Maneno aliyoniambia mama siku naoa

Maneno aliyoniambia mama siku naoa

Hilo la kwanza sikuambiwa na mtu ila nalifanya mara zote hua sitabiriki kwenye kurudi home kabisa.
 
Hiyo namba 10 yawezakuwa kweli aisee , you want to win her, she will not accept it easy but when she come to recognise that you truly love her and you mean it, you have won her.

Vv
 
Vijichangamoto vipo,sema mkishajuana haisumbui, akikushika hapa unakua mpole Yanaisha,nawe unajua utamshika wapi. Yaishe,mcheke,mcheke!

Nilichojifunza maisha ya ndoa ni zaidi maisha kama watu mtaelewana. Unakuta humchoki mwenzio.
Ukitaka story unataka upige na yeye,
Kucheka ucheke na yeye,
My wife is more than a friend.
Yani hivyo,kanishika hadi napenda!

Mkuu Peculiar

Najitahidi sana nikuamini,ila Sijui kwanini sikuamini ukisemacho!

Ni kweli una miaka 3 kwenye ndoa?Really?Halafu unatoa rhetorics suspect namna hii?
 
Mkuu huo wosia wa mama uliuandika ukiwa wapi hasa?

Maana nataka nione ukiwa harusini wanapotoa wosia mtu anapata muda wa kuchukua notebook na kuandika eti wosia?!!!It is really beyond me!

Nachojua harusi zetu hizi za kiswahili,siku ya sherehe pale mbele,no one has that time ya kuchukua notes!

Nina wasiwasi na authenticity ya hiyo note-taking activity to begin with!
Sikufanya harusi mkuu, nilifanya ndoa tu kawaida.
Binafsi sikutaka kabisa harusi huo ni mmoja katika msimamo wangu niliouandika katika kitabu changu cha kumbukumbu.japo ingelazimu ningefanya harusi. Ila nilimwambia wife usishangae nkakuacha peke yako kati kati ya shughuli. sijui ni kama ni sababu ya umasikini au ushamba wangu ndio maana naliogopa kufanya harusi, sijui!
sikuwa napenda mambo ya harusi kabisa mkuu.hata nikiona watu wanafanya harusi nilikua nawaza Sana, hivi namimi kuna siku itakua hivi. Nafsi yangu ilikataa!
japo nilijua itakua hivyo ila wife naye nilimpanga ikiwezekana kikombe hiki kituepuke. nilimpanga naye akaniunga mkono.

na hata mama kabla sijaoa nilikua namwambiaga,sipendi kufanya harusi.
Mzee yeye hakua na shida kabisa,hanaga maneno.
Nilikua nawaza wazazi wa wife, na watu waliolikwa kwenye vikao vyao watakubali???

Kama utani tukatoa Kama wazo au ombi kwa mshenga.sikutegemea Kama tungeeleweka,sijui mpaka leo aliwafikishiaje na walijadiliana vipi. Lakini Mungu mkubwa,haiwi Haiwi ikawa. tukakubaliwa.

Hakukua na kwenda ukumbini wala kukodi Magari.na mwisho wa shughuli kila mtu alichukua njia yake, kabla hatujawaaga wazazi wetu wote kwa mara ya mwisho ili kila mtu akalale kwa mwenzie official kwa mara ya kwanza ndio mama akaniita na kuniambia hayo maneno.
Japo watu walioalikwa changanya na wapita njia walikua wengi wengi lakini haikuwa ile ya kuuzishana sura kiviiile! Jambo ambalo nilikua silipendi.
Sidhani Kama ilikua harusi ile. Me huwa naona ni ndoa nikifananisha na wanaofanya harusi.

Maneno hayo ya wosia niliyaandika nikiwa home siku chache baada ya ndoa.sababu ni kawaida yangu kuandika vitu tangu niko shule sec,ndio nilikorithi hiyo tabia.

Baada ya ndoa nilichukua kitabu changu nikaanza kujikumbusha na kuandika yaliyotokea siku ile na niliyoambiwa siku ile.
Kifupi mi napenda kuandika. Chochote kitakachonitokea kikanigusa lazima niandike.

Sijui Kama nimekujibu kidogo mkuu?
 
Kweli kabisa, coz pale mshkaji anakua anaweza Game tu [emoji4]
Umejuaje mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] unawaza hiki unaambiwa kile.

