Mandela Funeral: Live updates

Mandela Funeral: Live updates

Aisee Kaunda kamtaja Nyerere na Maria na Tanzania zaidi ya Mara Tatu safi sana aisee
 
Katika hotuba ya kaunda amemtaja nyerere zaidi ya mara kumi, amemmwagia sifa kemkem na watu wameshangilia sana. Kweli nyerere ndo amemtengeneza mandela

Ujinga huu Nyerere amemtengeneza vipi Mandela?
 
KK ni Umri wa akina mandela, kama wako 90, JK ni 60, sasa sio young man kwake?

Nadhani ndicho kitu nilichomaanisha....Kwamba kwa umri alionao KK (Matola niliyemquote) asishangae kuona akomwita JK 'a young man from Tanzania'
 
Kuna kitu kibaya zuma aliongea juu ya malawi, baadaye aka apologise, nimesikia jamaa wa cnn wakikisema lkn sikuelewa vizuri
Ilikuwa ni ishu ya barabara, aliwaambia wasafirishaji wa Malawi kwamba barabara za SA zimejengwa kwa kiwango na ubora na sio kama za kwao Malawi.
 
South Africa wanachaguwa chama boya wewe.

Kama hawamtaki hata leo wanamwondoa na chama kinateuwa mtu mwingine anaapishwa kuwa Rais. Msiwe mnakurupuka kwa msiyoyajuwa. Kuzomea ni kitu cha kawaida sana kwa nchi zenye demokrasia.

Nilidhani una maanisha anajiamlia ndani ya chama kuwa piga ua anabaki. Kumbe bado anategemea fadhila za wana ANC. Haya sasa kanoe mbongo yako chalii.
 
Sasa kuanzia leo tuache kumsakama Kikwete, maana hata wazee wanamtambuwa kama Young Man from Tanzania.

Sidanyiki kwa lolote mzee mwenye miaka zaidi ya 60 aitwe young Man pasi na sababu. Hapa tunapaswa kutumia weledi kujuwa sababu ya hili, Nyerere alutuambia Kikwete bado ni mdogo na alikuwa over 45 wakati yeye Nyerere alikabidhiwa Tanganyika akiwa na miaka 39 tu.
 
Nadhani ndicho kitu nilichomaanisha....Kwamba kwa umri alionao KK (Matola niliyemquote) asishangae kuona akomwita JK 'a young man from Tanzania'

Kaunda ana miaka 89. Kikwete ana miaka 63.

KK ana haki ya kumwita JK bwa'mdogo..
 
Nyerere alitumia muda mwingi sana na rasimali za Tanzania kuhakikisha Africa inakuwa huru, alichosema Kaunda, anashukuru sana alichokifanya nyerere kwa Africa, ikiwemo kwa Mandele.......kwa kumbumbumbu, kuna speech aliyotoa Nyerere UK akiwa kiongozi wa South South Commission mwishoni mwa miaka ya 1080, ndio ilipelekea kuachiwa kwa mandela

Katika hotuba ya kaunda amemtaja nyerere zaidi ya mara kumi, amemmwagia sifa kemkem na watu wameshangilia sana. Kweli nyerere ndo amemtengeneza mandela
 
ila zuma anaingiliwa kati na jamaa mmoja na kumponda live na kumwambia yeye sio bora kama Tata Madiba
wanamuondoa jamaaa na Zuma ana take over mic
 
KK ndio anaweza kumuita JK young man, wako level moja kiuongozi, lakini wewe hata kama una miaka 89 huwezi muita hivyo, kumbuka Hayati Mwl Nyerere alikuwa akiwaita kwa majinayao ya kwanza sio sir name zao. nafari ilimruhusu

Sasa kuanzia leo tuache kumsakama Kikwete, maana hata wazee wanamtambuwa kama Young Man from Tanzania.

Sidanyiki kwa lolote mzee mwenye miaka zaidi ya 60 aitwe young Man pasi na sababu. Hapa tunapaswa kutumia weledi kujuwa sababu ya hili, Nyerere alutuambia Kikwete bado ni mdogo na alikuwa over 45 wakati yeye Nyerere alikabidhiwa Tanganyika akiwa na miaka 39 tu.
 
Ndio maana yake, ndio maana hata Hayari Mwalimu Nyerere alikuwa anawaita kwa majina yao sio sir name, Mfano Lowasa, alikuwa anamuita Edward, au Kikwete angemuita Jakaya, kumbuka akina Malecela alikuwa anawaita John, N.k

yani kibongo bongo ni sawa kasema "huyo dogo kutoka Tanzania". teh heeee hehe kuna wazee wanahekima sijawahi ona.
 
KK bwana! kamwambia MC ..."kijana mdogo anamfukuza Mzee aliepigana na makaburu sababu muda!!
 
Mbona hamjaweka up todates za Bishop Siwa!!

Wanatajwa watakaoweza fika eneo husika la kuzikia, waliobak watashuhudia kwa Televison
 
Back
Top Bottom