Peculiar
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 821
- 689
- Thread starter
- #41
She is now craftwoman dressmaker. Anaokota miamia,anafanyia hapo hapo home. Namuangaliaga tu hata anavosema hivyo wakati najua slightly yuko bize, japo mwenyewe anadai hiyo kwake sio kazi na haoni shida.Ningekuwa na namba yake ningemwambia ahakikishe analeta msosi kama anayo nafasi maana mama ntilie kweli ni noma
Miaka mitaka mitatu si haba
HoN
Ila huwa narudi mwenyewe home nikijisikia kula home au nikiwa na hiyo nafasi, au bajeti naona hainiruhusu kula mgahawani, au Kama nimemiss narudi chap chap!
Japo siku akiamua naona tu mtu huyu hapa na msosi! Huwa nafurahi sababu pia sio mpenzi wa kula mgahawani, huwa naona anasumbuka japo mwenyewe hajali.
Jana ikifika nikumbushe nikupe namba yake mkuu umpigie[emoji1]