Ila huwezi amini mkuu, maneno ya mwisho ni ya mwisho tu. Yana impact sana.wakati ananiambia nilihisi kila kitu kimebadilika. Nusu chozi linitoke ila sikutaka ajue kuwa sindano anayonichoma inaniingia.

Ila kiukweli baada yapo yalinitoka nilikuja kuyakjmbuka siku chache baadae, ndio nikaya-notes Kama kumbukumbu!
 
Mkuu Peculiar

Najitahidi sana nikuamini,ila Sijui kwanini sikuamini ukisemacho!

Ni kweli una miaka 3 kwenye ndoa?Really?Halafu unatoa rhetorics suspect namna hii?
Mkuu ni mingi au michache?
Au unahitaji mpaka nikuoneshe cheti cha ndoa ndio uniamini mkuu? Siwezi fika huko,tupige tu story na tuishie hapo!
Labda kama kuna namna nyingine ya kukuaminisha mkuu.nitajaribu
 
Sikufanya harusi mkuu, nilifanya ndoa tu kawaida.
Binafsi sikutaka kabisa harusi huo ni mmoja katika msimamo wangu niliouandika katika kitabu changu cha kumbukumbu.japo ingelazimu ningefanya harusi. Ila nilimwambia wife usishangae nkakuacha peke yako kati kati ya shughuli. sijui ni kama ni sababu ya umasikini au ushamba wangu ndio maana naliogopa kufanya harusi, sijui!
sikuwa napenda mambo ya harusi kabisa mkuu.hata nikiona watu wanafanya harusi nilikua nawaza Sana, hivi namimi kuna siku itakua hivi. Nafsi yangu ilikataa!
japo nilijua itakua hivyo ila wife naye nilimpanga ikiwezekana kikombe hiki kituepuke. nilimpanga naye akaniunga mkono.

na hata mama kabla sijaoa nilikua namwambiaga,sipendi kufanya harusi.
Mzee yeye hakua na shida kabisa,hanaga maneno.
Nilikua nawaza wazazi wa wife, na watu waliolikwa kwenye vikao vyao watakubali???

Kama utani tukatoa Kama wazo au ombi kwa mshenga.sikutegemea Kama tungeeleweka,sijui mpaka leo aliwafikishiaje na walijadiliana vipi. Lakini Mungu mkubwa,haiwi Haiwi ikawa. tukakubaliwa.

Hakukua na kwenda ukumbini wala kukodi Magari.na mwisho wa shughuli kila mtu alichukua njia yake, kabla hatujawaaga wazazi wetu wote kwa mara ya mwisho ili kila mtu akalale kwa mwenzie official kwa mara ya kwanza ndio mama akaniita na kuniambia hayo maneno.
Japo watu walioalikwa changanya na wapita njia walikua wengi wengi lakini haikuwa ile ya kuuzishana sura kiviiile! Jambo ambalo nilikua silipendi.
Sidhani Kama ilikua harusi ile. Me huwa naona ni ndoa nikifananisha na wanaofanya harusi.

Maneno hayo ya wosia niliyaandika nikiwa home siku chache baada ya ndoa.sababu ni kawaida yangu kuandika vitu tangu niko shule sec,ndio nilikorithi hiyo tabia.

Baada ya ndoa nilichukua kitabu changu nikaanza kujikumbusha na kuandika yaliyotokea siku ile na niliyoambiwa siku ile.
Kifupi mi napenda kuandika. Chochote kitakachonitokea kikanigusa lazima niandike.

Sijui Kama nimekujibu kidogo mkuu?

Atleast nimeelewa......
 
Mkuu ni mingi au michache?
Au unahitaji mpaka nikuoneshe cheti cha ndoa ndio uniamini mkuu? Siwezi fika huko,tupige tu story na tuishie hapo!
Labda kama kuna namna nyingine ya kukuaminisha mkuu.nitajaribu

Ni sawa,ila mkuu ndoa yako ni too good to be true!

Ni kama haina dosari vile..Ni kama wewe na huyo dada were meant to be perfect..sijasikia mabaya yoyote!Kuamini hilo aisee inaniwia vigumu sana!
 
