Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,096
- 1,904
Huyu jamaa ambaye huwa anaghani kabla ya Zuma kuongea huwa ni nani?
Bado wanarusha, labda walikuwa na tatizo la kiufundi.
Winnie mwenyewe nimemuona anacheka baadaa ya Joyce Banda kumaliz hotuba ile
na yeye hajui kuwa yuko msibani[/QU
Ni sawa Winnie kucheka au mwingine yeyote lakini si anayehutubia.
duh, zuma katanguliza shock absober anaongea kizulu. Hii nadhani ni kufuta zomea zomea. Dah, siasa sio kabisa.
Acha mambo yako hayo, Citizen wanarusha live hotuba ya JK bila chenga, nenda kalipie king`amuzi chako siyo kusingizia vitu visivyoeleweka.
Zuna ameanzisha pambio. Kumbe leo Jumapili, nilisahau.
Wa south wengi wa sasa hawajui Tanzania ilikuwa nyumbani kwa wazazi wao. Nawakumbuka sana wakunjan pale
iringa, walikuwa wakivaa sana vi dont touch hahaaaa. Kuna jamaa alikuwa akiandika sana mashairi ya ukombozi kwenye gazeti la sunday news akijiita L
flaxman wa qoopane, msouth huyoooo ukisomq mashairi yake lzm uingie msituni ukatokee zimbabwe kuingia sauzi ukawachinje makaburu
Really???
Wameanza tena kurusha live baada ya Jk kumaliza kuhutubia
Ni wabaguzi sana hawa jamaa..
ila speeech ya JK ni full history iliyojaa kujiona kuwa anastahili kuwa rafiki
Kikwete mwongo sana...anadanganya live...alimdanganya Obama kwamba umati uliojitokeza haujawahi kutokea...hapa andanganya kuwa umati uliojitokeza kumpokea mandela haujawahi kutokea na rekodi haijavunjwa........Uongo wa MaCCM mbaya sana