Kumbe serikali hii ya Tanzaniandio iliyokuwa inafundisha watu kujilipua. wa South Africa wamekuja hapa wakapewa majina feki, wakaukana uraia wao na walipewa passports za kusafiria na mpaka leo hawajazirudisha.
HAYO SIYO MANENO YANGU
Bali ni maneno ya Mheshimiwa, Ndugu, Mwenyekiti, Rais, Dokta JAKAYA MRISHO KIKWEYE kwenye mazishi ya Mandela huko kijijini QUNU.
Jk amesema wazi kuwa huyu rais wa sasa wa South Africa bado hajarudisha passport aliyopewa ya Tanzania kusafiria
sasa cha kujiuliza je AMBOKILE na IMMIGRATION wanajua hawa wa South Africa wangapi wana passports za Tanzania na south Africa?
au tumeamua kusamehe?
kama ni kwenye intelligence bas JK amme mmade Zuma live dunia nzima imeona.