Alikusomea au alikuambia!?
Aliniambia mkuu, sema hakuniambia katika mtiririko nilioandika Mimi,mimi ndio nimeyapanga katika orodha,yeye alikua anaongea tu, hili baada hili. ila la kwanza na mwisho aliniambia Kama yalivyo lakwanza na la mwisho.
Ila huwa nadhani alijiandaa, japo sina hakika.
Tena nafikiri alinambia mengi zaidi ya hayo.sema hayo ndio niliyojaaliwa kuyakumbuka.
 
Ni sawa,ila mkuu ndoa yako ni too good to be true!

Ni kama haina dosari vile..Ni kama wewe na huyo dada were meant to be perfect..sijasikia mabaya yoyote!Kuamini hilo aisee inaniwia vigumu sana!
Kasoro zipo mkuu, kununiana,kuulizana maswali ya ajabu.
kama navochelewa kurudi huwa hapendelei Sana na huwa anasema ndio uzuri wake.

kama leo lazima tu ntachelewa sababu ya game ya Barça na Chelsea. Hivyo huwa hapendi sana navyorudi usiku Sana.

Pia leo ili nisimkere Lazima nile naye chakula,nipige naye story kidogo ndio naende kibandani kucheki mpira.

Yeye ndio sababu hata game ya jana sikuangalia.
Siku nyingine huwa ananigomea namsikiliza,siendi.natulia tu home tunaangalia movie zake za kikorea au kihindi. Kama kuna mechi nakua naangalia kumridhisha.sitaki kum-dictate japo najua naweza,ila soioni sababu ya kufanya hivyo. Sitaki kushindana naye,kuepusha matatizo. Maana yeye pia ni msikivu na muelewa kwangu. Na nina furahia hivyo.

Binafsi sitaki kuupa mpira thamani zaidi ya ndoa. Sitaki hata awe anacheza nani, binafsi sitaki.
japo siku nyingine mwenyewe huwa ananiambia nenda kaangalie wenzako wasije sema nimekupa limbwata bure.namjibu,waseme mara ngapi!? Tunacheka yanaisha.

Mambo mambo yapo mkuu. Me naona kawaida.
 
Too much is harmful but hapo kwenye kusaliti akajua,kanuni yangu ni moja,mtoto wangu sharti afanane na mm,,Nina mtoto na familia yetu na watoto zetu wote tunafanana,akija wa tofauti akamtafute baba yake,hapo huwa nasema wazi kwa mwanamke yeyote,mtoto wa ng'ombe ni ndama na sio punda ila hayo ya kuchepuka nicpojua hakuna shida coz hata sifuatiliagi
 
Huo utumwa wa kudhani ndoa ni kufurahisha wànawake niliukataa mitambo na huwa sifanyi chochote katika hayo kwa dhana ya kumfurahisha mwanamke,huo utakuwa ni utumwa na ujinga,huwa nafanya inapolazimu na napojiskia,cha maana natekeleza majukumu yangu ya msingi kama baba
 
Niliandika mambo mengi ambayo nilihusiwa na misimamo yangu katika ndoa kwenye diary yangu. Huwa napitia mara kwa mara afu nacheka tu!

Mambo ni rahisi tu hayo.maana ndio vitu mwenyewe napenda.

Sina mda mwingi mkuu, miaka Kama mitatu sasa!

Changamoto zipo kidogo ila mi naona kawaida tu.ila hasa ni wivu mkuu. Mtu anawivu kiasi anataka hadi chakula cha mchana uwe unakula alichopika yeye,awe anakuletea eti hawaamini mama ntilie kisa nina namba zao.
je mmefanikiwa kupata mtoto na mkatumia njia ya uzazi yeyote??
umeshiriki vipi katika kipindi cha ujauzito wake mpaka mtoto akawa anatembea??
binafsi wakati tupo wawili nilivyokuwa naambiwa wanawake huwa wanachoka sikuelewa ila baada ya wife kuwa mjamzito na kujifungua ndo nikawapgia simu wazazi nkasema nimeelewa mlichoniambia
 
Acheni uoga,Mashaka na kutokujiamini,hivi kuna mtu anaweza ombea jambo lako liharibike,watu aina ya ww MNA roho nyepesi na mnaweza shawishika kirahisi,binafsi hata uombee ukatoe tunguli xjui wapi huwa siamini ile kitu mnasema mkono wa mtu,nachojua it waz planned on the course of my life napambana sio kutafuta mchawi
 
Back
Top Bottom