Mandela Funeral: Live updates

Mandela Funeral: Live updates

JK kashamaliza,ila ile hotuba ya Mama Banda ilikuwa na ujazo wa kujitosheleza.Hata ule ujumbe kwa Graca,was very touching.
malawi chini ya kamuzu banda hawakushiriki ulombozi wa kusini mwa africa. Malawi walikuwa na balozi kabisa ya africa kusini na flight toka sauzi hadi blantyre. Banda alikuwa rafiki wa makaburu, na ndio maana ht Nyerer hakumfagilia. Mimi nilikuwa nasikiliza sana redio ya kiswahili ya south africa enzi hizo ikiitwa Channel Africa, watangazaji wake wote walitoka malawi wakiongea kiswahili, akina william njonanji na mosses mkandawile wengine nimewasau majina yao, redio hii baada ya uhuru wa south africa ikafa. malawi are not true liberation friends
 
Kuna jamaa hapa anaitwa Kolin Thumbadoo anafanya chanting kabla ya Zuma hajaongea. Huu utamaduni sijui maana yake nini? Kila watu na style yao!

Jamaa anaflow kama marehemu Tambalizeni aisee!
 
KAMA MAHESABU YANGU YAKO SAWA NI VIONGOZI WAWILI TU KUSINI MWA AFRIKA WAMEHUDHURIA MAZISHI HAYA, AMBAO NI MAHASIMU, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa tanzania na Rais wa Malawi. Kitu ambacho sijakielewa ni kwanini kila Raisi wa Afrika ya Kusini akitaja malawi kuna kuwa na kicheko hata msema chochote alipoitaja pia kulikuwa na kicheko...

Hebu tuwekane sawa...
 
Mara nyingi hapa JF tumekuwa tukilalamika kubaguliwa (less acknowledged) kama taifa katika matukio mbalimbali ya kimataifa, pamoja na sisi (Tanzania) kushiriki mwanzoni kabisa mwa matukio hayo.. Kwa mfano suala la EAC, Umaarufu na ushawishi wa Mandela, n.k..

Leo katika maziko ya Mandela, Mh. Rais amejaribu kutafuta 'acknowledgement' kama taifa, ili dunia ifahamu historia ya 'Mandela na Tanzania'
Safi sana kamanda..

Sehemu kubwa ya hotuba yake amezungumzia harakati za ukombozi wa Afrika Kusini kupitia Tanzania na msaada ambao Mwl. Nyerere aliutoa kwa Mandela..

Kila alipoongea waombelezaji walimshangilia sana, hasa alipotaja Morogoro na ishu ya Mandela kusahau viatu vyake Tanzania, na yeye (Kikwete) kumpelekea kipindi akiwa Waziri wa mambo ya nje..

Naunga mkono hotuba hiyo!!!
 
The important prince,politician,prisoner,president,papa na p nyingine kibao zimetamkwa na jamaa alieongea kabla ya Zuma zikilenga kuonesha how important Mandela was.
 
Yani kwa muonekano wa kikwete,
asipojitambulisha unaweza kusema ni rais wa
Brazil hivi. Jamaa ana haiba, alafu haongei
pumba, he got sense of charm ana ongea kwa
historical reference. In short najisikia raha
kusema JK ni rais wangu.

Sipati picha ndio eti rais wa nchi ni dokt slaa, au
mrema wangelitia aibu taifa
 
KAMA MAHESABU YANGU YAKO SAWA NI VIONGOZI WAWILI TU KUSINI MWA AFRIKA WAMEHUDHURIA MAZISHI HAYA, AMBAO NI MAHASIMU, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa tanzania na Rais wa Malawi. Kitu ambacho sijakielewa ni kwanini kila Raisi wa Afrika ya Kusini akitaja malawi kuna kuwa na kicheko hata msema chochote alipoitaja pia kulikuwa na kicheko...

Hebu tuwekane sawa...
Kuna kitu kibaya zuma aliongea juu ya malawi, baadaye aka apologise, nimesikia jamaa wa cnn wakikisema lkn sikuelewa vizuri
 
Kumbe serikali hii ya Tanzaniandio iliyokuwa inafundisha watu kujilipua. wa South Africa wamekuja hapa wakapewa majina feki, wakaukana uraia wao na walipewa passports za kusafiria na mpaka leo hawajazirudisha.

HAYO SIYO MANENO YANGU

Bali ni maneno ya Mheshimiwa, Ndugu, Mwenyekiti, Rais, Dokta JAKAYA MRISHO KIKWEYE kwenye mazishi ya Mandela huko kijijini QUNU.

Jk amesema wazi kuwa huyu rais wa sasa wa South Africa bado hajarudisha passport aliyopewa ya Tanzania kusafiria

sasa cha kujiuliza je AMBOKILE na IMMIGRATION wanajua hawa wa South Africa wangapi wana passports za Tanzania na south Africa?

au tumeamua kusamehe?

kama ni kwenye intelligence bas JK amme mmade Zuma live dunia nzima imeona.
 
Mkuu huyo jamaa siyo kuimba tu hata kudance hajambo, wanamwita Jayzee.
Ile dance ya kunyanyua mguu juu inaotwa umsholozi, sisi wenye asili ya south si unaona kucheza kwetu ni asili, ushaona lizombe likichezwa hahaaaaaaaaaaa
 
Jamani rais wetu na wa Malawi ndio watu waliopewa nafasi ya kuongea mbona hamsemi. Amewajulisha namna tulivyomusaidia Mandela na Afrika ya kusini na vyama vingine kama FRELIMO , very excited! bright Prezoo.
 
Yani kwa muonekano wa kikwete,
asipojitambulisha unaweza kusema ni rais wa
Brazil hivi. Jamaa ana haiba, alafu haongei
pumba, he got sense of charm ana ongea kwa
historical reference. In short najisikia raha
kusema JK ni rais wangu.

Sipati picha ndio eti rais wa nchi ni dokt slaa, au
mrema wangelitia aibu taifa

Mgao wako wa buku saba uko palepale hata usipomtaja Dr Slaa.

Rais wa Brazil hawezi kuhutubia kwa kiingereza bali kwa kireno.

Kichwa maji kabisa boya wewe.
 
Back
Top Bottom