Maneno aliyoniambia mama siku naoa

Maneno aliyoniambia mama siku naoa

Always I pray for that mkuu. My Mama huwa ananisimulia story Chungu sana alizopitia.kiasi sitaki kumuumiza mke wangu.sitaki kufanya yaliyomuumiza mama wakati wa ujana wake kwa mke wangu. Mama anafurahi Sana kumuoana yuko happy.anafurahi Sana kiasi wamekua marafiki.
Hongera. Una mama mzuri had nimependa. Pongezi kwako pia kwa kuamua kukinzana na mfumo uliomtesa mama. Wengine huona mateso ni stahili Yake mwanamke hivyo hata wakioa huishi na wake zao kwa kuwaumiza. Nawaombea mema. UPENDO uendelee kutawala baina yenu
 
Safi sana mkuu. Umenifurahisha sana. Ila tambua watakuja wale 'waliojeruhiwa' kukudisappoint kutokana na experience za maisha ya ndoa zao, usiwasikilize! Mapenzi ni Matamu na Ndoa ni tamu zaidi iwapo tu MTAELEWANA. Sasa wale WASIOELEWANA huwa wanataka (na wanaombea pia) wale wanaoelewana WAVURUGANE kama wao. Huo ni USHETANI. Acheni vijana wafurahie maisha ya ndoa bwana. Kama ulikosea kuchagua au kuchaguliwa, pambana na hali yako, usitake wenzako wapitie kama unayopitia wewe!!
Nakubaliana nawe. Watu wengine negativity zimewajaa had wanachukiza. Hata kama ndoa zao chungu, sio sababu ya wengine kushindwa kufurahia.
 
mi sikupewa neno lolote, zaidi mabinamu walijiapiza tuu, nimewala halafu sijawaoa hata mmoja, na siku ya harusi ndio walijuana kwamba wote niliwakaa
Mmmm ungeoa mmoja wapo ungeendeleza kitabia kibaya cha ukoo wenu
 
Ukizoea kawaida tu! Unajikuta unafanya mengi Kama sio yote unconditionally mkuu!
Marafiki na makundi ndiyo huaribu ndoa, yeye yake inamshinda anaanza kwa mwenzie mie mwanamke hawezi nitawala nitarudi muda ninao taka, hapo chunga mambo ya kazi kazi tu ya nyumbani nyumbani basi
 
Mara nyingi Siku za sikukuu ndio huwa tunaenda kusherehekea kwa wazazi, tunachagua leo twende kwa nani. Anasukumiziaga mimi ndio niamue. Nami huwa nabalansi tu,hii huku ijayo Kule.

Japo hata siku za kawaida huwa inatekea mara moja moja.

Sema mimi kwa wazee wangu ndio naenda Sana tu mara kibao nikijisikia tu. Najua hata yeye huwa anaenda,na nimempa hiyo ruhusa,akijisikia kuwamiss anambie tu na aende.
Sema wazazi wake huwa wanampiga biti asiwe anaenda enda,afu ananiambia kila kitu alivyo mzembe kwangu huyu binti.hata mama mkwe akimtania utani ambao hawezi kusema mbele yangu,lazma nambie,
Namuangaliaga tu,afu nacheka, afu napenda! Afu najisemea kimoyo moyo,hiyo ni moja ya sababu ninayokupendea mke wangu, hujui kunificha kitu!
Ndiyo mkielewana huwa ni nzuri kupishana kupo lakini heshima ikiwepo amani inatawala,mie kumficha kitu yaani siwezi kila,kitu kipo wazi niliwahi nenda bank moja kudroo nikaulizwa hii account yako nikajibu hapana sasa unafuata nini ili baadaye mwenzio aje hapa kulalamika nikamwambia nenda kasome details vizuri kazunguka karudi anatabasamu eti hivi bado kuna wanaume waamini wake zao kiasi hiki nikamwambia mmoja wapo mie
 
Safi sana mkuu. Umenifurahisha sana. Ila tambua watakuja wale 'waliojeruhiwa' kukudisappoint kutokana na experience za maisha ya ndoa zao, usiwasikilize! Mapenzi ni Matamu na Ndoa ni tamu zaidi iwapo tu MTAELEWANA. Sasa wale WASIOELEWANA huwa wanataka (na wanaombea pia) wale wanaoelewana WAVURUGANE kama wao. Huo ni USHETANI. Acheni vijana wafurahie maisha ya ndoa bwana. Kama ulikosea kuchagua au kuchaguliwa, pambana na hali yako, usitake wenzako wapitie kama unayopitia wewe!!
Well said
 
[emoji23] [emoji23] mkuu, sio wakati wote kumbukumbu unaweza ukaandika on the spot. Mara nyingi ukitulia ndo unaandika

Inategemea graphic memory yako,huenda ukaandika totally opposite na kilichosemwa...Na bongo zetu 90% ya wananchi zina very low concentration span,sidhani na wewe kama utakua exception..

Unaweza andika ila ukaongeza au kupunguza ila sio exact!
 
je mmefanikiwa kupata mtoto na mkatumia njia ya uzazi yeyote??
umeshiriki vipi katika kipindi cha ujauzito wake mpaka mtoto akawa anatembea??
binafsi wakati tupo wawili nilivyokuwa naambiwa wanawake huwa wanachoka sikuelewa ila baada ya wife kuwa mjamzito na kujifungua ndo nikawapgia simu wazazi nkasema nimeelewa mlichoniambia
Ndio mkuu,kamoja kakiume, Kana mwaka na robo sasa.

Tumechagua kufuata kalenda,japo inachangamoto kidogo ila ndio chaguo letu la kwanza.
Hata siku tunakatafuta haka kachalii, tuliamua, tufyatue leo au kesho,me nikasema kesho, kesho kwa maajaliwa ya Mungu tukafyatua kweli.

Na siku akiona mzunguko hauelewi elewi na tupo moto, kuepusha accident mshindo unamiminiwa nje.
That's how we try to do!
 
Marafiki na makundi ndiyo huaribu ndoa, yeye yake inamshinda anaanza kwa mwenzie mie mwanamke hawezi nitawala nitarudi muda ninao taka, hapo chunga mambo ya kazi kazi tu ya nyumbani nyumbani basi
Kweli kabisa mkuu, asilimia kubwa ya matatizo yanasababishwa na ushauri mbaya wa makundi yetu,baadhi ya marafiki zetu hata ndugu.
Laiti Kama ningekua nasikiliza maneno ya watu wa nje, sijui Kama leo hata ningekua na ndoa.ni kushauriana Ujinga tu.mwanzoni Ilinipa kidogo kukabiliana nayo.
hasa ukikaa sehemu ambayo wengi wanakujua/wanawajua kelele za nje zinakua nyingi kidogo, kiasi msisimama imara zinaweza zikamchukua mmoja went au wote na kuwapoteza.

Kukaa mbali na Mahali unapojulikana kunaheshima kidogo. Asilimia kubwa kunapunguza vioja.
kila mtu anakua na lake na unaheshika kiasi chake. Japo changamoto bado zitakuwepo sio sawa na sehemu watu wanaokujua Sana. Mazoea na watu wa nje ya taasisi yakizidi nayo sumu.
ila bado msimamo na kujua nini unafanya na nini unataka ndio nguzo nafikiri,nahasa Kama wote mnaelewana.
 
Back
Top Bottom