Mandela Funeral: Live updates

Mandela Funeral: Live updates

Duh, makofi kwa Zuma yanatafutwa kwa tochi! Jamaa sijui kama atarudi Magogoni ya Bondeni baada ya uchaguzi.
 
Jk ameiwakilisha TZ Vizuri nmependa, japo simkubali, heshma kwakwe.
 
Sikiliza hapa hotuba ya JK leo tar 15 dec 2013 aliyoitoa kusherekea maisha ya tata Madiba kijijini Qunnu Westen Cape , RSA. Kwa ujumla ilishangiliwa sana pa alipowajulisha uwepo wa mama Maria Nyerere. Pia hapo awali alipotambulishwa mama Maria Nyerere ukumbi ulizizima ila tu pale alipotambulishwa Vicky Swai mwakilishi wa Chama cha Mapinduzi hakukua na kushangiliwa

Nawakilisha
 
Attachments

Kama Mtanzania nimefurahishwa na hotuba safi ya JK....imeonesha wazi umuhimu wa taifa letu katika ukombozi wa SA...jamani kwenye sehemu kama hizi ni muhimu kuwasapoti viongozi wetu...tungejua wapi kama Madiba aliacha viatu? Kuwa alikuwa anatumia paspoti ya Tanzania? Na mpaka Leo Thabo Mbeki hajarudisha ya kwake....sisi ni wakarimu mno....na jumuia ya kimaifa inatambua hilo....ahsante mungu kwa tunu hiii......cha msingi sasa ni Serikali yetu kupambana na umaskini ili watanzania nao wawe na ufahari wa jumla
 
KAMA MAHESABU YANGU YAKO SAWA NI VIONGOZI WAWILI TU KUSINI MWA AFRIKA WAMEHUDHURIA MAZISHI HAYA, AMBAO NI MAHASIMU, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa tanzania na Rais wa Malawi. Kitu ambacho sijakielewa ni kwanini kila Raisi wa Afrika ya Kusini akitaja malawi kuna kuwa na kicheko hata msema chochote alipoitaja pia kulikuwa na kicheko...

Hebu tuwekane sawa...

Jibu ni simple, Mwanamke hapaswi kuwa Rais, sitaki uniulize kwa nini.

Ndio maana Zuma alipotangaza kodi mpya ya barabara aliwaambia wanaompinga South Africa si Malawi kimiundombinu. Kama una akili utakuwa umeelewa.
 
Kuna katoto pale mbele kanaruka ruka hata hakajawa seriaz, Lady JD ndoo maana anatamani "kurudi nyuma, kuwa kama mtoto". Utoto raha eti eeee.
 
Sikiliza hapa hotuba ya JK leo tar 15 dec 2013 aliyoitoa kusherekea maisha ya tata Madiba kijijini Qunnu Westen Cape , RSA. Kwa ujumla ilishangiliwa sana pa alipowajulisha uwepo wa mama Maria Nyerere. Pia hapo awali alipotambulishwa mama Maria Nyerere ukumbi ulizizima ila tu pale alipotambulishwa Vicky Swai mwakilishi wa Chama cha Mapinduzi hakukua na kushangiliwa

Nawakilisha

Hicho chama kimeisha zeeka, hakuna anayetamani kukisikia.
 
Tumetoka kusikiliza dakika kumi tu zilizopita na hukumbuki alichoongea JK........

Au Thabo na Zuma kwako ni mtu mmoja...............hizi shule za kata zinatuzalishia nini jamani...
 
Kama Mtanzania nimefurahishwa na hotuba safi ya JK....imeonesha wazi umuhimu wa taifa letu katika ukombozi wa SA...jamani kwenye sehemu kama hizi ni muhimu kuwasapoti viongozi wetu...tungejua wapi kama Madiba aliacha viatu? Kuwa alikuwa anatumia paspoti ya Tanzania? Na mpaka Leo Thabo Mbeki hajarudisha ya kwake....sisi ni wakarimu mno....na jumuia ya kimaifa inatambua hilo....ahsante mungu kwa tunu hiii......cha msingi sasa ni Serikali yetu kupambana na umaskini ili watanzania nao wawe na ufahari wa jumla

Wambie washikaji wa Kikwete na Kapuya e.g Masogange, waache kupeleka unga bondeni.
 
Yani kwa muonekano wa kikwete,
asipojitambulisha unaweza kusema ni rais wa
Brazil hivi. Jamaa ana haiba, alafu haongei
pumba, he got sense of charm ana ongea kwa
historical reference. In short najisikia raha
kusema JK ni rais wangu.

Sipati picha ndio eti rais wa nchi ni dokt slaa, au
mrema wangelitia aibu taifa

ananiudhi hatulii nyumbani yeye kutwa kwenye ndege hadi akaitwa fast jet!
 
Sio kila kitu anachosema jk ubakichukia go back to your senses...kumbka hcho kilikua ni kipndi cha ukombozi wa maisha ya watu.
 
Mgao wako wa buku saba uko palepale hata usipomtaja Dr Slaa.

Rais wa Brazil hawezi kuhutubia kwa kiingereza bali kwa kireno.

Kichwa maji kabisa boya wewe.

Wewe kiazi kuna sehemu nimezungumzia lugha? Nyie chadema kwani mnatabia ya kutoa pole kwenye misiba? Chacha wangwe amekufa lakini sidhan kama ipo hata sikumoja nimesikia chadema mmesimama hata secunde moja kumkumbuka wangwe, sijasikia hata neno lolote kuhusu mandela kutoka kwenu. Misiba mmemuachia rais wetu ambae sikuzote yupo karibu na watu.

Jk alihudhuria maombolezo ya regia mtema na bado akahudhuria mazishi pia. Chadema zaidi ya siasa yapo maisha jaman kuweni na watu katika zote nyakati
 
Mazishi ya hayati nelson mandela yapo live star tv kwa ushirikiano na sabc news!

===============================================
===============================================

UPDATES:

Viongozi mbalimbali wa south africa wamehutubia kwa kutumia lugha zao za asili, na hata MC mwenyewe anatumia lugha ya asili mara nyingi iwezekanavyo. Hivyo wanaenzi lugha zao za asili.

SWALI MUHIMU SANA:

Je, rais wetu Jakaya Kikwete atatuwakilisha kwa kiswahili ama kiingereza?

Tusubiri tuone maana yupo kwenye list ya wazungumzaji leo.

=================================================
=================================================

UPDATES:

Rais J.K ametoa speech kwa kiingereza. Kaweka na maneno kidogo ya kizulu. Full stop.
Kuna haja ya kuweka kiingereza kwenye lugha ya kitaifa bila kuchelewa!
BADO KISWAHILI KINAKOSA JUKWAA KWENYE INTERNATIONAL COMMUNITY.

Ataongeaje KISWAHILI wakati kila siku yuko angani kama mwewe..
 
Back
Top Bottom