Mandela Funeral: Live updates

Mandela Funeral: Live updates

Waandaaji wa speech za rais wetu ni dhaifu. hotuba inaonesha zaidi matukio kuliko kuuleza undani wa matukio hayo na uhusiano na tukio la leo katika nyanja za diplomasia na uchumi.
Kweliii!
 
Kaongezea maneno yasiyokuwa kwenye hotuba....

Ila Nkwingwa, nadhani hii ni nafasi pekee kwa ulimwengu kufahamu mchango wa Tanzania katika Uhuru wa RSA na Africa kwa ujumla...
na Rais JK anaitumia ipasavyo...

Kwa ujumla mpaka sasa hotuba imenifurahisha.
 
JK anacheka hajui yuko kwenye msiba.

Msibani watu huwa hawacheki?

Hata hivyo hotuba ya JK ni kuelezea mbio na harakati za ukombozi na nafasi ya Tanzania katika michakato hiyo.

Ndani yake kuna mambo ya kusisimua yenye kushtua kidogo mbavu za waombolezaji.
 
Waandaaji wa speech za rais wetu ni dhaifu. hotuba inaonesha zaidi matukio kuliko kuuleza undani wa matukio hayo na uhusiano na tukio la leo katika nyanja za diplomasia na uchumi.

Toka lini ukamsifia JK wewe?
 
'mandela is very much our leader, hero. Icon and father as well' JK
 
Kutokua na elimu kubaya sana, mama wa taifa nyerere angekua anajiweza hata kwa lugha tu angepewa nafasi ya kuhutubia leo

Acha utani.

Unaruhusiwa kutumia lugha yako na mkalimani akafanya kazi yake.
 
Kwa hiyo kujua Kiingereza ndo kuwa na elimu?

Na kwani angeongea Kiswahili halafu wakatafsiri kungekuwepo ubaya?

Mbona Dilma Rousseff pale FNB aliongea Kireno....

Nkwingwa hao ni watanzania ambao kwayo mtu akiongea Kiingereza ni msomi....

Utumwa wa kifikra ni mbaya sana ndugu yangu...
 
Kwa hiyo kujua Kiingereza ndo kuwa na elimu?

Na kwani angeongea Kiswahili halafu wakatafsiri kungekuwepo ubaya?

Mbona Dilma Rousseff pale FNB aliongea Kireno....

bora uwe unawapa za uso hawa watumwa wa lugha..
asante..
 
Kikwete mwongo sana...anadanganya live...alimdanganya Obama kwamba umati uliojitokeza haujawahi kutokea...hapa andanganya kuwa umati uliojitokeza kumpokea mandela haujawahi kutokea na rekodi haijavunjwa........Uongo wa MaCCM mbaya sana

Utakuwa mnyarwanda wewe au mkenya
 
Bila shaka Watz kwa leo tutaingia South Afrika wth warm welcome. Katangaza vizuri ukarimu wetu. Ila mnaopitisha unga mtatuharibia dili. Acheni washikaji, Kapuya et al.
Kweli taifa linapoteza heshima kwa mambo ya kipuuzi kama hayo.
 
Msibani watu huwa hawacheki?

Hata hivyo hotuba ya JK ni kuelezea mbio na harakati za ukombozi na nafasi ya Tanzania katika michakato hiyo.

Ndani yake kuna mambo ya kusisimua yenye kushtua kidogo mbavu za waombolezaji.

Wangecheka wasikilizaji nisingeshangaa, tatizo JK anacheka mwenyewe.
 
Kuna lijamaa limenikera hapa Tabora,nimesema rais huwa anakosea ka-maind sn.
 
Kaongezea maneno yasiyokuwa kwenye hotuba....

Ila Nkwingwa, nadhani hii ni nafasi pekee kwa ulimwengu kufahamu mchango wa Tanzania katika Uhuru wa RSA na Africa kwa ujumla...
na Rais JK anaitumia ipasavyo...

I loved this part of Kikwete's speech, and he's done well.
 
Citezen television ya kenya wamesitistisha kurusha live baada ya kumwona Jk,jamani hawa wa kenya uwivu utawamaliza

Ilikuwa ni muda mfupi tu nadhani si kwa kukusudia.Walirudi na JK namtazama hapa kupitia citizen.Amemaliza
 
Rais Kikwte anaonekana Kushangilia sana karibu kila mara anapozungumza... Na hotuba yake imekuwa na mvuto sana na inauwezekano wa kutengeneza vichwa vingi vya habari
 
Back
Top Bottom