Young man from Tanzania:smile-big:
Lugha hii ngumu mkuu!!!!Kikwete kasema hajui (hana hakika) kama Thabo Mbeki alirudisha pasi yake. Na kasema kiutani tu.
Hakusema kama Thabo hakurudisha. Muwage mnasikiliza kwa makini na kuelewa.
Wewe!!!!!! Kuna Mganda mmoja kasema "Graca married Samora and he died, she married Mandela and he is dead, how i wish she marries Kaguta Museven so that he goes too"!!!!
Wewe!!!!!! Kuna Mganda mmoja kasema "Graca married Samora and he died, she married Mandela and he is dead, how i wish she marries Kaguta Museven so that he goes too"!!!!
Yupo ndani ya nyumba toka day one ya shuguli zote za msiba
This young man here comes out of ur work, kaunda anamwambia Maria Nyerere kuhusu J.K
Kamrusha nyerere kama mtu wa maana sana kwa africa
KK kamaliza kila kitu kwa Tanzania...
Long Live KK...
Angalau sasa ulimwengu unatambua mchango wa Tanzania katika kukomboa nchi za Afrika ikowemo RSA.
Mzee KK kamaliza kila kitu..
Hawa wazee wana dharau sana, yani JK yuko over 60 na ana wajukuu bado anaitwa Young Man?
umepata kunikumbusha kitu flani humu jf, kuna member 1 humu alienda mbali na kudiriki kunena eti "baba wa taifa la Zanzibar ni John Okelo"Sikukuu ya Idd South Africa siyo public holiday, kazi kama kawa sikukuu zisizokuwa kwenye kalenda kama wapiga ramli hawazitambui.
Kwa umri alionao KK usishangae akimwita JK 'a young man from Tanzania'...
umepata kunikumbusha kitu flani humu jf, kuna member 1 humu alienda mbali na kudiriki kunena eti "baba wa taifa la Zanzibar ni John Okelo"