Maneno aliyoniambia mama siku naoa

Maneno aliyoniambia mama siku naoa

Niliandika mambo mengi ambayo nilihusiwa na misimamo yangu katika ndoa kwenye diary yangu. Huwa napitia mara kwa mara afu nacheka tu!

Mambo ni rahisi tu hayo.maana ndio vitu mwenyewe napenda.

Sina mda mwingi mkuu, miaka Kama mitatu sasa!

Changamoto zipo kidogo ila mi naona kawaida tu.ila hasa ni wivu mkuu. Mtu anawivu kiasi anataka hadi chakula cha mchana uwe unakula alichopika yeye,awe anakuletea eti hawaamini mama ntilie kisa nina namba zao.
Sasa na wewe number za mama ntilie unakaa nazo za nini?
 
Baba hakukuambia kitu?
Mzee sio maneno mengi.
Ye kila kitu anasema ndio ukubwa huo"
Mfano,
Mimi; mzee Mimi sasa nataka kuoa.
Mzee; umejipanga?
Mimi; ndio lakini nahis nahitaji sapoti yako mzee.
Mzee; jipange hasa hasa, ndio uanaume huo.

Mara piga kazi dogo, mwanaume ni kazi.(nime-summary)
 
Dakika za mwisho kabisa za shughuli, kabla kila mtu hajachukua njia yake.
Mama aliniita pembeni na kuniambia,"najua umeshaambiwa mengi sana mwanangu, naomba uyazingatie na haya nitayokwambia pia;

Jambo la kwanza aliloniambia ni hili, 1."usiwe na muda maalumu wa kurudi nyumbani, namna utakayomzoesha mkeo siku ukibadilisha hata kwa dharura italeta matatizo. Ni bora usieleweke muda wako wa kurudi tangu siku ya kwanza ya ndoa, naye atazoea na ataheshimu hivyo.

2. Mpe kipaumbele na msikilize mkeo yeye kwanza kabla ya mwanamke mwingine yeyote, labda niwe mimi mama yako. Mimi sitakusumbua kabisa, labda iwe imebidi. Naona umemnunulia simu kubwa kweli, lile sio pambo, tumia simu yako kuwasiliana na yeye mara kwa mara. Kabla hujamuoa ulishamzoesha kumpigia, kuchati naye, kutaniana naye mara kwa mara ulikua na kazi lakini ulipata muda wa kuchat na kuongea naye kupitia simu. Usiache kuyafanya hayo kwa kisingizio cha ubize.
Hawezi kutumia simu kucheza tu gemu na kuongea na ndugu zake. Anahitaji kuongea na kuchat na wewe kuliko mtu mwingine yeyote.

3.Mpe zawadi. Unajua nini mkeo anapenda, popote utakapokiona kama una kimudu mnunulie, hata kama ni kidogo atashukuru na atafurahi.

4.Wakumbuke wazazi na walezi wake pia. Najua mtakua mnakuja kunisalimia. Lakini pia usisahau kwenda kuwasalimia wakwe zako. Mkeo atafurahi, atajisikia kujaliwa.

5.Unapompa chochote hasa pesa ya matumizi mpe mkononi. Hata kama kalala muamshe umpe, usizoee ukiamka unaacha hela kabatini au mezani. Atakua anaiwaza meza kuliko wewe. Labda kama ni surprise.

6.Mwitikie wito, akikwambia kakumiss, akikuhitaji usichelewe, usimkatili. Usimtafutie sababu za ubize wala nini. Fanya haraka umuone, umsamdie, atulie maana hana mwingine wakumwambia shida zake ila wewe.

7.Muelewe na umvumilie mkeo. Kuna wakati wanawake huwa wanachoka na hawezi kuwa sawa kwa kukuona wewe kila siku. Hawezi kukwambia kuwa kachoka. Usimuhisi vibaya, tafuta safari au yeye mtafutie safari ili aje kwangu au kwa wazazi wake siku mbili tu ashakukumbuka na mambo yanaanza upya.

8.Usiache kumwambia unampenda. Kama ulivyokua unamtakia kabla hujamuoa, endelea na ikiwezekana zidisha kumtakia.
Ikipatikana fursa ya kuongozana naye sokoni, ibadani au popote fanya hivyo. Atajisikia raha na kujivunia wewe hata ukiwa mbali naye.

