Acha Uvivu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 524
- 131
Citizen wako juu, wanarusha wenyewe live toka Sauzi, sio kama maTBC yetu haya yanajikomba tu kwa SABC News. Kwa hali hii tutapona kauli ya Cameron kweli, yule waziri wa Uingereza.
Zuna ameanzisha pambio. Kumbe leo Jumapili, nilisahau.
Jamani rais wetu na wa Malawi ndio watu waliopewa nafasi ya kuongea mbona hamsemi. Amewajulisha namna tulivyomusaidia Mandela na Afrika ya kusini na vyama vingine kama FRELIMO , very excited! bright Prezoo.
Kikwete kasema hajui (hana hakika) kama Thabo Mbeki alirudisha pasi yake. Na kasema kiutani tu.
Hakusema kama Thabo hakurudisha. Muwage mnasikiliza kwa makini na kuelewa.
Kuna jamaa hapa anaitwa Kolin Thumbadoo anafanya chanting kabla ya Zuma hajaongea. Huu utamaduni sijui maana yake nini? Kila watu na style yao!
Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!Tumetoka kusikiliza dakika kumi tu zilizopita na hukumbuki alichoongea JK........
Au Thabo na Zuma kwako ni mtu mmoja...............hizi shule za kata zinatuzalishia nini jamani...
Ni Zuma au ni Thabo Mbeki???
Duh, makofi kwa Zuma yanatafutwa kwa tochi! Jamaa sijui kama atarudi Magogoni ya Bondeni baada ya uchaguzi.
huyu mama Graca bado anaita sana tu.
Mbona kunama ccm kwa mbbele
Kumbe serikali hii ya Tanzaniandio iliyokuwa inafundisha watu kujilipua. wa South Africa wamekuja hapa wakapewa majina feki, wakaukana uraia wao na walipewa passports za kusafiria na mpaka leo hawajazirudisha.
HAYO SIYO MANENO YANGU
Bali ni maneno ya Mheshimiwa, Ndugu, Mwenyekiti, Rais, Dokta JAKAYA MRISHO KIKWEYE kwenye mazishi ya Mandela huko kijijini QUNU.
Jk amesema wazi kuwa huyu rais wa sasa wa South Africa bado hajarudisha passport aliyopewa ya Tanzania kusafiria
sasa cha kujiuliza je AMBOKILE na IMMIGRATION wanajua hawa wa South Africa wangapi wana passports za Tanzania na south Africa?
au tumeamua kusamehe?
kama ni kwenye intelligence bas JK amme mmade Zuma live dunia nzima imeona.