Mandela Funeral: Live updates

Mandela Funeral: Live updates

'mandela is very much our leader, hero. Icon and father as well' JK
Mkuu.....You can do better than this....

Looks like haufuatilii nini Rais JMK anaongea...Kazi yako ni kufuatilia makosa ya kisarufi....Kitu ambacho wenzio pale Qunu hawakiangalii....It's the content that counts
 
Citezen television ya kenya wamesitistisha kurusha live baada ya kumwona Jk,jamani hawa wa kenya uwivu utawamaliza

hapana acha upotoshaji citizen haijamkatiza jk bado yupo live
 
Citezen television ya kenya wamesitistisha kurusha live baada ya kumwona Jk,jamani hawa wa kenya uwivu utawamaliza

Acha mambo yako hayo, Citizen wanarusha live hotuba ya JK bila chenga, nenda kalipie king`amuzi chako siyo kusingizia vitu visivyoeleweka.
 
JK kashamaliza,ila ile hotuba ya Mama Banda ilikuwa na ujazo wa kujitosheleza.Hata ule ujumbe kwa Graca,was very touching.
 
Raisi wetu anatoa hotuba murua ya kumwaga Madiba,ni hotuba nzuri sijapata kusikia kutoka Kikwete ashike uongozi,hongera raisi wet Kikwete umetuwakilisha vyema kwenye mazishi na umewakumbusha wale wasioujua urafiki wetu na SA,ni kuwa sio urafiki wa kukutana NJIANI,katoa historia ndefu ya uhusiano wetu na ANC,wakati wa shida ,na raha,wengine enzi hizo za kiza kwa ukombozi wa SA walikuwa wanatumbua raha na Makaburu,na leo wanajifanya eti ni marafiki wa kweli wa waafrika wa SA.
Kwa hiyo hotuba I salute Hon Kikwete,umesema ukweli na umetuwakilisha kikweli
 
Wangecheka wasikilizaji nisingeshangaa, tatizo JK anacheka mwenyewe.

Katoa tabasamu tu mkuu, hakutoa kicheko kama unavyotaka tuamini.

Rudi katika kamusi utofautishe kati ya kicheko na tabasamu...
 
Mkuu.....You can do better than this....

Looks like haufuatilii nini Rais JMK anaongea...Kazi yako ni kufuatilia makosa ya kisarufi....Kitu ambacho wenzio pale Qunu hawakiangalii....It's the content that counts

na qoute tu either u misunderstood me
 
Duh, Zuma katanguliza shock absober anaongea Kizulu. Hii nadhani ni kufuta zomea zomea. Dah, siasa sio kabisa.
 
Wa south wengi wa sasa hawajui Tanzania ilikuwa nyumbani kwa wazazi wao. Nawakumbuka sana wakunjan pale
iringa, walikuwa wakivaa sana vi dont touch hahaaaa. Kuna jamaa alikuwa akiandika sana mashairi ya ukombozi kwenye gazeti la sunday news akijiita L
flaxman wa qoopane, msouth huyoooo ukisomq mashairi yake lzm uingie msituni ukatokee zimbabwe kuingia sauzi ukawachinje makaburu
 
Back
Top Bottom