9.Mfanye mkeo rafiki yako pia msapoti na umsaidie ikiwa anataka kuanzisha au kufanya jambo lolote lenye faida kwake, kwako na familia. Ukifanya hivyo atakuwa muwazi kwako, hatokuficha lolote.

10.Mwisho nataka nikwambie mwanangu. Mwanamke ni mzuri sana katika kulipa, hivyo usimfanyie ubaya kabisa mkeo. Mfanyie wema kadri unavyoweza. Mwanamke yeyote ambaye ni mke,ukimfanyia wema kwa 10% yeye atakufanyia wema kwa asilimia 90%.
Na kwenye ubaya ndio hivyo, ukimfanyia baya asilimia 10% atakulipa kwa kufanyia ubaya 90%.
Na dhambi mbaya katika ndoa ni usaliti. Ukimsaliti na akajua. Utalea mtoto au watoto wasio wako.

Pia usiache kumuomba Mungu ajaalie na adumishe riziki, utulivu na furaha mliyoanza nayo. Nakutakia maisha mema na Mungu awe pamoja nanyi.
Hii imezunguka sana kwenye sms za kufoad Facebook na nyanja zote usitulishe matangopori hapa Labda Huko Huko Sio hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hebu nioneshe mkuu sehemu moja ulipoiona hii kuthibitisha kauli yako. Na watu wote hapa Waone. This is real, kuamini sio lazima. Nimeamua tu kushea.
 
Hiyo No6 nakunukuu "Mwitikie wito,akikwambia kakumiss akikuhitaji usichelewe" hapa pamenifanya nitafakari kidogo.una umri gani mkuu nahisi wewe kwa mama ni wa kwanza kuzaliwa na kama hukuzaliwa 1994 basi ni 95.

Mama yako anajua ninini maana ya kumiss?aisee mimi mamangu akipelekewa mashtaka na wife kwamba sijui nimechelewa kurudi huwa anamuuliza humo ndani ninini kilichokosekana?kisha anamwambia huyo mumeo nimemzaa ila sasa unaenda mwezi wa kumi sijamuona wewe kwa masaa tu unalalamika na unajua kabisa ameenda kuhangaika!

Maana mwanaume natafuta hela sasa akitaka kila saa niwe sitting room naangalia tv ndani maisha yataenda kweli?maisha ishi utakavyopanga wewe,mwanaume hana muda maalum wa kurudi nyumbani as long as upo unatafuta ridhiki ya familia.

Note:usije ukakaa bar ili uchelewe kurudi nyumbani au upite kwa vimada huko useme huo ndiyo uanaume,sio hivyo hapo utakuwa unabomoa chelewa kwa sababu maalum unayoijua wewe hata kama mwanamke haijui ila kwako iwe ni sababu ya msingi.
 
Kweli mimi ni wa kwanza mkuu, umepatia.

Ila Mwaka wa kuzaliwa umekosea.umenipunja miaka kadhaa mkuu.

Mi situmii pombe, kinachonichelewesha nyumbani Sana Sana hasa ni mpira. Kiasi honey naye akiona saa mbili lazma tu anajua niko mpirani hata kama sikua mpirani tunakua tunachat na kujazana Ujinga.

Pia Mimi nimejiajiri, kazi zangu hazina muda maalumu, afu nina msaidizi. Hivyo muda wowote narudi home nikijsikia. Na huku kazi zinaendelea. Kukiwa na jambo au kazi mpya inayohitaji niwepo napigiwa simu.
 
Dakika za mwisho kabisa za shughuli, kabla kila mtu hajachukua njia yake.
Mama aliniita pembeni na kuniambia,"najua umeshaambiwa mengi sana mwanangu, naomba uyazingatie na haya nitayokwambia pia;

Jambo la kwanza aliloniambia ni hili, 1."usiwe na muda maalumu wa kurudi nyumbani, namna utakayomzoesha mkeo siku ukibadilisha hata kwa dharura italeta matatizo. Ni bora usieleweke muda wako wa kurudi tangu siku ya kwanza ya ndoa, naye atazoea na ataheshimu hivyo.

