Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,231
- 26,750
To God be the Glory...........
Duhhhhhh...nna majonzi sana
Kumbe bendera huwa haizikwi pamoja na marehemu eeh!!
kuliko winie na Gacia au Mandla na Ndaba?
1siwezi kuamini, jeneza la mandela limeshashushwa kaburini hakuna mbwembwe mambo ni kijeshi duh
OOhhh natamani nilie jamani...............
Safi sana... Mambo ya kimila yangeleta mkanganyiko!!!
Lia tu mami.... Kulia kunapunguza uchungu! Am sure u will get a certain kind of relief ukitoa chozi!!!