dr na Sumaye ni manabii --sijui waliyaonaje haya -Mungu ana watu wake anaowapa maono kuwatahadharisha viumbe wake. Hongereni Dr Slaa na Mh Sumaye kwa unabii wenu akina WABHEJASANA waliwabeza lakini sasa wanaanza kuwaelewa taratibu.
Zilizotumwa na nani?
Meseji sikuwahi kupata, labda nisaidie, wewe ya kwako ilisema imetoka kwa nani, Jakaya Kikwete ama Shehe Ponda, ama Mchungaji Mtikila, ama John Chiligati ama Mama Rwakatare, ama Mzee wa Upako ama Shehe Basaleh ama nani huyo aliyesema kwamba yeye anaiongelea CCM kwamba Wakristo wasijiunge CUF na mgombea wa CHADEMA ni padre atakaeeneza Ukristo.
Maana usijekuwa umepokea text message ya MaxShimba, nguli wa Jukwaa la dini Jamiiforums, ukasema umetumiwa ujumbe na Kamati Kuu ya CCM!
Na huu ndo ukweli lakini serikali ya CCM haitataka kukubali ukweli, na kila siku tutaendelea kuona matamko ya rais kilaza akilaani matukio haya lakini anayefanya huu uharifu hakamatwi, kila siku rais anasikitika afu hakuna anayekamatwa. President is behind these scenes, no way usalama wa Taifa ukawa unafanya kazi nzuri sana kuwakamata chadema lakini waharifu hawakamatwi. Padre Nkenda, padre Mushi, Dr Ulimboka, Kibanda, Mwangosi, muuza magazeti morogoro hawa wote hakuna mharifu aliyekamatwa, uchomaji makanisa ndo usiseme. Afu president anataka kubalance mambo kwa kuweka kufa kwa watu sawa na mtoto aliyekojelea quran tena walikuwa wanataniana afu unalinganisha na matukio ya mauaji. Hivi Ilunga kajificha kama Osama nini mbona hatiwi nguvuni lakini Lema anakamatwa na mabull dozer. Kwa kweli tunaongozwa na kif.......... Ngoja nilale
Huwa sikuombi unijibu comments zangu ................... ila huwa napenda nijibu upumbavu wako unaoupost bila kufanya assessments. Upumbavu wako unanifanya nikujibu kutokana na uwezo wako mdogo. umezidi kushabikia upumbavu badala ya haki na ukweli!
Kwanza nikuambie Lema hakuwa wa kwanza kufika eneo la tukio kama unavyodai wewe na washirika wenzako!
Pili Lema ni kiongozi wa kuchaguliwa kwa kura na wananchi wa jimbo la Arusha, na tukio hili limetokea kwenye jimbo lake, suala la kusema alikuwa bungeni ni la kwako sina sababu ya kukujibu kwakuwa unajulikana unawakilisha Lumumba.
Lema siyo kama huyu mshenzi aliyechaguliwa na kalamu moja halafu anakuwa kero badala ya kuwa chanzo cha kutatua tatizo.
Nikuhakikishie kuwa huu ambao unaouita upumbavu utaona matunda yake baada ya siku chache zijazo. kwanza kusema comments zangu ni za kijinga ni kuwaambia watanzania ni wajinga kwa kuwa sasa wanaelewa.
Kwa upeo wako mdogo unaona waliolipua bomu pale kanisani ni watu werevu sana kwa kuwa sasa mnavuna matunda ya siasa nzuri ya chama chenu cha majangili.
Your days are numbered!
Mambo ambayo yanaigharimu serikali ya CCM ni kuanzisha sera za udini huku wakijua hatari yake na viongozi hao hao kuendelea kubakia madarakani, huwezi simama jukwaani namkusema CUF ni chama cha waislamu halafu ukageuka ukasema chadema ni cha wakristo, ina maana hiyo ccm ni chama cha wapagani?
Uchochezi upi.,sio nyie mliruka futi 100 bungeni mkisema hakuna Udini alafu Mwenyekiti wenu akakutana na viongoz wa kikristo baada ya waislam,vp kwenye mei mosi aliongelea nini?,mmekalia unafiki ili wakristu wateketee,nyinyi ccm ndio waasisi na wapangaji wakuu wa haya matukio.,mnatucheza mpira alafu mnageuka watazamaji..sisi tunaona nia yenu mbaya juu ya waislamu,wakristu na watanzania kwa ujumla..,wazuri sana kwenye kuongeaulimi ni kiungo kidogo sana ktk mwili wa binadamu,lakini kina uwezo mkubwa wa KUJENGA AU KUBOMOA
kauli za kichochezi za LEMA kwa kweli zinahatarisha sana amani ya nchi yetu,tusi comment kwa ushabiki wa kichama bali kwa kulisaidia taifa letu,kumshabikia LEMA kwa uchochezi wake wamara kwa mara ni kujitia kitanzi sisi wenyewe
ipo siku LEMA ATAKUJA KUKOSA HATA WATU WA KUMPA POLE coz kila siku wale wanaomshabikia wanazidi kupungua na wanaobakia ni vilaza wachache ambao ni kama bendera fuata upepo
MUNGU IBARIKI TZ