2. Mpe kipaumbele na msikilize mkeo yeye kwanza kabla ya mwanamke mwingine yeyote, labda niwe mimi mama yako. Mimi sitakusumbua kabisa, labda iwe imebidi. Naona umemnunulia simu kubwa kweli, lile sio pambo, tumia simu yako kuwasiliana na yeye mara kwa mara. Kabla hujamuoa ulishamzoesha kumpigia, kuchati naye, kutaniana naye mara kwa mara ulikua na kazi lakini ulipata muda wa kuchat na kuongea naye kupitia simu. Usiache kuyafanya hayo kwa kisingizio cha ubize.
Hawezi kutumia simu kucheza tu gemu na kuongea na ndugu zake. Anahitaji kuongea na kuchat na wewe kuliko mtu mwingine yeyote.

3.Mpe zawadi. Unajua nini mkeo anapenda, popote utakapokiona kama una kimudu mnunulie, hata kama ni kidogo atashukuru na atafurahi.

4.Wakumbuke wazazi na walezi wake pia. Najua mtakua mnakuja kunisalimia. Lakini pia usisahau kwenda kuwasalimia wakwe zako. Mkeo atafurahi, atajisikia kujaliwa.

5.Unapompa chochote hasa pesa ya matumizi mpe mkononi. Hata kama kalala muamshe umpe, usizoee ukiamka unaacha hela kabatini au mezani. Atakua anaiwaza meza kuliko wewe. Labda kama ni surprise.

6.Mwitikie wito, akikwambia kakumiss, akikuhitaji usichelewe, usimkatili. Usimtafutie sababu za ubize wala nini. Fanya haraka umuone, umsamdie, atulie maana hana mwingine wakumwambia shida zake ila wewe.

7.Muelewe na umvumilie mkeo. Kuna wakati wanawake huwa wanachoka na hawezi kuwa sawa kwa kukuona wewe kila siku. Hawezi kukwambia kuwa kachoka. Usimuhisi vibaya, tafuta safari au yeye mtafutie safari ili aje kwangu au kwa wazazi wake siku mbili tu ashakukumbuka na mambo yanaanza upya.

8.Usiache kumwambia unampenda. Kama ulivyokua unamtakia kabla hujamuoa, endelea na ikiwezekana zidisha kumtakia.
Ikipatikana fursa ya kuongozana naye sokoni, ibadani au popote fanya hivyo. Atajisikia raha na kujivunia wewe hata ukiwa mbali naye.

9.Mfanye mkeo rafiki yako pia msapoti na umsaidie ikiwa anataka kuanzisha au kufanya jambo lolote lenye faida kwake, kwako na familia. Ukifanya hivyo atakuwa muwazi kwako, hatokuficha lolote.

10.Mwisho nataka nikwambie mwanangu. Mwanamke ni mzuri sana katika kulipa, hivyo usimfanyie ubaya kabisa mkeo. Mfanyie wema kadri unavyoweza. Mwanamke yeyote ambaye ni mke,ukimfanyia wema kwa 10% yeye atakufanyia wema kwa asilimia 90%.
Na kwenye ubaya ndio hivyo, ukimfanyia baya asilimia 10% atakulipa kwa kufanyia ubaya 90%.
Na dhambi mbaya katika ndoa ni usaliti. Ukimsaliti na akajua. Utalea mtoto au watoto wasio wako.

Pia usiache kumuomba Mungu ajaalie na adumishe riziki, utulivu na furaha mliyoanza nayo. Nakutakia maisha mema na Mungu awe pamoja nanyi.

Ukiona mtu anashabikia na kupromote sana ndoa na harusi yake na all the hype around it,ujue kuna tatizo somewhere...mtu mwenye ndoa inayoenda fresh hana muda wa kupoteza wa kuandika thread.For what?
 
Kama unamudu kuyaishi alokwambia mama basi mkeo ana heri
 
Asante sana
 
Mama yako ni mama mwenye busara kma kina mama wengi WA enzi hizo sio hii generation X
 
Natamani nimjue mama yako anipena mimi mawili matau.ila wana wake wengine visirani,kuwafanyia hivyo inaitaji moyo.
 
Back
Top Bottom